Single mothers na vilio vya kushangaza

Single mothers na vilio vya kushangaza

Watoto wangu wakizibeba ni juu yao na waliowapa huo ujauzito. Ukikubali iingie bila condom ujue kuzaa kupo nje nje. Ni afadhali uitoe kuliko kusumbuka na mtoto. Sikuachi hadi uone makosa yako

Sasa unataka nione makosa yangu we Mungu au? We una makosa yako kibao kuna mtu anakukumbusha kuyaona? Acha kutolea hasira za moyo wako wengine.
 
Wanawake wenzangu jamani tuwe makini na hawa viumbe, its about time sisi ndio tuishi nao kwa akili maana hali sio hali tena. Mwanaume sio ndugu yako,just through hizi threds unapata picha ya ni aina gani ya wanaume tunaodeal nao so akili kumkichwa, zaa kwakuwa umeamua na una uwezo wa kumlea huyo mtoto, huyo sperm donor mpotezee tu, akiona bora amlee mwanae its okey.

Ila kabla ya kuchukua maamuzi hayo pia basi utafakari pia kuhusu huyo mtoto atakaezaliwa ni aina gani ya maisha unataka aishi,ist worth it?
Your warning holds no grounds! Unawaonya wanawake wa hapa hapa Tanzania? Teh teh!
 
Unaonaje akikataa kutumia ndom na hauna plan yoyote ya kumuoa basi uachane nae tu. Uje uteleze kwa yule ulo na plan nae!! Maana hapa victims ni watoto jamani hebu kabla hatujajitoa ufahamu tuwafikirie na tuache ubinafsi.
haa ndio maana jamaa kasema mnatumia mtoto kama criteria.
hapo victim syo mtoto bcause single moms tunaish nao and watoto wao wapo very happy bcz a respobsible dady atatenga hata one day atlist astay na mwanae.
Hapo victim n mama wa mtoto na ndio hapo mama anapomtumia mtoto kama kimbilio.
kuna watoto baba zao hawapo but they r very happy .
 
Usiseme they are very happy, unless yo one of them. Kwahiyo kabla haujaongea hayo hebu tafakari upya.
 
Your warning holds no grounds! Unawaonya wanawake wa hapa hapa Tanzania? Teh teh!
Kama ambavyo kuongea na wanaume wa tanzania ni kujitoa ufahamu tu.
Kwahiyo mpendwa unashauri nini?
 
Usiseme they are very happy, unless yo one of them. Kwahiyo kabla haujaongea hayo hebubtafakari upya.
i was one of them bcz nmemjua my dady nikiwa na 5 yrs bcz alikuwa jela.
watoto hawanaga shida sana bcz kuna wengine wanazaliwa baba zao wakiwa nchi za mbali.
 
...huwa nawashangaa sana...mimba wanabeba wao hadi wanazaa...na wakati wana mimba wanaona kuwa matunzo yatawahusu wao...sasa kwanini wanazaa??...mtu k yuko nayo yeye...kuamua kuzaa ama la anaamua yeye...sasa anapozaa itakuwaje nongwa kwa mwanaume asiyepanga nae kuzaa?....kama kapigwa k akanasa na kukubali kukaa na mimba kwa matakwa yake...basi asilalamike kwenye matunzo...

...nasema hivi kwa mifamo hai iliyotokea kwa milupo nayoifahamu...unapiga k mahali...tena one night stand...then demu ananasa alafu anataka umtunzie mtoto??.. No way...wengi wanajitakia....siku hizi kuna madonge tele ya contraception lakini bado demu ananasa na anakaa na mimba...wengi wanajitakia...unaona mwanaume hana mwelekeo wa kukusaidia kulea lakini unakaa na mimba yake...basi usilaumu..
 
Bora umesema wewe sasa wakisha nasa zaa wakaachwa wanakuja huku jf kudanganya wenzao ooh sikuhizi hakuna wanaume na laana kibao kumbe wanasahau uzembe na upuuzi wao ndio unao watesa.
 
i was one of them bcz nmemjua my dady nikiwa na 5 yrs bcz alikuwa jela.
watoto hawanaga shida sana bcz kuna wengine wanazaliwa baba zao wakiwa nchi za mbali.
Now i get it, maana hata wewe huoni kuwa kuna tatizo katika unachoongea.
 
Sasa unataka nione makosa yangu we Mungu au? We una makosa yako kibao kuna mtu anakukumbusha kuyaona? Acha kutolea hasira za moyo wako wengine.
Ni kosa kuzaa unwanted child katika maisha wakati contraceptives zipo. Kutoa mimba abortion si kosa kama mnavyofikiria wewe na espy kusema za ukweli hakuna haja ya kuleta kiumbe duniani kwa raha zenu kikateseka. Lazima uzae wakati ukiwa tayari kutunza. Huo ni msimamo wangu.
 
Wee kutoa mimba ni kosa,afu wote wanawake na wanaume tuko responsible mimba ikiingia, kama hukutaka mtoto ungesema au ungevaa condom, unakubali kuzaa afu majukumu unamuachia mwanamke,hivi unajiskiaje huko uliko?
 
Naomba nikueleze ninachoamini na nilivyo; mtoto ana hatua nne katika maisha yake
i. Akiwa ni mimba (jukumu la kumtunza ni la mama yake); kazi ya baba ni kutunza mama mwenye mimba yake
ii. Akiwa ananyonya (jukumu la kunyonyesha ni la mama yake); ila kama hana maziwa jukumu la kununua maziwa ni la baba na gharama zote kuhusu mtoto, hospitali n.k.
iii. Akiacha kunyonya na kuanza shule kabla ya kufikisha miaka 18; jukumu la kutoa fedha za kumtunza mtoto ni la baba
iv. Akitimiza miaka 18 na amemaliza masomo; jukumu ni lake na hakuna urithi

Nadhani utakuwa umenipata ila kama huwezi kufanya hivyo bora utumie kinga ili mimba isitungwe, ikitungwa bahati mbaya ni KUITOA tu. Acha mawazo ya kijima ati ukitoa mimba zambi, zambi alikuwa ni kocha
 
Na wote wanadai waliahidiwa matunzo au ndoa
wakati wengi tu huamua wenyewe
Hao kinadada au mama lazima wabadilishe mfumo wa mawazo yao. ..waachane na kuwaza kuwa tegemezi. .mbona UNIVERSE ina pesa nyingi sana. .CHANGE YOUR THOUGHTS. .CHANGE YOUR LIFE. .
 
Naomba nikueleze ninachoamini na nilivyo; mtoto ana hatua nne katika maisha yake
i. Akiwa ni mimba (jukumu la kumtunza ni la mama yake); kazi ya baba ni kutunza mama mwenye mimba yake
ii. Akiwa ananyonya (jukumu la kunyonyesha ni la mama yake); ila kama hana maziwa jukumu la kununua maziwa ni la baba na gharama zote kuhusu mtoto, hospitali n.k.
iii. Akiacha kunyonya na kuanza shule kabla ya kufikisha miaka 18; jukumu la kutoa fedha za kumtunza mtoto ni la baba
iv. Akitimiza miaka 18 na amemaliza masomo; jukumu ni lake na hakuna urithi

Nadhani utakuwa umenipata ila kama huwezi kufanya hivyo bora utumie kinga ili mimba isitungwe, ikitungwa bahati mbaya ni KUITOA tu. Acha mawazo ya kijima ati ukitoa mimba zambi, zambi alikuwa ni kocha

ni dhambi ndio kutoa uhai

ni aibu kuja hapa peupe na kudai kutoa uhai wa mtu ni kitu cha kawaida,

wewe na wanaume wenzio,mna wajibu wa kutumia condom ili mimba isipatikane,

kwa posts zako wewe huendi kanisani wala msikitini,

ungekua na hofu ya Mungu ndani yako usingetamani kuua kiumbe kisicho na hatia,

kwa kuwa ni 'mtu wa mataifa' lol hatuwezi kuelewana lol,
 
Wee kutoa mimba ni kosa,afu wote wanawake na wanaume tuko responsible mimba ikiingia, kama hukutaka mtoto ungesema au ungevaa condom, unakubali kuzaa afu majukumu unamuachia mwanamke,hivi unajiskiaje huko uliko?
KUTOA MIMBA NI SAWA NA KUUWA. ..UTAFIKIRI NI MCHEZO. .LAKINI UTASHANGAA UTAKAPO ANZA NA MATATIZO TELE. ..KILA UNALOFANYA UNAONA HALIENDI. ..UKIFIKA MUDA AMBAO UNATAKA MTOTO UNAJIKUTA UNAZAA MATAHIRA. .AU WENYE MAPUNGUFU FLANI..ALAFU UNAJIKUTA UNASHINDA MAKANISANI KUOMBEWA TU MAANA VITU VYAKO HAVIENDI ACCORDINGLY. ..KUTOA MIMBA NI LAANA. .
 
ni dhambi ndio kutoa uhai

ni aibu kuja hapa peupe na kudai kutoa uhai wa mtu ni kitu cha kawaida,

wewe na wanaume wenzio,mna wajibu wa kutumia condom ili mimba isipatikane,

kwa posts zako wewe huendi kanisani wala msikitini,

ungekua na hofu ya Mungu ndani yako usingetamani kuua kiumbe kisicho na hatia,

kwa kuwa ni 'mtu wa mataifa' lol hatuwezi kuelewana lol,
Nakubali ila acha tabia ya unyanyasaji kijinsia! Unadhani mwanamke hana mamlaka ya kuamua watumie condom. Mawazo yako na ya wenzako ni mawazo mgando. Mwanamke naye anawajibika katika suala la utumiaji wa condom. Acha kuwanyanyapaa wenzako
 
kama umenisoma pale juu,nimemaanisha wote tuko responsible,

na kisha hii topic inawahusu single mothers,sasa mbona mnatutupia lawama,hizo mimba nani anaziweka kama sio nyie wanaume?
 
Back
Top Bottom