Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Yaani jf ukikufatilia 100% unaweza hisi mwisho wa dunia ni kesho, kumbe walaaa.
Serious mkuu. Huku kuna watu wanajua kuhukumu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani jf ukikufatilia 100% unaweza hisi mwisho wa dunia ni kesho, kumbe walaaa.
Afadhali atoe!!! Damn you.
Watoto wangu wakizibeba ni juu yao na waliowapa huo ujauzito. Ukikubali iingie bila condom ujue kuzaa kupo nje nje. Ni afadhali uitoe kuliko kusumbuka na mtoto. Sikuachi hadi uone makosa yako
Your warning holds no grounds! Unawaonya wanawake wa hapa hapa Tanzania? Teh teh!Wanawake wenzangu jamani tuwe makini na hawa viumbe, its about time sisi ndio tuishi nao kwa akili maana hali sio hali tena. Mwanaume sio ndugu yako,just through hizi threds unapata picha ya ni aina gani ya wanaume tunaodeal nao so akili kumkichwa, zaa kwakuwa umeamua na una uwezo wa kumlea huyo mtoto, huyo sperm donor mpotezee tu, akiona bora amlee mwanae its okey.
Ila kabla ya kuchukua maamuzi hayo pia basi utafakari pia kuhusu huyo mtoto atakaezaliwa ni aina gani ya maisha unataka aishi,ist worth it?
haa ndio maana jamaa kasema mnatumia mtoto kama criteria.Unaonaje akikataa kutumia ndom na hauna plan yoyote ya kumuoa basi uachane nae tu. Uje uteleze kwa yule ulo na plan nae!! Maana hapa victims ni watoto jamani hebu kabla hatujajitoa ufahamu tuwafikirie na tuache ubinafsi.
Usiseme they are very happy, unless yo one of them. Kwahiyo kabla haujaongea hayo hebu tafakari upya.haa ndio maana jamaa kasema mnatumia mtoto kama criteria.
hapo victim syo mtoto bcause single moms tunaish nao and watoto wao wapo very happy bcz a respobsible dady atatenga hata one day atlist astay na mwanae.
Hapo victim n mama wa mtoto na ndio hapo mama anapomtumia mtoto kama kimbilio.
kuna watoto baba zao hawapo but they r very happy .
Kama ambavyo kuongea na wanaume wa tanzania ni kujitoa ufahamu tu.Your warning holds no grounds! Unawaonya wanawake wa hapa hapa Tanzania? Teh teh!
i was one of them bcz nmemjua my dady nikiwa na 5 yrs bcz alikuwa jela.Usiseme they are very happy, unless yo one of them. Kwahiyo kabla haujaongea hayo hebubtafakari upya.
Kwakweli wanawake wa kitanzania kazi tunayo,sio kwa mafurushi haya.Ndo akili yake ilipoishia. Ukitaka ujue akili ya mtu angalia anachoongea au kuandika.
Now i get it, maana hata wewe huoni kuwa kuna tatizo katika unachoongea.i was one of them bcz nmemjua my dady nikiwa na 5 yrs bcz alikuwa jela.
watoto hawanaga shida sana bcz kuna wengine wanazaliwa baba zao wakiwa nchi za mbali.
Ni kosa kuzaa unwanted child katika maisha wakati contraceptives zipo. Kutoa mimba abortion si kosa kama mnavyofikiria wewe na espy kusema za ukweli hakuna haja ya kuleta kiumbe duniani kwa raha zenu kikateseka. Lazima uzae wakati ukiwa tayari kutunza. Huo ni msimamo wangu.Sasa unataka nione makosa yangu we Mungu au? We una makosa yako kibao kuna mtu anakukumbusha kuyaona? Acha kutolea hasira za moyo wako wengine.
Wee kutoa mimba ni kosa,afu wote wanawake na wanaume tuko responsible mimba ikiingia, kama hukutaka mtoto ungesema au ungevaa condom, unakubali kuzaa afu majukumu unamuachia mwanamke,hivi unajiskiaje huko uliko?Ni kosa kuzaa unwanted child katika maisha wakati contraceptives zipo. Kutoa mimba abortion si kosa kama mnavyofikiria wewe na espy kusema za ukweli hakuna haja ya kuleta kiumbe duniani kwa raha zenu kikateseka. Lazima uzae wakati ukiwa tayari kutunza. Huo ni msimamo wangu.
Naomba nikueleze ninachoamini na nilivyo; mtoto ana hatua nne katika maisha yakeWee kutoa mimba ni kosa,afu wote wanawake na wanaume tuko responsible mimba ikiingia, kama hukutaka mtoto ungesema au ungevaa condom, unakubali kuzaa afu majukumu unamuachia mwanamke,hivi unajiskiaje huko uliko?
Hao kinadada au mama lazima wabadilishe mfumo wa mawazo yao. ..waachane na kuwaza kuwa tegemezi. .mbona UNIVERSE ina pesa nyingi sana. .CHANGE YOUR THOUGHTS. .CHANGE YOUR LIFE. .Na wote wanadai waliahidiwa matunzo au ndoa
wakati wengi tu huamua wenyewe
Naomba nikueleze ninachoamini na nilivyo; mtoto ana hatua nne katika maisha yake
i. Akiwa ni mimba (jukumu la kumtunza ni la mama yake); kazi ya baba ni kutunza mama mwenye mimba yake
ii. Akiwa ananyonya (jukumu la kunyonyesha ni la mama yake); ila kama hana maziwa jukumu la kununua maziwa ni la baba na gharama zote kuhusu mtoto, hospitali n.k.
iii. Akiacha kunyonya na kuanza shule kabla ya kufikisha miaka 18; jukumu la kutoa fedha za kumtunza mtoto ni la baba
iv. Akitimiza miaka 18 na amemaliza masomo; jukumu ni lake na hakuna urithi
Nadhani utakuwa umenipata ila kama huwezi kufanya hivyo bora utumie kinga ili mimba isitungwe, ikitungwa bahati mbaya ni KUITOA tu. Acha mawazo ya kijima ati ukitoa mimba zambi, zambi alikuwa ni kocha
KUTOA MIMBA NI SAWA NA KUUWA. ..UTAFIKIRI NI MCHEZO. .LAKINI UTASHANGAA UTAKAPO ANZA NA MATATIZO TELE. ..KILA UNALOFANYA UNAONA HALIENDI. ..UKIFIKA MUDA AMBAO UNATAKA MTOTO UNAJIKUTA UNAZAA MATAHIRA. .AU WENYE MAPUNGUFU FLANI..ALAFU UNAJIKUTA UNASHINDA MAKANISANI KUOMBEWA TU MAANA VITU VYAKO HAVIENDI ACCORDINGLY. ..KUTOA MIMBA NI LAANA. .Wee kutoa mimba ni kosa,afu wote wanawake na wanaume tuko responsible mimba ikiingia, kama hukutaka mtoto ungesema au ungevaa condom, unakubali kuzaa afu majukumu unamuachia mwanamke,hivi unajiskiaje huko uliko?
Nakubali ila acha tabia ya unyanyasaji kijinsia! Unadhani mwanamke hana mamlaka ya kuamua watumie condom. Mawazo yako na ya wenzako ni mawazo mgando. Mwanamke naye anawajibika katika suala la utumiaji wa condom. Acha kuwanyanyapaa wenzakoni dhambi ndio kutoa uhai
ni aibu kuja hapa peupe na kudai kutoa uhai wa mtu ni kitu cha kawaida,
wewe na wanaume wenzio,mna wajibu wa kutumia condom ili mimba isipatikane,
kwa posts zako wewe huendi kanisani wala msikitini,
ungekua na hofu ya Mungu ndani yako usingetamani kuua kiumbe kisicho na hatia,
kwa kuwa ni 'mtu wa mataifa' lol hatuwezi kuelewana lol,
Nakubali ila acha tabia ya unyanyasaji kijinsia! Unadhani mwanamke hana mamlaka ya kuamua watumie condom. Mawazo yako na ya wenzako ni mawazo mgando. Mwanamke naye anawajibika katika suala la utumiaji wa condom. Acha kuwanyanyapaa wenzako