BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Na hawakupenda kuwa katika hali hiyo, humu utaona malalamiko ni dada kapendana na njemba, njemba inadai haitangazi harusi hadi bi dada ashike ujauzito. Bi dada anashika ujauzito njemba inaingia mitini!
Kuna kila sababu kwa Serikali kuweka sheria kali dhidi ya wanaume kama hawa ili kukomesha uhuni hii. Kuna mmoja alikuja kujisifu humu ana watoto 11 mama mbali mbali wala hana msaada wowote kwa watoto hao.

Hawa single mama acheni kuwasimanga wakuu respect them