Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

1.95% ya usingo mothers unasababishwa na wanawake wenyewe.
2.99% ya ndoa zinazovunjika sababu kubwa ni Wanawake.
3.90% ya watoto kutohudumiwa sababu kubwa ni huyo huyo mwanamke.

Anaye tetea atetee lakini huo ndio ukweli.
 
Mimi na ww tunatofautiana sana,wewe unamitizamo yako ya 50/50 ambayo sio realistic wala haina afya kwa jamii.

Nimeongelea mwanaume majukumu yake ya kiasili na kuwajibika kumtunza mtoto wake,haijalishi huyo mwanamke alikufanya nini. Kwani huo ni wajibu na majukumu yetu tuliyopewa wanaume kiasilia. Nimetofautiana na huyo jamaa kwa mtizamo wake wakusema tatizo la single mother kwa asilimia mia ni wanawake, kajifanya kutumia lugha kali nami nikaamua kumalizana nae kihuni na kumpa reality.

Ila kuhusiana na 50/50,usawa wa kijinsia sijawahi kufanana na ww kimtizamo na ww. Mimi huwaga na kuacha. Kwanza nyie kwa fikra na mitizamo yenu 50/50 ambayo siku hizi hufundishwa mpaka mashuleni ndio imekiharibu hiki kizazi. Kwani kuna baadhi ya vijana siku hizi wanajiona kama wana haki sawa na Ke, mpaka nao wameanza kususia majukumu yao ya msingi wengine mpaka wanataka kulelewa.
Kuna sababu kadhaa zinafanya Wanaume kusita sita kuhudumia watoto hata baada ya kuachana na Mke wake.
1.Mwanaume akihisi kabisa mtoto husika anaweza asiwe wake-inamiwia vigumu sana kimlea mtoto.
2.Kama ndoa husika ilitamatishwa kutokana na tabia za umalaya wa Mwanamke,inakuwa ngumu sana kwa huyo Mwanaume kuhudumia mtoto akidhania kuwa yawezekana hao watoto sio wake.
3.inakuta Mwanaume anajua fika mtoto ni wake lakini vikings vinavypigwa kwa mgongo wa mtoto vinakuwa vingi-mpaka anadhania hapo anachezewa.Pasipo kuelewa kuwa maisha ni tyt-ila wengi hufanya kama njia ya kumkomoa Mwanaume badaye Mwanaume huamua kusitisha kabisa.

Ndio maana nikasema haya matatizo yote chanzo ni wanawake.
 
Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Kuna makundi mawili mkuu,single mothers ambao hawajawahi kuolewa na wale waliowahi kuolewa ambao either ndoa ilivunjika au alifiwa na mwenzi wake,sasa anayetia huruma ni yupi......
 
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.

Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa mama wasio na waume wanajiona wana haki ya kusaidiwa, na ukimsaidia, usitegemee shukrani; msaidie tu. Miaka ijayo, tutakuwa na kiwango kikubwa cha hawa mama wasio na waume wenye tatizo la afya ya akili.

View attachment 2964040
Wahenga walisema "mwanamke, mwalimu wake ni kipofu" sasa hapo unategemea nini? alafu cha kushangaza, mwanamke hata asome kiwango gani, au hata awe na cheo kikubwa namna gani? akirudi kwenye maisha ya uhalisia, anabaki kuwa ni mpumbavu tu. Hili jambo huwa linanishangaza sana.
 
Kuna sababu kadhaa zinafanya Wanaume kusita sita kuhudumia watoto hata baada ya kuachana na Mke wake.
1.Mwanaume akihisi kabisa mtoto husika anaweza asiwe wake-inamiwia vigumu sana kimlea mtoto.
2.Kama ndoa husika ilitamatishwa kutokana na tabia za umalaya wa Mwanamke,inakuwa ngumu sana kwa huyo Mwanaume kuhudumia mtoto akidhania kuwa yawezekana hao watoto sio wake.
3.inakuta Mwanaume anajua fika mtoto ni wake lakini vikings vinavypigwa kwa mgongo wa mtoto vinakuwa vingi-mpaka anadhania hapo anachezewa.Pasipo kuelewa kuwa maisha ni tyt-ila wengi hufanya kama njia ya kumkomoa Mwanaume badaye Mwanaume huamua kusitisha kabisa.

Ndio maana nikasema haya matatizo yote chanzo ni wanawake.
Umezielezea hizo scenario je zipo ngapi? Huku mitaani unakuta mtoto kopi ya mwana na jamaa hana time ya kulea.

Sasa unakuta mtu kazalisha wanawake zaidi ya mmoja,huoni kuwa huyu ni tagizo maana siku hizi ishakuwa fashion,kuzalisha hovyo.

Wana kibao kitaa washazalisha wanawake zaidi ya mmoja, so unataka kuniambia wanawake walio wazalisha wana matatizo ila wao hawana matatizo?

Mfano mimi wana wa rika langu,asilimia zaidi ya 30 wamezaa na mwanamke zaidi ya mmoja,kuna jamaa mwengine mpaka sasa kaoa na kuacha mara tatu na wote ukizisikiliza sababu zao unao upuuzi na taamaa zetu za kiume za ngono.Kuna mabroo wengine wameza na kuacha wanawake tofauti,ila baadae sijui wakaona nini wakaamua kurudi kwa wake zao wa kwanza.

Umezalisha wa kwanza,tunasema bahati mbaya ,mara wapili,watatu.........nk,still unasema hana tatizo aiseee.........labda kama ni jamii ya malaika.
 
Sasa hii ya Single maza waolewe na baba za watoto wao, kuna wengine wana watoto zaidi ya mmoja na kila mmoja na baba yake,, ataolewa na yupi?
Tafsiri ya neno 'single mother ' hasa ni ipi basi??
Kama ana watoto wawili watatu au zaidi huyo basi siyo single mother tena.
 
Anakuwa single kwasababu zake binafsi ila sio za kijamii, hakuna sehemu utaenda ukute jamii ya watu civilized na wanaojitambua halafu eti washabikie au waunge mkono mwanamke kuishi maisha yake mwenyewe pekee yake kama jiwe porini.

Mwanamke aliyefiwa na mume wake anaitwa Mjane kwa English ni Widow. Hapa mada inazungumzia Single mothers a.k.a wadangaji. Sasa sijui wewe unachanganya vipi, au haujui tofauti ya matumizi ya neno Single mother na Widow mzee? [emoji848]

Kuachwa kuna mawili ni aidha ame underperform kwenye uhusiano au alikubali kusettle na mwanaume ambaye siyo wa hadhi yake jambo ambalo ni very common kwa Single mothers, huwa wanachagua kupuuza red flags makusudi kabisa halafu yakiwakuta wanaanza tupia lawama upande wa pili while in reality wao ndie wachaguzi. Trust me, mwanamke hazai na mwanaume ambaye hajamchagua yeye kwa hiyari yake awe baba mtoto, labda awekewe kilevi na kubakwa. Ila ukivua chupi mwenyewe jua huyo mwanaume ndie chaguo lake, so lolote litalomkuta na huyo mwanaume sio bahati mbaya wala ajali ni matokeo ya uchaguzi wake, so lawama ni kwake.

Hakuna kitu kama kudanganywa now days, ndio maana unaona watoto wa kiume wamekuwa serious na maamuzi yao na kutokukubali kusettle na wanawake kwanza wasio bikra, pili wana watoto halafu hawajatulia, nani anataka kukaa na vitu vya ajabu ndani?

ingekuwa kupigwa ni serious kama unavyoiweka then hata hapa ninapoishi basi wanawake wote ningeshasikia wanavyopigwa ila you just simply made up a situation. Na hii ndio shida tuliyonayo kwenye jamii ya sasa ku over exaggerate issues na kuzifanya kuwa extreme case.

Domestic abuse victims kwa asilimia 90% ni wanaume ila hautajua sababu hakuna media outrage juu ya hilo simply kwasababu wanaume hatuongei, ila emotional abuse inafanywa sana na wanawake na matokeo yake mwanaume akichoshwa anageuka mbogo na kuretaliate na hapo ndipo media zinamulika na kamera zao na kurusha hizo habari inaonekana mwanaume ndie mkorofi na mwenye shida.
Umeongea ukweli, hii ilishawahi kunitokea
Mimi huwa sio muongeaji wa mambo yanayotokea ndani ila mwanamke alikuwa na tabia ya kuwapigia simu wajomba zake na kunisema vibaya kwa majirani ili mimi nionekane mbaya, nikarudisha kwao

Siku mjomba wake namueleza mambo yote yaliyotokea, akaniambia, "Tatizo lako mjomba ulikuwa husemi"
 
Back
Top Bottom