Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Lazima tuongee mkuu, kila siku kuna zuka kitu kipyaMngewapumzisha kidogo mnawasakama sana..
Safari hii aliyewasakama ni gazeti la nipashe.Mngewapumzisha kidogo mnawasakama sana..
Mwisho wa dunia huu... Shetani huwa ni mjanja sana anakutengenezea starehe ya muda mfupi halafu anakuangamiza mileleSijui dunia inaelekea wapi, hii issue si tz tu ni dunia yote.
Kuna kadem nlichukua namba yake, kwenye kuchati nako nikaona kanatoa ushauri kama wote..... Kukapeleleza vizuri kumbe ni single mother... Ety hataki kuumizwa tena... Mara anaomba Mungu amjalie ndoa. Nkasema mmmmm hapa umeyakanyaga, we leta mbususu nichakate ila mi binafsi niko Chama cha KATAA NDOA.Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Mi binafsi nataka walau watoto wawili ila sitaki mama yao.Mwisho wa dunia huu... Shetani huwa ni mjanja sana anakutengenezea starehe ya muda mfupi halafu anakuangamiza milele
Wizara husika wanajifanya hawalioni wako kimya acha vibaka na majambazi waaendelee kuongezeka mitaaniHapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa ni mkubwa sana, na wengine walisikika kwa sauti wakisema WANAWAKE TUNAWEZA.. sasa athari zake zimeanza kuonekana wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa ni wengi sana kadiri muda unavyozidi kusogea, sijui baada ya miaka 20 ijayo itakuwajeπ mbaya zaidi hawa single mothers wanajiona wana haki ya kusaidiwa , ukimsaidia usitegemee shukrani wewe msaidie tu..... Miaka ijayo tutakuwa na kiwango kikubwa cha hawa single mothers wenye tatizo la afya ya Akili...... View attachment 2964040
Single mothers wengi wao wanajifanya wana akili sana halafu eti wako stable πππKuna kadem nlichukua namba yake, kwenye kuchati nako nikaona kanatoa ushauri kama wote..... Kukapeleleza vizuri kumbe ni single mother... Ety hataki kuumizwa tena... Mara anaomba Mungu amjalie ndoa. Nkasema mmmmm hapa umeyakanyaga, we leta mbususu nichakate ila mi binafsi niko Chama cha KATAA NDOA.
LINDA KIBUNDA CHAKO.
Hahahahaha. Saaa unajiuliza kwanini hizo akili hawakuonesha kwa baba wa hao watoto. TrashhhhhhSingle mothers wengi wao wanajifanya wana akili sana halafu eti wako stable πππ