Yaani mngejua hivyo vidonge vinavyokuja kuwatesa hao wanawake baadae mngeacha kuwalisha watoto wa wenzenu, mngejua sindano sinavyosumbua baadae nadhani msingeongea chochote humu, nini vijiti ukija kuvitoa unaweza kubleed mwaka mzima, mngejua mateso yanayowapata wenzenu mngeacha kelele humu, hata condom pia zinatesa, zimawasha, zinachubua and all that.... kwakuwa hayawapati nyie wanaume ndio maana mna guts zakusema jukumu lakupanga uzazi ni la KE pekeake.
Kwangu mi the safe way ni kumwaga nje, au kusubiri safe days, haya huyo mwanaume wakumwaga nje yuko wapi? To hell with me heh, huyo mwanaume wakusubiri safe days yuko wapi? Thubutu, si ndio nyie mkinyimwa mnanunaaa na mnaenda kuchepuka? Na mkipewa mkijaza mimba mnakimbia eti hatukupanga, haha mi nafikiri kuwa mwanamke ni shida kuliko shida zenyewe.