Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Tunawalaumu sana single mothers huku sisi wanaume tukijipa nafasi ya umalaika. Tunajisifia sana kupeleka na kuwa wazuri kitandani ila output ya ile creativity tulio iweka kitandani tuna ikataa.

Jamii yetu sasa hivi inashindwa kuwajibika si wazazi ,si wanaume wala wanawake. Mabinti wanatamaa ya fedha huku wanaume tunapenda ngono ila wengi wetu siku hizi hatutaki kuwajibika. Hili tatizo sio la single mother pekee ni la jamii yote kiujumla.
Wanaume wengi wanakimbia majukumu. Nina mifano mingi ya ndugu na jamaa wanazalisha na hawataki kuchukua majukumu. Tatizo sio la wanawake tu, hata wanaume wanachangia sana tu.
 
Bado hamjasema,,hamjaombwa wala kulazimishwa mtuoe😂😂afu um ndani mnajishaua tu,mnawapongeza hao wameza P2 wenu,,mkiwaoa hawazai mnawaacha mnarud kwetu ambao vizazi viko stable kam vya house girl 😌😌😂😂
Single maza ni mwanamke mjinga sana:

●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake

●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba

Mwanamke mjinga kama huyu kweli uumfanye mke?

You will learn the hard way
 
Wanaume wengi wanakimbia majukumu. Nina mifano mingi ya ndugu na jamaa wanazalisha na hawataki kuchukua majukumu. Tatizo sio la wanawake tu, hata wanaume wanachangia sana tu.
Kuna watu wapo kwenye ndoa lkn mwanaume hahudumii wtt, mzembe na hajali. Mwanamke ndio ahangaike kuchuma...tena wengine wanachuma kwa dhiki mno...aslimia kubwa ya sisi wanawake tuna huruma kwa wtt wetu...na baadhi wa wanaume wakiona hivyo ndio huwa washapata kichaka cha kuzembea. Yaani kiufupi hatuwezi tena kuyaishi maisha yale waloishi wazee wetu....saivi kila mmoja race kali
 
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.

Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa mama wasio na waume wanajiona wana haki ya kusaidiwa, na ukimsaidia, usitegemee shukrani; msaidie tu. Miaka ijayo, tutakuwa na kiwango kikubwa cha hawa mama wasio na waume wenye tatizo la afya ya akili.

View attachment 2964040
Huu mwaka wetu.
 
Bado hamjasema,,hamjaombwa wala kulazimishwa mtuoe[emoji23][emoji23]afu um ndani mnajishaua tu,mnawapongeza hao wameza P2 wenu,,mkiwaoa hawazai mnawaacha mnarud kwetu ambao vizazi viko stable kam vya house girl [emoji18][emoji18][emoji23][emoji23]
Bora wa hivyo wanalinda heshima kwa nguvu za kijeshi, usipojua dhambi ni zake kuliko kubebeshana majukumu ambayo hayana kichwa wala miguu. Jaribu wewe kulea watoto wa mwanamke mwenzako kwa gharama zako kama utaweza.
 
Hivi wewe una busara kweli ? Kwahio unaona ni sawa kwa Sababu Baba amekimbia na Mama na yeye akimbie ili mtoto awe Homeless ?

Kinachoangaliwa hapa ni well being ya mtoto na kuna wakati kuliko kuwa kwenye atmosphere ya watu wanaopigana ni bora awepo kwenye atmosphere ambayo ina Upendo kuliko atmosphere ya tofauti.... Kwahio kwa point yako sababu mtoto sio wa Single mother hawezi kutetea Upuuzi wa Kutekeleza Watoto na Kina Mama... Kumbuka it Takes two to Tango
Hamna bwana wewe unakwepesha mada. Swala ni kwann hawa tunaoita single mother kila uchao hawajifunzi kwa wenzao.

Ila sio kuongelea watoto hapa as if kuna mtu anataka wateseke. Hapa sisi tuanaowafokea hawa single mothers ni kwasababu tuna huruma na watoto kuliko mtu yoyote. Sisi tukikaa kimya nani atawatetea watoto wetu dhidi ya huu ugaidi wa mahusiano na dhidi ya familia.

Eeeee mwenyezi MUNGU tuongezee madini tuendelee kuwapa makavu hawa masingle mother hadi wajue kuwa mwisho wa siku kuhasi ndoa na kutoheshimu miili yao ndio mwanzo na chanzo cha kuharibu jamii.

Vita inaendelea.
 
Kuna mtu aliwahi kusema kuwa wanawake hawapendi kuona wanawake wana furaha!
Very true. Ukitaka kujua hili, wewe anzisha mahusiano na binti ambaye yupo kwenye hivi vikundi vya kigaidi (sisterhood/sister sorority) ambavyo wanataka kila kitu wafanane as if walizaliwa familia moja.

Humo ndani huwa wanashauriana upuuzi ambao ukiutafakari unaweza kujiuliza kama hawa wenzetu ni timamu au huwa wanaacha kukua wakishafika miaka 18?

Imagine mwenzao anapata mtu serious ambaye anataka mahusiano wao wanamwambia hebu tazama kucha zake sio nzuri mtoto atatoka na vidole vibaya, halafu ni mweusi, kwann usipate mtoto shombe shombe zaa na Salim.

Hapo hawajafurahia kuona mwenzao amepata mahusiano ambayo yanaweza kuelekea kwenye kuchumbiwa na ndoa. Wanawake hawapendi na huwa wanawivu wa siri sana mwenzao anapokuwa anapiga hatua badala ya kumuacha na maisha yake utaona wapo busy kufanya jitiahada za kumpoteza aharibu bahati au fursa zake.
 
Ukipata mdada ambaye anataka uanzishe naye maisha! Kwanza kabsa mfanye awe disconnected na these sisterhood hapo utakuwa salama ila kama kila jumamosi atakuwa anaenda kwenye vikao vya wadada! Youre finished!
 
Hamna bwana wewe unakwepesha mada. Swala ni kwann hawa tunaoita single mother kila uchao hawajifunzi kwa wenzao.

Ila sio kuongelea watoto hapa as if kuna mtu anataka wateseke. Hapa sisi tuanaowafokea hawa single mothers ni kwasababu tuna huruma na watoto kuliko mtu yoyote. Sisi tukikaa kimya nani atawatetea watoto wetu dhidi ya huu ugaidi wa mahusiano na dhidi ya familia.

Eeeee mwenyezi MUNGU tuongezee madini tuendelee kuwapa makavu hawa masingle mother hadi wajue kuwa mwisho wa siku kuhasi ndoa na kutoheshimu miili yao ndio mwanzo na chanzo cha kuharibu jamii.

Vita inaendelea.
Kwanini mwanamke anakuwa Single ?

Kwahio akifiwa akamfufue mme wake ?; Akiachwa kama hatakwi tena au kama anapigwa au akikimbiwa afanye nini atengeneze Robot linalofanana na aliyemwacha ?

Umeona verse nilizokuakea ? Ni kwamba mwanaume anamdanganya mtu kwamba wanajenga mahusiano alafu mwisho wa siku anamtelekeza inakuwaje....; Yule First Love wake waliyokutana Chuoni mapenzi yakichacha afanye nini aende akawe third wheel kwenye relation mpya ya mtu wake ?

Bibi zetu walikuwa hawana Choice mtu anapigwa mwingine mpaka anauliwa alikuwa hana pa kukimbilia sasa hivi wana choice ukiwafanyia ndivyo sivyo wanasepa (hii sio maadili wala nini things have changed) na kilichobadilika ni options kwa mwanamke zamani angekufa kwenye ndoa sasa hivi ana uwezo wa kutoka / kuondoka (Na je hilo wewe unaona ni baya) kwa wao kupata option ya kuweza kuondoka kwenye ndoa ambayo ni hatari kwao na watoto ? (Au unataka kuniambia ndoa zote ni Rosy hazina matatizo wala Abuse )?
 
Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Hiyo 50/50 wanaoizingatia nilijua wale wa ofisini tu kumbe hadi wauza mihogo wameingia kwenye huo mkenge 😄 wafwaaaa in jiwez voice
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
,Point no2 iandikwe kwa wino wa chuma mkuu
 
Single mama ni fashion siku hizi
Wanawake wengi siku hizi wanataka mtoto ndoa baadae
Hamna kitu kama icho hakuna mwanamke anaetaka mtoto kisha ndoa baadae! Hiyo ni kauli ya kujifariji baada ya kupigwa chini! Single maza Wengi ni jeuri! Ujuaji! Kiburi! Ushamba, malezi mabaya na umalaya!
Hakuna mwanaume wa kuvumilia ujinga huo! Wanaoweza kuvumilia ujinga huo ni wazazi wake tu!.
 
Pana factors nyingi za single mama sio moja TU hio ya ufeminist.
.Pana wajane walifiwa na wenza wao.
.Pana walioachwa kwa maamuzi ya mwanaume
.Pana wengine waliotapeliwa unakuta binti kajitunza kimaaadili sababu ya ukosefu wa elimu ya mahusiano anarubunika na muhuni mmoja tu anamtundika mimba anamwaga.
Wapo mabinti wanajuta kujitunza wameharibiwa maisha wenzao machakaramu wameolewa.
Ishu ya single mama sio ya kuwabeza ukiwa na dada au una watoto wa kike.
 
Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Thus ukitoa hela kubwa usidai chenji ujui unaenda vipi kuleta furaha kwenye familia yake.
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
Mfano kesho familia yako imetoa singlemama geuza huu ujumbe kwako
 
Back
Top Bottom