Single mothers na vilio vya kushangaza


mi ni mwanamichezo na mgumu haswa...muumini wa grit and grind kwenye michezo yote ninayocheza...ila dadangu nakuhakikishia....HAKUNA MCHEZO MGUMU KAMA HUU WA KU-PULL OUT!! bora nisifanye kabisa aisee.
msitulaumu kwenye hili jameni
 
ishanitokea nilichoamua kulea mtoto kusomesha kwamoyo na kumjali ilano ndoa maana sikupanga nae wala hatukuwa tumeahidiana na sio mtoto mdogo kanizidi miezi kadhaa kiumri na mi ni 30 ...ntaoa mwingine mimi bado nareview
 

Thank you. Tunavumilia mengi jamani. Ila wanaume wa JF wana masimango sana. Yani wanaweza wakakufanya mkosaji kuliko mtu mwingine kwenye dunia hii.
 
 
Pole sana Binti Kiziwi,you have spoken a very heart touching words!
Thanks nishapoa kabisa kitambo, nina A very responsible husband na wanetu wawili, ila likija suala la hizi discussion za usingle mom, ntapiga kelele mpaka watu wadhani mimi ni victim, yes mi ni victim kwa sababu mi ni products ya single mama, kwa maana babaetu alitutelekeza kwa mama since tukiwa wadogo (mi na kaka yangu). Sitaki sana kujua sababu ya sisi kutelekezwa pengine ndio gubu za wanawake lakini itoshe tu kusema hatukudeserve kuishi tulivyoishi ikiwa babaetu mzima wa afya na anauwezo wakutosha tu kutulea.

Speaking of single mothers nikivaa viatu vyao huwa vinanibana kabisa, hawa watu wanahustle, wana suffer ili tu watoto wao wasurvive, hawa ni wale wenye vipato hata kama ni vidogo kama alivyokuwa mamangu, sometimes wanafanya dirt games for wellbeing ya familia, nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikifukuzwa ada nikirudi nyumbani mama hadi pressure itampanda, lakini atafanya chochote apate ada mwanae nirudi shule, ikafika kipindi nilivyokuwa mdada nikifukuzwa ada hata nyumbani sirudi, ntaitafuta hadi niipate (hapa baba yupo na ukipiga simu anakujibu mwambie mamaako anipigie we unanipigia kama nani)

Kuna time nikiwa 1st year kaka yuko 4th year mama akinitumia hela mi namtumia kaka namwambia we tumia mi ntapata zingine hii yote ni kuepusha usumbufu kwa bimkubwa, yaani nikiwaza mama alivyokuwa akivuja jasho kututunza napata hasira kuana single mothers wanakuwa mocked na kutukanwa kila siku kwenye jamii, naumia naumia naumia. Mngejua nyie wanaume jinsi hawa wadada/ wamama wanavyoishi ndani mwao wakitoka nje wameoga wamependeza kuficha dhiki zao msingesema chochote juu yao.

Single mamas wanatakiwa kuthaminiwa, kutiwa moyo na kusaidiwa ili kuheal vidonda vyao na kufuta machozi sio mnavyowafanyia. Ni vile tu hamuwezi kuelewa mpaka mtakapoelewa !
 
Thank you. Tunavumilia mengi jamani. Ila wanaume wa JF wana masimango sana. Yani wanaweza wakakufanya mkosaji kuliko mtu mwingine kwenye dunia hii.
Achana nao hao, wala wasikuumize kichwa ukichunguza kwa makini utakuta wengi wao wana watoto walowakimbia, wamezaa nje ya zao hawana jema hawa la mno hawakuwezeshi kuishi. Ni maneno ya wakosaji
 
Watoto wangu wakizibeba ni juu yao na waliowapa huo ujauzito. Ukikubali iingie bila condom ujue kuzaa kupo nje nje. Ni afadhali uitoe kuliko kusumbuka na mtoto. Sikuachi hadi uone makosa yako
 
Watoto wangu wakizibeba ni juu yao na waliowapa huo ujauzito. Ukikubali iingie bila condom ujue kuzaa kupo nje nje. Ni afadhali uitoe kuliko kusumbuka na mtoto. Sikuachi hadi uone makosa yako
Heri ya mwaka mpya best. Nimekumiss.
 
Watoto wangu wakizibeba ni juu yao na waliowapa huo ujauzito. Ukikubali iingie bila condom ujue kuzaa kupo nje nje. Ni afadhali uitoe kuliko kusumbuka na mtoto. Sikuachi hadi uone makosa yako
Afadhali atoe!!! Damn you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…