Salaam,
kila kukicha kukicha zinaletwa nyuzi za kuwakashifu single mother, hivi mmekuwaje. baadhi ya vitu msivyovijua kuhusu single mother tunajielewa. endeleeni kuwang'ang'ania hao ambao wato wao wametupa chooni, mitaroni n.k kila siku kutukashifu.
nyie wenyewe kila siku kuwatupia lawama wanaotoa mimba na kutupa wototo.
kwanza kuna sie
- Tunaojua kujitafutia na kuwatafutia watoto wetu
- Ndoa sio kipaumbele chetu,
- Tunajiamini
- Na watoto wetu ndo furaha yetu.
mimi binafsi mwanangu kwanza mengine baadae
namfurahia mwanangu sababu ananipa nguvu ya kumpamba na changamoto za kila siku.
ebu tuachen tuenjoy maisha mwake tunaonekana wakosefu kana kwamba nyie ni watakatifu
. shame