Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Negative perception......not good at all. Ikiwa ni dada yako wanaume wanamtazama hivyo na alishafanyiwa tukio na kutengwa na jamaa utafurahia watu wakimcheki kwa jicho hilo?!Mi nikikutana na singo maza, najua tayari kuna mwanaume mwenzangu kashazingua!
Elimu haikuwahi kuwa kitu rahisi kwa mtu asiyependa itumikisha akili yake.Nimeshindwa kusoma ,ni ndefu mnoo
Katika hili janga la kuvunjika uhusiano ambao wanaonekana kukichezea cha moto ni wanawake.Asante umeeleweka lakini je,single father unawashauri nini na wao?
UZI UNAHUSU "SINGLE MAMA'S" WEWE DUME JENZANGU UNAFATA NINI KWENYE HII KITCHEN SINGLE MAMA'S PARTY YAO?!Mi nikikutana na singo maza, najua tayari kuna mwanaume mwenzangu kashazingua!
Natafuta japo mmoja ili niwe na experience kaka!UZI UNAHUSU "SINGLE MAMA'S" WEWE DUME JENZANGU UNAFATA NINI KWENYE HII KITCHEN SINGLE MAMA'S PARTY YAO?!
We Mwanamke umevurugwa haki ya Mungu na midread yako nimecheka hahahahYaani utoke na shida zako huko uje hapa nikupm ?
Naja MkuuHa ha ha ha ha ha shukrani. Nimeshakunywa hapa kwa mangi tabata segerea hapa.
Rejea kipengele namba sita na namba saba vinakuhusu. Unaonekana unaelewa tatizo lipo wapi ila ni jeuri na viburi ndivyo vinakuponza.Yan niache kuinvest kene mambo ya msing ya kuniingizia pesa n invest kene mahusiano na kiumbe mwanaume mapenz hayana formular na mapenz ya kwel huja automatic,hizi thread zinachoshaaaaaaa mnooo yan!
Kila mtu apambane na hali yake aisee
Du! Kwa hiyo wote wana viba100?Acha tu niwe single mama kuliko kujibana na mtu ana kiba100
Kwani kila single mother anamiliki wote ?Du! Kwa hiyo wote wana viba100?
Hapo sasaKwani kila single mother anamiliki wote ?
Unafikiri kajuaje tofauti ya vibamia na mihogo kama wote wana vibamia ?