Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Ila kiukweli demu akishakuwa single mother Hana Tena uwezo wa kuchagua atakavyo, lamda awe mpambanaji na mwenye kipato angalao mwanaume anayetambua atasema sawa yeye ni single mother ila anakasifa kaziada ni mpambanaji. Lakini single mother alafu kipato chako ni kupitia mbususu,,, tutapata wajinga ndio wakuweke ndani
 
Single mothers wengi, huwa wanatia huruma sasa jidanganye kuwahurumia ujue walivyo...

Huwa wanastress zisizo elezeka!
Juzi kuna mmoja nilimpa mchele ale na wanae.... Kuna kituko alikifanya muda ujao nitakileta tuje tucheke wote..... Nimevumilia kuchekea chooni nimeshindwa😀😀😀😀
 
Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Na unakuta kilichomtoa kwenye muungano wa ndoa ni hiyo hiyo biashara ya mihogo baada ya kupata faida mfululizo ya 15K per day akajiona naye anaweza akamletea mumewe kiburi kwamba asimwambie kitu kama biashara na yeye anayo asimbabaishe amuache.

Kuna mmoja alinipigia story yake anauza matunda kwenye basin namna ndoa yake ilivyoenda mrama hata unajiuliza hawa kweli wanajitambua hawa?
 
Ngoja warudi saivi wamesindikiza watoto waende shule
Shule wanasomesha kwa kudanga waume za watu.

Ukikitana nae hata kwenye biashara mkabadilishana namba(wewe kichwani huna lengo wala huwazi mapenzi) baada ya kufanya kazi mbili tatu anakuchomekea mkopo ukimpa kulipa halipi anaanza kutengeneza mazingira umtake.hovyo tu
 
Shule wanasomesha kwa kudanga waume za watu.

Ukikitana nae hata kwenye biashara mkabadilishana namba(wewe kichwani huna lengo wala huwazi mapenzi) baada ya kufanya kazi mbili tatu anakuchomekea mkopo ukimpa kulipa halipi anaanza kutengeneza mazingira umtake.hovyo tu
Wana maisha magumu aisee, mungu awasaidie
 
I give a holler to my sisters on welfare
Tupac cares, if don't nobody else care
And uh, I know they like to beat ya down a lot
When you come around the block, brothas clown a lot
But please don't cry, dry your eyes, never let up
Forgive but don't forget, girl, keep your head up
And when he tells you you ain't nuttin' don't believe him
And if he can't learn to love you, you should leave him
'Cause sista you don't need him
And I ain't tryin' to gas ya up, I just call 'em how I see 'em (you don't need him)
You know me makes me unhappy? (What's that?)
When brothas make babies
And leave a young mother to be a pappy (oh, yeah, yeah, yeah)
And since we all came from a woman
Got our name from a woman and our game from a woman (yeah, yeah)
I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women? (Why? Why?)
I think it's time to kill for our women (why? Why? Why? Why?)
Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies
That will hate the ladies, that make the babies (oh, yeah, baby)
And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create one

So will the real men get up
I know you're fed up ladies, but keep your head up​
 
Hivi umewahi sikia kampeni za usawa wa kijinsia kwenye dunia ya waarabu? na mashariki ya mbali?
kwa nini Africa?.
JIBU: Kutokana na watu hao kukosa maono na muelekeo wa maisha yao, na hatima yao ina amuliwa na wachache.

Ebu ona:

1.Wafadhili wakubwa wa mikutano,semina,warsha na taasisi za kutetea wanawake.
Ndio hao hao wafadhili wa vita ktk nyinyi zote za Africa-Kumbuka wahanga wakubwa ni watoto na hao wanawake.

2.Wale wale wenye kuendekeza ubaguzi wa rangi kwa mtu mweusi, ndio hao hao eti watetezi wa mwanamke huko afrika kwa jina la domestic violence!

3.Walio kuwa wauzaji wa binadamu mnadani kama bidhaa, leo hii wamegeuka na kuwa watetezi wa haki za bindamu duniani, polisi wa duni!
Na ni hao hao wafadhili na wamiliki wa website zenye kuchapisha uchi wa mwanamke.
Na ndio hao hao watetezi na walinzi wa watoto wa wanawake wa kiume waolewe!

ANGALIZO:
Kama ilivyo kwa ukoloni enzi hizo, mtu mweusi alihusika pakubwa kwa Kusaliti wengine na kuwa chawa wa wazungu.
Hivi leo kuna wasiliti wanao onekana mashujaa wa kutetea na harakati za jinsia na usawa, kumbe wanawapotosha na kutesa wenzao.
Ni kweli wanamke ni jeshi kubwa, lakini jeshi lina pambana na adui wasio mjua!sio rahisi kushinda hivyo vita zaidi wanajiangamiza wenyewe.
WENGI WAKO STRONG MDOMONI, NA WEAK MIOYONI
 
Back
Top Bottom