Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
NAKAZIANakazia. Single mother habadiriki jina hata akiwa ni dada yako nisingle mother tu
Umesema vyema mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIANakazia. Single mother habadiriki jina hata akiwa ni dada yako nisingle mother tu
Nakubaliana nawe mkuu ila bila serikali kurekebisha chaneli watateketea zaidi. Hivi unajua kati ya watoto milioni mbili wanaoanza darasa la kwanza ni wangapi wahahitimu vyuo vya kati na vya juu?. Takwimu za haraka si zaidi ya laki Tano. Hivyo kundi kubwa la watu wanaingia mtaani wakiwa desperate na hivyo kulaghaika kirahisi.Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Kataaa Mama Yao.. Jari watoto wako maana ni Legacy yako hiyo.Mi binafsi nataka walau watoto wawili ila sitaki mama yao.
Hata akiwa ni mama ako ni single mother tuNakazia. Single mother habadiriki jina hata akiwa ni dada yako nisingle mother tu
LoosersHivi sasa kuna wanawake wana ndoto ya kuzaa tu na kulea, hawataki mambo ya ndoa.
kabisaaa ndugu yangu.Kataaa Mama Yao.. Jari watoto wako maana ni Legacy yako hiyo.
Nilishamkataza marafiki, na nilimpa sababu za kwann sitaki mazoea ba marafiki wa kugandana kama ruba.Ukipata mdada ambaye anataka uanzishe naye maisha! Kwanza kabsa mfanye awe disconnected na these sisterhood hapo utakuwa salama ila kama kila jumamosi atakuwa anaenda kwenye vikao vya wadada! Youre finished!
Sio kweli, mihogo ni kizugio tu mkuu ila anauza na chiU.Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Anakuwa single kwasababu zake binafsi ila sio za kijamii, hakuna sehemu utaenda ukute jamii ya watu civilized na wanaojitambua halafu eti washabikie au waunge mkono mwanamke kuishi maisha yake mwenyewe pekee yake kama jiwe porini.Kwanini mwanamke anakuwa Single ?
Kwahio akifiwa akamfufue mme wake ?; Akiachwa kama hatakwi tena au kama anapigwa au akikimbiwa afanye nini atengeneze Robot linalofanana na aliyemwacha ?
Umeona verse nilizokuakea ? Ni kwamba mwanaume anamdanganya mtu kwamba wanajenga mahusiano alafu mwisho wa siku anamtelekeza inakuwaje....; Yule First Love wake waliyokutana Chuoni mapenzi yakichacha afanye nini aende akawe third wheel kwenye relation mpya ya mtu wake ?
Bibi zetu walikuwa hawana Choice mtu anapigwa mwingine mpaka anauliwa alikuwa hana pa kukimbilia sasa hivi wana choice ukiwafanyia ndivyo sivyo wanasepa (hii sio maadili wala nini things have changed) na kilichobadilika ni options kwa mwanamke zamani angekufa kwenye ndoa sasa hivi ana uwezo wa kutoka / kuondoka (Na je hilo wewe unaona ni baya) kwa wao kupata option ya kuweza kuondoka kwenye ndoa ambayo ni hatari kwao na watoto ? (Au unataka kuniambia ndoa zote ni Rosy hazina matatizo wala Abuse )?
Mjane aliyefiwa na mume wake anaitwa widow na sio single mother, acha kuchanganya mafile mzee.Pana factors nyingi za single mama sio moja TU hio ya ufeminist.
.Pana wajane walifiwa na wenza wao.
.Pana walioachwa kwa maamuzi ya mwanaume
.Pana wengine waliotapeliwa unakuta binti kajitunza kimaaadili sababu ya ukosefu wa elimu ya mahusiano anarubunika na muhuni mmoja tu anamtundika mimba anamwaga.
Wapo mabinti wanajuta kujitunza wameharibiwa maisha wenzao machakaramu wameolewa.
Ishu ya single mama sio ya kuwabeza ukiwa na dada au una watoto wa kike.
Nothing could be truer that what you just said here. Define happiness for me please.So you seriously think all married women are happy and all single women are lonely
Umeangalia kwa microscale umeacha Macroscale. Yaani kwa kifupi umeongelea faida ya asilimia 5% umepuuza hasara ya 95%. A very narrow perspective of life.Single mama wanayo advantage ya kutoboa maisha kupitia watoto wao kuliko wanaume wazee wasio na watoto
Hizi story ndizo feminists walitumia miaka hiyo wakati wanasambaza mbaga zao. Ila hivi sasa mambo yanawageukia sababu inajidhihirisha kuwa mabinti wanachagua hii life style ya usingle mother, sasa how do you blame men for women choices, are women toddlers? [emoji848]Mkuu nimesoma mara mbili mbili hii comment yako nikabaki najiuliza ni wewe kweli, natamani wanaume wote mngekuwa realistic and sincere kiasi hiki labda tungejua wapi pa kuanzia ili kusolve haya matatizo yote kwenye jamii, sisi wengine tukiongea mnatuita feminists lakini tunachofanya ni kujaribu kuonesha kwamba hii mentality ya wanaume kujiona kuwa wakifanya maovu ni sawa ndio inafanya jamii izidi kuharibika
Mimi na ww tunatofautiana sana,wewe unamitizamo yako ya 50/50 ambayo sio realistic wala haina afya kwa jamii.Mkuu nimesoma mara mbili mbili hii comment yako nikabaki najiuliza ni wewe kweli, natamani wanaume wote mngekuwa realistic and sincere kiasi hiki labda tungejua wapi pa kuanzia ili kusolve haya matatizo yote kwenye jamii, sisi wengine tukiongea mnatuita feminists lakini tunachofanya ni kujaribu kuonesha kwamba hii mentality ya wanaume kujiona kuwa wakifanya maovu ni sawa ndio inafanya jamii izidi kuharibika
Ninae mmoja hapa ana afya akili mi hata sijui mkorofi hawa .usihoji chovhote kuhusu watoto kwake ni vita sina humuHapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.
Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa mama wasio na waume wanajiona wana haki ya kusaidiwa, na ukimsaidia, usitegemee shukrani; msaidie tu. Miaka ijayo, tutakuwa na kiwango kikubwa cha hawa mama wasio na waume wenye tatizo la afya ya akili.
View attachment 2964040
Miaka ya nyuma,kabla ya hizi blaablaa za haki za wanawake, wanawake wanaweza,50/50n.k.,kijana/vijana walikuwa wanaona ufahari kuwa na ndoa kwasababu, malezi [toka kwa wazazi]yaliwajenga kimaadili na kuwa na utamaduni wa keheshimiana na kuthaminiana [jinsia zote], vijana wa kiume walijua nafasi zao,wajibu na majukumu yao kifamilia na kijamii hali kadhalika kwa vijana wa kike pia, heshima ilikuwepo kuanzia kauli hadi uvaaji [mavazi].Siku hizi Shetani ameishika jamii pabaya, maadili hakuna, heshima hakuna, hakuna aibu kwenye kuvaa kuzungumza, hakuna faragha [jinsia zote],wanaume wameikataa heshima na hadhi waliyopewa na MUNGU ya kuongoza na kutawala badala yake wanapigia debe 50/50[wanawake wanaweza]na sasa wanawake wameoteshwa mapembe na Shetani,hawaelewi kitu na hawataki kuelewa.Kwa hali hii,tutayaona mengi na tutarajie mengi pia.Tunawalaumu sana single mothers huku sisi wanaume tukijipa nafasi ya umalaika. Tunajisifia sana kupeleka na kuwa wazuri kitandani ila output ya ile creativity tulio iweka kitandani tuna ikataa.
Jamii yetu sasa hivi inashindwa kuwajibika si wazazi ,si wanaume wala wanawake. Mabinti wanatamaa ya fedha huku wanaume tunapenda ngono ila wengi wetu siku hizi hatutaki kuwajibika. Hili tatizo sio la single mother pekee ni la jamii yote kiujumla.
Mwanamke kuoteshwa mapembe isiwe sababu ya kukataa kulea mwanao. Mmekutana ukubwani kila mtu ana malezi na makuzi yake, mkadate,mkazinguana then mkaachana.Ila kile kumbe kilicho patiala ni msalaba wako na unatakiwa kutimiza wajibu wako kama mlezi na mlinzi wa huyo mtoto.Miaka ya nyuma,kabla ya hizi blaablaa za haki za wanawake, wanawake wanaweza,50/50n.k.,kijana/vijana walikuwa wanaona ufahari kuwa na ndoa kwasababu, malezi [toka kwa wazazi]yaliwajenga kimaadili na kuwa na utamaduni wa keheshimiana na kuthaminiana [jinsia zote], vijana wa kiume walijua nafasi zao,wajibu na majukumu yao kifamilia na kijamii hali kadhalika kwa vijana wa kike pia, heshima ilikuwepo kuanzia kauli hadi uvaaji [mavazi].Siku hizi Shetani ameishika jamii pabaya, maadili hakuna, heshima hakuna, hakuna aibu kwenye kuvaa kuzungumza, hakuna faragha [jinsia zote],wanaume wameikataa heshima na hadhi waliyopewa na MUNGU ya kuongoza na kutawala badala yake wanapigia debe 50/50[wanawake wanaweza]na sasa wanawake wameoteshwa mapembe na Shetani,hawaelewi kitu na hawataki kuelewa.Kwa hali hii,tutayaona mengi na tutarajie mengi pia.
Okay kuachwa kufukuzwa au kukaa kwenye poisonous relationship hizo sio sababu...,Anakuwa single kwasababu zake binafsi ila sio za kijamii.....
Nasikitika kusema hujui unalolisema..., Na ni nini maana ya Civilized ? Afrika kwa muda mrefu au kipindi cha Hunters and gathers kulikuwa na mgawanyiko wa kazi Mwanaume kwenda kuwinda na kutafuta na mama kubaki nyumbani kulea na kuangalia watoto...hakuna sehemu utaenda ukute jamii ya watu civilized na wanaojitambua halafu eti washabikie au waunge mkono mwanamke kuishi maisha yake mwenyewe pekee yake kama jiwe porini.
Kwamba mjane akifiwa akiendelea kulea watoto peke yake sio single ? au Mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine akapata mwanaume mwingine na wakazaa au wasizae bado ni single mother Au hata hujui unachokiongelea ?Mwanamke aliyefiwa na mume wake anaitwa Mjane kwa English ni Widow. Hapa mada inazungumzia Single mothers a.k.a wadangaji. Sasa sijui wewe unachanganya vipi, au haujui tofauti ya matumizi ya neno Single mother na Widow mzee? [emoji848]
Nadhani wewe unadhani unajua haya mambo wakati kwa kweli haujui at least mimi kulinganisha na wewe am Wiser sababu I know that I know nothing hence kuendelea kujifunza kila siku... Mkuu kila situation ni tofauti and every case must be judged differently yaani unasema kabisa kila mtu ana magic fulani ya kujua mahusiano yatakuwaje kesho ? Hakuna perfect marriages kuna uvumilivu wa hali ya juu sababu kuna milima na mabonde na ukipendwa leo haimaanishi kesho utapendwa unaweza ukachokwa na kufanyiwa visa - It takes two to Tango na makosa mara nyingi hayawezi kuwa ya mmoja pekee au sio necessarily ya mwanamke yanaweza kuwa ya Mwanaume....; Na ikifika point of no return kuliko kuona watu wanapigana risasi au kuwekeana sumu ni bora kila mtu akate kona...Kuachwa kuna mawili ni aidha ame underperform kwenye uhusiano au alikubali kusettle na mwanaume ambaye siyo wa hadhi yake jambo ambalo ni very common kwa Single mothers, huwa wanachagua kupuuza red flags makusudi kabisa halafu
Sasa hapo unajipinga mwenyewe kwamba hachagui au kulazimishwa alafu labda kilevi au kubakwa ? kwahio akibakwa au akiwekewa kilevi au akidanganywa alafu akaachwa na akawa mlezi pekee wa watoto huyo ataitwa half single mother ?yakiwakuta wanaanza tupia lawama upande wa pili while in reality wao ndie wachaguzi. Trust me, mwanamke hazai na mwanaume ambaye hajamchagua yeye kwa hiyari yake awe baba mtoto, labda awekewe kilevi na kubakwa. Ila ukivua chupi mwenyewe jua huyo mwanaume ndie chaguo lake, so lolote litalomkuta na huyo mwanaume sio bahati mbaya wala ajali ni matokeo ya uchaguzi wake, so lawama ni kwake.
Speak for yourself Mkuu na ndio nyie ambao huwa tunasikia mmechoma watu visu au kuwapiga risasi sababu mnachodhani kwenye akili zenu does not exist... Huwezi kumiliki binadamu mwanzako..., hususan kama ana choces na options..., sanasana utajitafutia magonjwa na stress za bure Na wewe unachotaka kufanya ni kuondoa hizo choices na options alizonazo (jambo ambalo nakwambia its impossible kwa maisha ya sasa) Na sidhani kama ni better kurudi kwenye dark ages ambapo dada zetu, mama na bibi zetu walikuwa commodities za wanaume kutumiaHakuna kitu kama kudanganywa now days, ndio maana unaona watoto wa kiume wamekuwa serious na maamuzi yao na kutokukubali kusettle na wanawake kwanza wasio bikra, pili wana watoto halafu hawajatulia, nani anataka kukaa na vitu vya ajabu ndani?
Kupigwa kumepungua sana angalia historia..., Unajua kwanini sababu kama nilivyokwambia wanawake wana options wana sehemu ya kukimbilia zamani walikuwa hawana hio option na wangekutana na watu wenye fikra kama zako option yao ilikuwa ni kupigwa na kuwa-abused mpaka siku wanaingia kaburini au labda kujiua...ingekuwa kupigwa ni serious kama unavyoiweka then hata hapa ninapoishi basi wanawake wote ningeshasikia wanavyopigwa ila you just simply made up a situation. Na hii ndio shida tuliyonayo kwenye jamii ya sasa ku over exaggerate issues na kuzifanya kuwa extreme case.
Mkuu haya sio mashindano wala sijasema mwanaume hawezi kuwa abused anaweza sana kuwa abused emotionally ila tofauti ni kwamba always amekuwa na option ya kufanya jambo au kumuacha huyo mwanamke au kumfukuza..., jambo ambalo mwanamke alikuwa hana hio option until recently..., sasa hivi hategemei kuletewa chakula mlangoni hategemei mwanaume ili aweze kupata chakula malazi na mavazi (zamani alitegemea yote hayo)..., kwahio hata zamani Bibi zetu wangepata hizo option haya yangetokea then and not now....Domestic abuse victims kwa asilimia 90% ni wanaume ila hautajua sababu hakuna media outrage juu ya hilo simply kwasababu wanaume hatuongei, ila emotional abuse inafanywa sana na wanawake na matokeo yake mwanaume akichoshwa anageuka mbogo na kuretaliate na hapo ndipo media zinamulika na kamera zao na kurusha hizo habari inaonekana mwanaume ndie mkorofi na mwenye shida.
Just google it you will find out, you sound like you already have your own definition of happiness in your head, but according to the general context of happiness a lot of people are not happy in their marriageNothing could be truer that what you just said here. Define happiness for me please.