Kaka kwanza relax.
Single mother wengi ni matokea ya mwanamke kuichukulia poa ndoa na kumuona mwanamme kama kiumbe hakina msaada kwenye maisha yake ila tu akikipoteza ndiyo vita ya maisha yake inakuwa ngumu na watoto zake.
Sisi wanaume huwa tuna enjoy mking'ang'ania watoto coz tunajua hao hao watoto ndiyo watakao kutoa jasho.
Hakafu hujajua huyo niliye mjibu alitumia lugha gani (au labda unaweza kuwa ww kwenye acc nyingine),mimi JF ukijitia mwendawazimu na malizana na ww humu humu.Kaitizame comment yangu kwanza,niliandika kiustarabu.
Bado hujakua na bado huna mtu wako wa karibu ambaye ni single mother, inawezekana ukawa na age kubwa ila maturity yako ni tatizo.
Sasa ww unaongea hivyo halafu unalaumu single mother hujioni ww ni sehemu ya tatizo. Ila mwanaume hakimbii ndio hata wazee wazamani kwa watoto zao wa kiume, akimuona kijana wake wa kiume anaanza kufukizia wasichana, huwaambia ukweli kabisa ukitia mimba kwangu unaondoka na kweli hata kama hauna kitu ,mzee atapambana kukulipia mahali, atakufafutia shughuli au shamba ukaanze maisha yako.
Sawa,wanawake wanadharau 50/50,usawa wa kijinsia hila hamna sababu ya msingi itakayo kufanya huache kulea mwanao au ususe kisa una mgogoro na mama yake, kweni yy hajaomba kuzaliwa na nyinyi ila nyege zenu ndizo zilizo mleta duniani.Halafu wanawake wenye tunakutana nao ukubwani hatujuani, kila mtu na tabia zake. So mmekutana mekelana kila mtu anamsha zake ila mtoto kila mtu awajibe kwa nafasi.
Kama hauko tayari kulea mimba piga na mpira au piga kavu then unapaisha,sio unapiga kavu then unacheka na nyavu,halafu unakataa mtoto kisa hujajiondaa,sasa why hukupiga kavu. Sawa mwanamke anazo njia za kujicontrol, ila hata ww demu akiwa hayupo kwenye plan yako, husijitie ufundi kucheka na nyavu.
Na uzuri kutoka jasho ndio sifa ya mwanaume kiumbaji hilo huwezi kulikimbia,kwani aliye kuumba ndivyo anavyotaka.
Hakafu swala la kusema hili tatizo single mother ni wanawake mwenyewe mimi na kataa.Kuna watu na wajua wamezalisha wanawake zaidi ya mmoja, ina maana wanawake walio wazalisha ndio wenye matatizo,ila yy hana tatizo,manake kama tunataka kujipa umalaika.
Kama Kut*mba,kila mtu anat*mba ila kama hauna plan za kulea vaa mpira au ukipiga kavu paisha.