Sijadhania wala kuassume natazama uhalisia kwa idadi ya wanaotenda. Sababu zipo nyingi za wanaume kutokuwa responsible na kuwaacha wanawake na watoto wao mwisho wa siku lawama lazima ziende kwa mwanamke sababu ya kukosa umakini wakati wa kujiingiza kimahusiano ya kudumu na mwanaume.
Sababu ni kama:
1. Kugamble na mahusiano ya kuwa na mwanaume zaidi ya m'moja akilenga kubahatisha ambaye ana sifa anazotaka ndio amalizane nae, wanasahau mwanamke malaya huwa anajulikana na wanaume hubaki ili kupiga tu mzigo siku akijishikisha ujauzito wa mojawapo ndipo anashangaa kila mwanaume anamkataa kumbe walikuwa wanajua kuwa wanashare na wanatumiwa na mwanamke, hapo utamlaumu mwanaume au mwanamke?
2. Wanawake wanatabia mbaya sana ya kubambikia mimba wanaume siku hizi, ukitaka kuprove hili kumbuka tukio la makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar, alitaka kuwaforce wanaume waliopelekwa ofisini kwake na wanawake waliomlalamikia kuwa wametelekezwa, makonda alipowaita wanaume wengi wakaomba aruhusu wakapime DNA kwa kibali maalumu cha mkuu wa mkoa ili wapate uhakika wa watoto kuwa ni wao, ulisoma walichoandika ustawi wa jamii na madaktari wa muhimbili hadi zoezi likasitishwa ghafla? [emoji848]
3. Kuchagua wanaume ambao ni dhaifu na hawana uwezo kuwaongoza au kuwa baba wa familia. Hili usilaumu mwanaume laumu mwanamke kwa kuchagua mtu ambaye hawezi kuwa kiongozi wake kwenye maisha.
4. Wanawake kupenda pesa zaidi hadi kuwa vipofu na kuingia kwenye mitego ya wanaume wanaotumia pesa kupata ngono na muda mwingine wanaume za watu wenye ndoa zao.
5. Kutokuwa wife material badala yake kuwa tu ni kasha la mwanamke ila vitendo si vya kike na kubakia kuwa tu mzigo kwenye mahusiano nani ataoa hapo aweke ndani.