Single mothers na vilio vya kushangaza

Steve Bing ni mMarekani mfanyabiashara tajiri, alijidai yeye ni senior Batchelor, alimdate actress mwingereza Elizabeth Hurley, walikwenda for a week break kwenye romantic place, Liz alijua kabisa yuko kwenye danger days, baada ya romance za wiki, mimba ilikamata, Steve alipinga sana kuwa mimba si yake, Liz alimdanganya kuwa yuko kwenye pills, baada ya siku aibu imemkuta DNA test imeprove mtoto ni wake.

Kutokana na pesa ya jamaa, Liz na mtoto wanavuta £1million kwa mwaka kama child support kutoka kwa Steve na Damiani ni mtoto pekee wa Steve Bing mpaka sasa hivi na ndiye mrithi wa mali zote za baba yake.

Msituone ni wajinga tukiona opportunities tunazitumia pia.
 
Wapo wengi nowadays anaamua hataki kuolewa
anazaa tu na mtu but hataki ndoa

tembea uone

na wapo ambao anazaa na mtu kwa uamuzi wake tu binafsi
bila kumshirikisha anaetaka kuzaa nae
Hii inatokea pale unapoona umri umeenda na akuna anayeonesha interest ya kukuoa, so its beta ujizalie kabla monopause haijafika
 
Inabidi ifike kipindi jamii yetu iondoe dhana mbovu iliyojengeka mwanamke asipoolewa anakuwa na tatizo fulani nadhani inaweza kupunguza mihemko ya ndoa kwa dada zetu na inaweza kusaidia kupunguza tatizo hili.
Its natural mtoto Wa kike akifika miaka 25 hujikuta akiitaji mwenza.so mhemko Wa ndoa kuanzia umri huo in lazima
 
Hili lina ukweli

But usisahau hata hao single moms wengine wanachagua sana pia wachumba
na sio kwamba wote hawapati wachumba
na single mama wengine wako single by choice na still wanalia kama wanaonewa..
kuolewa hawataki....
Kuchagua ni muhimu, siwezi kuolewa na MTU tu just becoz I need to get married...I need MTU ntayempenda...masuala ya ilimradi haya yanakuaga na kasumba za aina yake
 
Walked away, the chick was crazy!! But i still feel for the kid, he ended up having some crazy parents!! Crazy mom n a junk dad,poor kid

Well, and it's often them crazy ones with good poosay to cloud your judgement man. So tough being a man.

Hope the kid will grow up all right.
 
Skuzote nasema hakuna mimba ya bahat mbaya kana mwanamke yuko over 20

Wakat yuko danger day anajua kabsa hapa staliwi kufanya chochote

Na wakat akiwa free anajua hapa
Naweza fanya nnavotaka hata akikutana nao 100 hakiaribik kitu maana n starehe

Sasa mnavosema mimba n za
Bahat mbaya cjui mnamaanisha nn

Makosa yote hufanywa na wanawake wenyw kuzaa wanataka wenyw
Hamkushikwa lazma mkawekewa hzo mimba

Kama hawa single mother wapo kama utitiri huku mtaan

Makosa yao wnyw af kuja kutulaumu wanaune

Unaandaa shamba wakat wa mvua af unasubir mkulima aje kupanda na mvua inanyesha
Unategemea hzo megu ziozee
Sahauuu

Lazma uvune ulichopanda
 
Well, and it's often them crazy ones with good poosay to cloud your judgement man. So tough being a man.

Hope the kid will grow up all right.
Yeah man, the kid will be ayee

Recently met the chick in a situation I couldn't ignore her, she was sitting with a girl she later claimed to be a friend

For a sec i didn't know how to act,then I just man up, had a little convo with her, flirt with her friend and made the old b!tch jealousy before walking away

Crazy man
 
Tatizo kubwa la wanawake hampendi kutumia kinga, na wengi hata danger days hawazijui, wao kanyaga twende tu
Mkuu kama unadate kanyaga twende ni watu wa aina flani either ni wanafunzi au naïve, kwa uelewa wako kama umeamua kwenda huko ni kheri ifanye health promotion.
 
Kwa hiyo sky makapuku kama sisi ndo mnatuambia tuvae condom mbili mbili kabisa?
 
Mkuu kama unadate kanyaga twende ni watu wa aina flani either ni wanafunzi au naïve, kwa uelewa wako kama umeamua kwenda huko ni kheri ifanye health promotion.
Mkuu kanyaga twende ndo hawa hawa Dada zetu graduates
 
Hili linaukwel sanaa mm yamenikuta na ni kama hiii story umeitoa kichwan mwangu

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Basi fanya health promotion since you seems to better.
Did you miss the part where I cleared declared to be the 'pull out method' king???

Haha

There is no way am nutting in a person I don't wanna build an empire with,ma'am!
 
Hapa mwanaume wa kulia lia ni yule alobakwa maybe kwakuwekewa madawa, ila hawa sperm donors wawe tu responsible kwakweli.

Kwakuwa hii ni blame game na wamegoma kubeba lawama as if wanawake ndio wana mayai na mbegu basi acha iendelee kuwa hivyo hivyo.
 
Jukumu la kupanga kuzaa, kabla ya ndoa ni la mwanamke peke yake, why..coz you have no ties with him. Hamjafungamanishwa kwa lolote, zile ni tamaa za ngono tu zinawafanya mkutane kimwili...

Uzazi unapangwa na watu wawili walioko kwenye ndoa.
 
So long hatubebi mimba,ukijiachia napiga kavukavu tu.kwani nakubaka si umetaka mwenyewe bana.Kuweni makini jamani uchungu unaumiza sana kama hujui pitia dirisha la leba afu jamaa yuko mtaa mwingine anaharibu hata chai haleti sasa taabu yote ya nini?
Ubinafsi wa wanaume Kama ulivyouonesha hapa Ndio Tatizo linalotuletea jamii yenye watoto wakatili na tabia nyingine Za ajabu Kwa kukosa Malezi yaliyotimia. Wengine Hata mna familia Bado hamjali maradhi Eti hutumii kondom mpk mwanamke aseme mnajiua wenyewe na mnaua Wengine na kuacha watoto wasio na muelekeo.
Be a man, be responsible .
Ndo maana Wengine wanahangaika hawafanikiwi, na laana zinachangia Kwa kukataliwa na baba zao na Wengine wenyewe kukataa watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…