Single mothers na vilio vya kushangaza

Single mothers na vilio vya kushangaza

Hakuna mtu aliyechagua kuwa single mom, it just happens na hakuna jinsi. Hawa single moms mimi nawaheshimu sana, they're stronger than us all, they are fighers, breadwinners kwa watoto wao, mara nyingi wanakuwa bullied lkn still they keep going.

You need an iron chest kuwa single mama. Ni watu kamwe siwezi kuwasimanga.

Hats off to all single mama who are disrupting status quo. Salute!

Can't say more, well said buddy !
Mimi actually natafuta a friend ambaye ni single mom, I can better deal with a matured mind better than hawa vicheche !!
 
mi ni mwanamichezo na mgumu haswa...muumini wa grit and grind kwenye michezo yote ninayocheza...ila dadangu nakuhakikishia....HAKUNA MCHEZO MGUMU KAMA HUU WA KU-PULL OUT!! bora nisifanye kabisa aisee.
msitulaumu kwenye hili jameni
Realy?
 
The Boss man... unajuaje kuwa wanaolia lia hapa waliamua kujibebesha mimba? Mmejuaje makubaliano yao na waliokuwa wanaume zao, Kwani mnapovua nguo wote wawili, mwanaume hutumii CO, hujui kama mwanamke wako anatumia sindano au vidonge au njia yoyote yakupanga uzazi, hujui kama yuko on safe days au lah yet unamwaga ndani unategemea nini? Jukumu la kupanga kuzaa mbona mnalifanya kama la KE pekeao? Kama sivyo iweje likitokea lakutokea alaumiwe KE pekeake? Mi nashangaa kwanini wanaume mnajivua kabisa katika mess mliyoicreate kwa pamoja.
Mi naona wanaojivua kwa hili ni wanaume wahuni na wasiojiamini wamekaa vichwa jujuu kuangalia leo huyu kesho huyu,

lkn kwa wale wanaojiamini na watulivu huwezi kukuta wanafanya uchafu wa kuwa na watoto kila mtaa.
 
Lazma nyas ikatwe ndi upitishe jembe
Ukijuq unajiandaa
Afta kulima utavuna
Ni kweli nakubaliana na wewe na upuuzi wa kuzaa kabla ya ndoa ni wa mwanamke.

Lkn na wewe baba ili usimuachie mzigo na maumivu mwenzio fanya kujikinga basi naimani utajikinga na maradhi pia.
 
Ni kweli nakubaliana na wewe na upuuzi wa kuzaa kabla ya ndoa ni wa mwanamke.

Lkn na wewe baba ili usimuachie mzigo na maumivu mwenzio fanya kujikinga basi naimani utajikinga na maradhi pia.
It's true
 
Yani Hapo ndio nashindwa kuelewa hata kama mwanamme kasema kweli na wewe lazima usome nyakati sio ukiambiwa tuu
kwanu huyu mwanamme maneno yake Kitabu kitakatifu kua haya badiliki? wanakua na wahka wakuolewa wanaona umri
unakwenda demand walokua nazo ni nyingi mpaka hata huyo mwanamme ana tafuta wakuelewananae,sasa wakisha pata mimba ndio ooooh kanambia eeeh kanambiaaaa atanioa lakini sasa kaniona sifahi,yes hufai kweli raha ya mtoto mridhiane bwana sio sababu umeambiwa mara moja tuu ndio umechukulia kweli,mwanamme ana maneno matamu akitaka kukuvua
ngua hata sijui yanatokea wapi..
 
Ukitaka kufa kwa pressure oa single mother!

*@#f&%*@#k
 
Napendekeza serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara husika iunde hata chama maalum kwa ajili ya hawa single mothers kama ilivyo CWT kwa walimu nk. maana wanazidi kuongezeka inabidi wapate taasisi maalumu ya kuwasemea
Mimi ni single mom ila sitajiunga kwenye hicho chama. Sio mlemavu mie.
 
Hili ni janga la kimataifa, sio hapo Tz tu hata huku Ulaya na AMERICA yote. Akina dada wanalazimisha matunzo au ndoa wakati wao walisema mimi ninauwezo wa kulea mwanangu, sihitaji hata senti 5 yako?

Kuna jamaa yangu ana mabinti wanamsumbua sana, kila mara anabadili namba za simu.
 
Km zamaradi 2 kids kwa ruge...[emoji13] [emoji13] na bado ana wenzie wanaozaa nae sambamba

sijui nao wanahaidiwa ndoa wote au jina tu linawasumbua
Unamaanisha Zamaradi nae analalamika au?
 
Akina The Boss wanajua kizazi kikishaharibika he has nothing to luz, atakwenda kwa mwingine ambae iko vizuri.
Tehe... huyu ni MBA hata kizazi cha mchepuko kikiharibika hapotezi kitu. Ana watoto kwa mkewe. Point yake naielewa - mwanamke kujipatisha kwa makusudi mtoto bila ridhaa ya baba mhusika siyo fair kwa huyo baba wala kwa mtoto. Kila mtu alinde kidude chake. Atakayeshindwa basi awajibikie matokeo.

Mtu huna uwezo wa kulea lakini unatamani mtoto na ndoa ni majaliwa basi jikwamue kiuchumi kwanza uweke mazingira ya kumlinda mtoto. Sasa huna mbele wala nyuma unatafuta riziki kwa kutumia mtoto? Hiyo ni kutupa ndoano kama biashara zingine - kuna kupata au kukosa. Ukikosa jibebe. Ila ningekuwa mwanaume nisingekimbia moja kwa moja. Ningeacha mtoto amalize kunyonya nikamlee halafu nakoma kiranga cha kutembeza rungu bila tahadhari.
 
Hakuna mtu aliyechagua kuwa single mom, it just happens na hakuna jinsi. Hawa single moms mimi nawaheshimu sana, they're stronger than us all, they are fighers, breadwinners kwa watoto wao, mara nyingi wanakuwa bullied lkn still they keep going.

You need an iron chest kuwa single mama. Ni watu kamwe siwezi kuwasimanga.

Hats off to all single mama who are disrupting status quo. Salute!
Well said. Salute to all single mothers
 
Zaman ilikuwa bint akijulikana mjamzito bila ndoa ilikuwa n aibu sana na wengine kufukuzwa kbixa. Tofaut na saa hv kuzaa n fashion na hakuna anayeona aibu na wala si jambo la kushangaza kusikia bint amabae hajaolewa anamimba hilo linazid kuongeza kasi ya single mothers
Lakin pili ni kwel kbixa wla tusikatae wanawake wengi baada ya kuona umri unaenda anaamua kutumia mimba kama kigezo cha kumfanya mwanaume accomit yaan amuoe inapotokea n tofauti ndio hapo tunajiliza kuwa victims

Tatu ni opportunity mwanamke akishaona mwanaume uko finally stable anabeba mimba kama ngaz ya mafanikio akiamin kabixaa kwa wewe kuwa tajiri na yy maisha kayapatia so anaamua kubeba mimba na ndio maana siku hizi watu wanajifanya hatuwez kuabort eti n dhambi mara mwogope Mungu hakuna lolote mimba anakuwa amebeba kwa kudhamiria.
Last wanawake tukubal ukwel karne hii asimilia 99% tunabeba mimba tukiwa na sababu zetu either tunataka ndoa na tumeona hyo ndio njia ya kuipata, either umespot opportunity, either umeona umri umeenda unakaribia menopause n hakuna dalili ya ndoa nk na ni 1%tu ya mwanamke karne hii anapata mimba bila plan. Wengine mtakuja Hapan kuleta hisia zenu but bila kuwa biased am a woman too just told the ukwel wa jamii ya sasa mleta mada upo sahihi
 
Nimesoma huu uzi baada ya kuumaliza nikarudi tena juu kuangalia aliyeanzisha nikadhani niliona vibaya
 
Back
Top Bottom