Steve Bing ni mMarekani mfanyabiashara tajiri, alijidai yeye ni senior Batchelor, alimdate actress mwingereza Elizabeth Hurley, walikwenda for a week break kwenye romantic place, Liz alijua kabisa yuko kwenye danger days, baada ya romance za wiki, mimba ilikamata, Steve alipinga sana kuwa mimba si yake, Liz alimdanganya kuwa yuko kwenye pills, baada ya siku aibu imemkuta DNA test imeprove mtoto ni wake.
Kutokana na pesa ya jamaa, Liz na mtoto wanavuta £1million kwa mwaka kama child support kutoka kwa Steve na Damiani ni mtoto pekee wa Steve Bing mpaka sasa hivi na ndiye mrithi wa mali zote za baba yake.
Msituone ni wajinga tukiona opportunity tunazitumia pia.