Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Bora uwe unajibu kwa kutenganisha aya ndani ya post moja, kuliko kutupa wengine kazi ya kujaza posts ambazo zinaongelea kitu kimoja, lifanyie kazi hilo pleaseHebu ngoja kwanza kabla sijakujibu,hivi huwa mnafanyaje hadi unaweza gawanya aya na kurespond separately namna hii? [emoji848]