Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Unasema malaya wakati unawanunua na chances utaishia kufanya maisha na mmojawapo....hypocrite...asiyebelieve kuna wanawake hawana changamoto yoyote...awe na mtoto au sick past...kisha. umejuaje Mungu hana cha kupoteza?Mugu akisamehe hana cha kupoteza tofauti na mwanadamu
Kwa mfano: Yeye atamsamehe malaya au single maza halafu anakuwa ametulia zake mbinguni
Ila mwanaume anayeoa malaya au single maza ndiye atakayepambana na changamoto zote za kuoa malaya au single maza