Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Sio kweli, unachoongea hapa huwa tunasoma na kukitafakari kwa kulinganisha na tunachokiona, so huwa unaangukia katika kundi la upotoshaji au fikra za ndoto za mchana a.k.a theories.

Wewe unaongea vitu kinadharia sana. Mfano unaamini mwanamke anaweza kutoka nje akawa mfanyabiashara wa kusafiri mataifa mbali mbali miezi kwa miezi na still akawa mke bora kwa mumewe na mama bora kwa watoto na familia halafu still awe mwaminifu, hizi ndizo moja ya hoja zako ambazo huwa naona unasema humu ndani jambo ambalo huwa linanitafakarisha sana kuwa huwa unatumia akili ya aina gani kubuni hizi "Utopian feminist garbage dreams"[emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways, keep on dreaming, unasema unaujua uhalisia, even the famous feminists known in the planet walipofika umri wa menopause ukimya ulitawala. Keep on your agenda, fighting Men in the man's world. Unashindana na Simba kuishi mwituni, heifer please [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Dooh basi nimegundua kweli mna haki ya kunipinga kwa sababu huwa hamnielewi siwalaumu, sasa kwa uelewa huu unadhani mtakubaliana na ninayoyaandika kweli, hebu nioneshe ni wapi nilipowahi kujenga hoja ya aina hiyo kwenye aya yako ya pili
 
Tunawalaumu sana single mothers huku sisi wanaume tukijipa nafasi ya umalaika. Tunajisifia sana kupeleka na kuwa wazuri kitandani ila output ya ile creativity tulio iweka kitandani tuna ikataa.

Jamii yetu sasa hivi inashindwa kuwajibika si wazazi ,si wanaume wala wanawake. Mabinti wanatamaa ya fedha huku wanaume tunapenda ngono ila wengi wetu siku hizi hatutaki kuwajibika. Hili tatizo sio la single mother pekee ni la jamii yote kiujumla.
A very good point
 
Siku vijana wa siku hizi hawapendi kubeba misalaba yao,sipo humu kumtetea mtu kisa ni jinsia moja ni upuuzi. Nina Single mother wawili ambao ni ndugu zangu na wasaidia kwa baadhi ya vitu na najua visa vyao.

Kiasili na kiumbaji mwanaume ni Mlezi na Mlinzi ,ukishindwa kufanya hivyo ww kiasilia sio mwanaume kamili na mwanaume HASUSI (hizi tabia za kike) majukumu yake,umefanya ngono haijalishi mlikutana vipi na alikufanya nini, ila kile kiumbe ni msalaba wako hauwezi kukimbia.

Mimi sitetei upumbavu kama wewe na husijipe nafasi ya malaika eti wanaume hawakosei, ila single mother wanakosea hilo na kukatalia, kwani sisi ni binaadam na kukosea ni asili yetu.

Eti ni mtetea mtu kisa mwanaume mwenzangu, mimi upumbavu huo sifanyi (mimi sio oya oya) na sina akili ya kushikiwa kwani nina uwezo wa kuchanganua na kujua yupi yuko sawa na yupi hayuko sawa.

Wanaume hatuwezi kukikimbia hiki kikombe cha mamtatizo ya Single mother,kwani ktk asilimia 100 ya tatizo basi yetu wanaume inaweza kuwa 40+.

MWANAUME KAMILI HASUSI MAJUKUMU YAKE KWANI KUSUSA NI TABIA ZA KIKE KWANI HAWA WAMEUMBWA KUSUSA NA KUDEKA.Umetia mimba mwanamke kakukera mnaachana unabeba msalaba (mtoto) wako kama MWANAUME wa kulea na kumtunza wanao.

Eti ni mtetea mtu kisa jinsia moja,mimi Us*nge huo sifanyi labda ww na kama ukikosea na kuchana kama MWANAUME.
Chizi ww
 
Ma single mother Huwa Yana wivu Kwa ambao siyo single mother.huwa yanawaongelea vibaya tu wanaume ili yaongeze wanachama wa chama Cha single mother
 
Kuna kadem nlichukua namba yake, kwenye kuchati nako nikaona kanatoa ushauri kama wote..... Kukapeleleza vizuri kumbe ni single mother... Ety hataki kuumizwa tena... Mara anaomba Mungu amjalie ndoa. Nkasema mmmmm hapa umeyakanyaga, we leta mbususu nichakate ila mi binafsi niko Chama cha KATAA NDOA.
LINDA KIBUNDA CHAKO.
😂
 
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.

Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa mama wasio na waume wanajiona wana haki ya kusaidiwa, na ukimsaidia, usitegemee shukrani; msaidie tu. Miaka ijayo, tutakuwa na kiwango kikubwa cha hawa mama wasio na waume wenye tatizo la afya ya akili.

View attachment 2964040

Ila pia wababa wengine wamekimbia majukumu yao kiana na kuwatelekeza na watoto wao
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
😁
 
Usivyokua na akili unakuja na lawama tu bila suluhu
Na lawama zenyewe zimejaa hisia

Unashindwa elewa hiyo miaka 20 ijayo hao watoto wako watakutana na watoto wa hao single mothers shuleni, kazini na kwenye biashara..... na si ajabu wakaoa na kuolewa na vita ikaendelea.


NI PUNGUANI NA MPUMBAVU PEKEE ATAONA SINGLE PARENTING NI TATIZO LA MTU MMOJA MMOJA WHILE MI TATIZO LA JAMII NZIMA ESPECIALLY VIJANA WAJAO
 
Back
Top Bottom