Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Umeongea ukweli, hii ilishawahi kunitokea
Mimi huwa sio muongeaji wa mambo yanayotokea ndani ila mwanamke alikuwa na tabia ya kuwapigia simu wajomba zake na kunisema vibaya kwa majirani ili mimi nionekane mbaya, nikarudisha kwao

Siku mjomba wake namueleza mambo yote yaliyotokea, akaniambia, "Tatizo lako mjomba ulikuwa husemi"
Sasa useme na umuambie Nani?... Ulikuwa huna pakusemea ndio maana ulikuwa unakaa kimya
 
Single mother kwa mara nyingine tena!? Tuwapumzishe kidogo then tujadili na single father nao huenda tatizo lilianzia huku.
 
Naomba tupate muongozo kuhusu hili la single mothers.

Hawafai tena kuolewa

Na wanaobidi kuolewa ni single mothers wote waliofiwa na wanaume zao.
Alafu wale nadhani tuwatoe kwenye kundi la single mazaz wale ni wajane
 
Back
Top Bottom