Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Okay kuachwa kufukuzwa au kukaa kwenye poisonous relationship hizo sio sababu...,

Nasikitika kusema hujui unalolisema..., Na ni nini maana ya Civilized ? Afrika kwa muda mrefu au kipindi cha Hunters and gathers kulikuwa na mgawanyiko wa kazi Mwanaume kwenda kuwinda na kutafuta na mama kubaki nyumbani kulea na kuangalia watoto...

Unakuta hata Jamii za Kimasai ilikuwa mwanaume akienda kutafuta malisho nyumba ikibaki tupu mwanaume yoyote akija pale anamiliki hiyo nyumba it was necessary sababu mwanamke alihitaji ulinzi wa Mwanaume bila hivyo Jamii ingemtenga na kumuona kama mtu wa ajabu na laana na ingepelekea hatari kwenye maisha yake..., Na mwanaume kwenda kutafuta malisho huende ingechukua hata miaka kabla ya kurudi na aliporudi angekuta mwingine ameshamiliki wala kulikuwa hakuna shida (hio ndio ilifanya Jamii yao iendelee na kuwa na safety kwa watoto, which is the most important issue)... Kuna makabila ilikuwa kaka mtu au mdogo mtu akifa kaka au mdogo wake anarithi mke....; Mama alikuwa ni mama wa nyumbani hana means / haruhusiwi kujishughulisha na kumiliki / kuleta mkate wa kila siku hivyo asingeweza ku-survive bila mwanaume

Kwamba mjane akifiwa akiendelea kulea watoto peke yake sio single ? au Mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine akapata mwanaume mwingine na wakazaa au wasizae bado ni single mother Au hata hujui unachokiongelea ?

Na wadangaji ni watu gani..., Mwanamke aliyekimbiwa na mtu aliyemzalisha akabaki peke yake kuuza mihogo ili watoto wasife huyo ni mdangaji ? Kwanza binafsi nampa Heko mtu ambaye anaweza hata kuuza utu wake (sio kwa kupenda) bali kwa kukosa alternative ili watoto wake wasife njaa (huyo haitaji kusemwa bali jamii iliyomzunguka iliyomuweka kwenye hio situation ndio ya kulaumu) sio wote wanajiuza wanapenda na wala sio shughuli rahisi ni hatari na wengi wao wamejikuta kwenye hio situation kutokana na circumstances

Nadhani wewe unadhani unajua haya mambo wakati kwa kweli haujui at least mimi kulinganisha na wewe am Wiser sababu I know that I know nothing hence kuendelea kujifunza kila siku... Mkuu kila situation ni tofauti and every case must be judged differently yaani unasema kabisa kila mtu ana magic fulani ya kujua mahusiano yatakuwaje kesho ? Hakuna perfect marriages kuna uvumilivu wa hali ya juu sababu kuna milima na mabonde na ukipendwa leo haimaanishi kesho utapendwa unaweza ukachokwa na kufanyiwa visa - It takes two to Tango na makosa mara nyingi hayawezi kuwa ya mmoja pekee au sio necessarily ya mwanamke yanaweza kuwa ya Mwanaume....; Na ikifika point of no return kuliko kuona watu wanapigana risasi au kuwekeana sumu ni bora kila mtu akate kona...

Sasa hapo unajipinga mwenyewe kwamba hachagui au kulazimishwa alafu labda kilevi au kubakwa ? kwahio akibakwa au akiwekewa kilevi au akidanganywa alafu akaachwa na akawa mlezi pekee wa watoto huyo ataitwa half single mother ?

Speak for yourself Mkuu na ndio nyie ambao huwa tunasikia mmechoma watu visu au kuwapiga risasi sababu mnachodhani kwenye akili zenu does not exist... Huwezi kumiliki binadamu mwanzako..., hususan kama ana choces na options..., sanasana utajitafutia magonjwa na stress za bure Na wewe unachotaka kufanya ni kuondoa hizo choices na options alizonazo (jambo ambalo nakwambia its impossible kwa maisha ya sasa) Na sidhani kama ni better kurudi kwenye dark ages ambapo dada zetu, mama na bibi zetu walikuwa commodities za wanaume kutumia

Kupigwa kumepungua sana angalia historia..., Unajua kwanini sababu kama nilivyokwambia wanawake wana options wana sehemu ya kukimbilia zamani walikuwa hawana hio option na wangekutana na watu wenye fikra kama zako option yao ilikuwa ni kupigwa na kuwa-abused mpaka siku wanaingia kaburini au labda kujiua...

Mkuu haya sio mashindano wala sijasema mwanaume hawezi kuwa abused anaweza sana kuwa abused emotionally ila tofauti ni kwamba always amekuwa na option ya kufanya jambo au kumuacha huyo mwanamke au kumfukuza..., jambo ambalo mwanamke alikuwa hana hio option until recently..., sasa hivi hategemei kuletewa chakula mlangoni hategemei mwanaume ili aweze kupata chakula malazi na mavazi (zamani alitegemea yote hayo)..., kwahio hata zamani Bibi zetu wangepata hizo option haya yangetokea then and not now....

Na hakuna direct relation between kudanga na single mother...., Mama mara nyingi kitu cha maana kwake ni watoto wake na ndio maana wengine hawawezi na bora wabaki single kuliko tu kukidhi matakwa yao ya kumpenda fulani basi kuolewa nae bila kwanza kuhakikisha usalama na furaha ya watoto wao (an to me that is a positive and not negative)

Nakushauri uwe na fikra fluid na sio rigid na wala huwezi kugeneralize kila kitu kwa kutumia one explanation..., every case is different
hujakutana na hawa watu wanaojiita sngel mother kwaza asilimiia kubwa wanafanana tabia ni jeuri na malaya wakutupwa!
 
IMG_25670418_063440.JPG
IMG_25670418_063440.JPG
 
90% ya singo maza ni matokeo ya umalaya... 90% ya singo maza wanaendeleza umalaya...
Kuliko uoe singo maza ni heri ufe bachelor mwenye watoto kila mkoa
Senge kweli....
Kwamba unajiona sio punguani kuongeza idadi ya watoto wasio na baba, watu kama nyie mama zenu waliteseka bure kubeba mimba za watu washenzi na kuteseka kutunza mburukenge
 
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.

Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa mama wasio na waume wanajiona wana haki ya kusaidiwa, na ukimsaidia, usitegemee shukrani; msaidie tu. Miaka ijayo, tutakuwa na kiwango kikubwa cha hawa mama wasio na waume wenye tatizo la afya ya akili.

View attachment 2964040
Utapingwa lakini huu ndo ukweli.
 
hujakutana na hawa watu wanaojiita sngel mother kwaza asilimiia kubwa wanafanana tabia ni jeuri na malaya wakutupwa!
Unajua maana ya single mother ? Single mother ni mzazi anayelea peke yake bila mwenza / partner katika majukumu ya malezi .....

Sasa kwa kuangalia vitu kwa ujumla na sio kwa mafungu na katika perspective tofauti hawa watu ni mashujaa sababu na wenyewe wangeamua kusepa ndio unapata watoto wa mitaani au zama za abortion na kutupa watoto zingekuwa nyingi kwa sasa kuliko awali....; Things are Never Black or White..., there are a lot of Grey Areas.....
 
Senge kweli....
Kwamba unajiona sio punguani kuongeza idadi ya watoto wasio na baba, watu kama nyie mama zenu waliteseka bure kubeba mimba za watu washenzi na kuteseka kutunza mburukenge
Tatizo lako wewe ni umaalaya ndio unakusumbua, kazi yako kutafuta wanaume unakesha DM kujichekesha tu ili uuze tgo... Sasa ushazaa na hujui baba wa mtoto ukiambiwa ukweli unachukua nini kahaba wewe... Halafu eti ulivyo kosa akili unataka ndoa unadanganya watu huna mtoto... 6
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
Sasa hii ya Single maza waolewe na baba za watoto wao, kuna wengine wana watoto zaidi ya mmoja na kila mmoja na baba yake,, ataolewa na yupi?
 
Pana factors nyingi za single mama sio moja TU hio ya ufeminist.
.Pana wajane walifiwa na wenza wao.
.Pana walioachwa kwa maamuzi ya mwanaume
.Pana wengine waliotapeliwa unakuta binti kajitunza kimaaadili sababu ya ukosefu wa elimu ya mahusiano anarubunika na muhuni mmoja tu anamtundika mimba anamwaga.
Wapo mabinti wanajuta kujitunza wameharibiwa maisha wenzao machakaramu wameolewa.
Ishu ya single mama sio ya kuwabeza ukiwa na dada au una watoto wa kike.
Wanawake wengi ni single mothers,hakuna usingo mother wa bahati mbaya labda hao waliofiwa na wame zao -ni tabia za hovyo walizonazo.
 
Back
Top Bottom