Sasa ukiona unaenda kavu utegemee kila kitu mimba na magonjwa yakiwemoNilikua sijui wote wanaopiga kavu lengo ni kuzaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukiona unaenda kavu utegemee kila kitu mimba na magonjwa yakiwemoNilikua sijui wote wanaopiga kavu lengo ni kuzaa
dalili inayoonyesha umempa mtu mimba na hutaki kutoa matunzo...The bossssssss
Kama wanaume hamtaki kuzaa na hao wadada vaeni condom ....otherwise mkae kimya na kuchukua majukumu yenu
Umejaribu sana kuigeuza hii thread kuwa ni men vs women
but umeona michango ya wanawake wengi tu waki support nilichoandika
Mwanamke akiamua kwa utashi wake kuzaa asisumbue atakaemchagua kuzaa
nae hasa kama huyo aliechaguliwa hakupanga au tu hataki.....
wapo single moms wenye uhalali wa kulia na kusumbua mtu
na wapo wengine hawana uhalali huo
Hii thread imenifurahisha sana
Na kunifunza zaidi
Binafsi nilizaa na mtu sikuhitaji ndoa ila amlee mtoto,alinipa head ache kibao until I came to realise the boy is mine and am his super mom
Nikampotezea mazima,nikawa busy raising my prince
Uzuri Mungu kanibariki kaajira kangu na vitega uchumi kadhaa,thanks lord
Mwaka umeisha kaona sina time naye akaanza jirudisha ohhh tusahau yalopita tulee mwanetu,nikamjibu nani hiyo?trust me since I had my boy hajui hata color of my pants
Kwaaibu kaenda ongea na mashost ohh ongeeni na mwenzenu tumlee mtoto,I said kumtunza hujanyimwa bt you will never enter my bedroom forever
Trust me I love my boy na kalivyo kacute sasa,saivi Niko na baba mlezi tuna kalea bila bugudha,kako pre nursery sasa
Bt kuzaa tena mmhhh
Nakula ujanaa
So single moms out there msivunjike moyo,yes you can!!!
Acha kujitetea bwana bosi,we kama umemimba huko usitelekeze mtoto,lea tu bao lako hilo. Maana bila hilo bao lako mtoto asingepatikana,hata ukibakwa watoto ni baraka lea tu na sio uanze masimango. Kumbuka bila hilo goli lako mtoto asingepatikana.
In any sircumstance you have to be responsible for yo actions, hebu angalia pia wanawake wengi walopingana nawe, then digest.
Yani sababu zote zilizotajwa hapo za mimi kuwa single mom hazipo. Second embu niache nipumue basi. Naona hasira za kusumbuliwa na baby mama wako unataka kunimalizia mimi. Mtafute mmalizane usinitolee mimi machungu yako sawa kaka cjui baba?
Unaelewa maana ya neno "kama"??Naona kubishana na wewe ntapoteza muda
kumbe nikianzisha thread lazima niwe nahusika binafsi?
akili ndogo hizo
humu naanzisha thread kutetea waandishi wa habari..kwani mimi mwandishi habari?
Wewe wanawake walio support umewasoma na kuwaelewa?
tatizo si hatujui walianzaje ? ila wanatakiwa wakiamua wenyewe wajitoe kweli kweli na si kubabaishaLakini mkimkuta analalamika mnamtetea na kuwaponda wanaume
Sidhani kama hapa mada inaxungumzia unachokizungumza! Jifunze kubadilika kwenda na mada husika vinginevyo anzisha mada yako."condom" ni chanzo kimojawapo cha wanawake kutumia dildoes kujishughulikia wenyewe au wenyewe kwa wenyewe.
Kuna tofauti ipi ya mhogo uliovishwa condom na dildo?
duh basi nasikitika sana kwa kweliHawasemi ukweli....ni rahisi tu kupanda basi 'la kuwalaumu wanaume wote'
yeah if yu don have a plan to make her a wife don make her a mother.Maybe mimi ndio sielewi nini unaongelea maana sidhani kama ulijibu swali langu lileee la awali kabisa, naona tu lugha gongana. Hakuna mahali nimesema ni lazima uoe ulozaa nae,ila ni vyema usimmimbe ambae huna mpango nae.
By the way if you have no plans of making her a wife then dont make her a mother. Nafikiri hilo ndilo suluhisho.
Narudia pia mimba za bahati mbaya ni za kubakwa tu,napo waweza chukua precoutions after mbako.
Nakubaliana na wewe kuwa wote wana makosa, kwahiyo mwanamke pekee hapaswi kutupiwa lawama, pia kudate na mwanamke ambae ni mwingi ilihali unajua kabisa ni mwingi nalo ni tatizo, kataa mtoto ukiwa umejihakikishia kuwa sio wako.yeah if yu don have a plan to make her a wife don make her a mother.
the problem is that hatunaga plans za kuwafanya mothers but huwa inatokea tu,na makosa syo ya baba tu but n ya mama pia bcz unakuta wote mmeamua kupiga bila ndomu but huku mnahofu ya mimba.
hawo watoto n additions tu bcz wametokea bila kutegemea.hata mungu hapend uzinz.
kupata mimba isiyotarajiwa n risks tu bcz hata ndom sometimz hupasukia ndan.
in most cases hatuna mpango wa kuwafanya mothers bila kuwa na mpango wa kuwaoa.
But wapo wanawake na wanaume wanashida ya mtoto tuu na sio ndoa based on their age.
Wapo wadada wanategeshea kimakusud kabisa bcz may b yr rich or any other reason.
Wapo wanawake ambao syo wachoyo,wanagawa mchezo hovyo hovyo wakinasa wanachagua wakumshikisha.hii pia huchangia mimba kukataliwa bcz mwanaume anamjua mwanamke.
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] umesoma wapi jamani. Inasikitisha dah.Ngono salama ni Jukumu la Mwanamke..
Atakae pinga hilii Ukitiwa Mimba itakua ni kiherehere chako..
Wanawake wa namna Hii wanapashwa kujitafakari. Ndoa sio kila kitu Sio kila mtu alipangiwa kuoa au kuolewa. Unapashwa kumshukuru Mungu kwa kukujalia mtoto kwani ndoa ndio italea mtoto?! Hii ni karne ya uwazi na kujitambua. Bora kupata mtoto kuliko hiyo ndoa mtu analilia nayo. Wanawake wanashindwa kuelewa wanadhani walio ndani ya ndoa wana kila kitu! Wengine wanajuta kuingia kwenye Ndoa. Kujitegemea ni bora zaidi maisha yanasonga. Maisha ya usingle mother ni mazuri ukijitambua.Na wote wanadai waliahidiwa matunzo au ndoa
wakati wengi tu huamua wenyewe
[HASHTAG]#mzigua60[/HASHTAG] njoo usome hii kituHii thread imenifurahisha sana
Na kunifunza zaidi
Binafsi nilizaa na mtu sikuhitaji ndoa ila amlee mtoto,alinipa head ache kibao until I came to realise the boy is mine and am his super mom
Nikampotezea mazima,nikawa busy raising my prince
Uzuri Mungu kanibariki kaajira kangu na vitega uchumi kadhaa,thanks lord
Mwaka umeisha kaona sina time naye akaanza jirudisha ohhh tusahau yalopita tulee mwanetu,nikamjibu nani hiyo?trust me since I had my boy hajui hata color of my pants
Kwaaibu kaenda ongea na mashost ohh ongeeni na mwenzenu tumlee mtoto,I said kumtunza hujanyimwa bt you will never enter my bedroom forever
Trust me I love my boy na kalivyo kacute sasa,saivi Niko na baba mlezi tuna kalea bila bugudha,kako pre nursery sasa
Bt kuzaa tena mmhhh
Nakula ujanaa
So single moms out there msivunjike moyo,yes you can!!!