Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Niache kuomba vitu vya msingi niombe upuuzi,never!Rejea kipengele namba sita na namba saba vinakuhusu. Unaonekana unaelewa tatizo lipo wapi ila ni jeuri na viburi ndivyo vinakuponza.
Anyways, bado miaka kadhaa, utatoka kusema mapenzi hayana formula kuja kusema eeeh yebeneza, nipe hata konda wa daladala nitamuheshimu.
Bora upigwe kofi na binadamu mwenzako, ila sio maisha yakupige kofi.
Mmmh!!Niache kuomba vitu vya msingi niombe upuuzi,never!
Pambana na hali yako. Tutakuja kusoma uzi wako miaka ijayo ukishakwama. Kwanza unaonekana bado una usichana .....so ukikuwa na kuwa mwanamke kamili utaelewa hata bila kufundisha......go to hell.Niache kuomba vitu vya msingi niombe upuuzi,never!
Usiforce mambo yawe utakavyo,kila mtu ana plan zake ktk maisha na kusoma uz WA kukwama inakubid uchukue na kiti ukae usubir mana unategemea kitu ambacho hakitakuja tokea..Pambana na hali yako. Tutakuja kusoma uzi wako miaka ijayo ukishakwama. Kwanza unaonekana bado una usichana .....so ukikuwa na kuwa mwanamke kamili utaelewa hata bila kufundisha......go to hell.
Kulikon?Mmmh!!
Umetumwa? Kamwe hamtatuhamisha kwenye kifo cha mpendwa wetu Ally Kibao hata na hizi mada uchwara za single mazas.Salaam,
kila kukicha kukicha zinaletwa nyuzi za kuwakashifu single mother, hivi mmekuwaje. baadhi ya vitu msivyovijua kuhusu single mother tunajielewa. endeleeni kuwang'ang'ania hao ambao wato wao wametupa chooni, mitaroni n.k kila siku kutukashifu.
nyie wenyewe kila siku kuwatupia lawama wanaotoa mimba na kutupa wototo.
kwanza kuna sie
mimi binafsi mwanangu kwanza mengine baadae
- Tunaojua kujitafutia na kuwatafutia watoto wetu
- Ndoa sio kipaumbele chetu,
- Tunajiamini
- Na watoto wetu ndo furaha yetu.
namfurahia mwanangu sababu ananipa nguvu ya kumpamba na changamoto za kila siku.
ebu tuachen tuenjoy maisha mwake tunaonekana wakosefu kana kwamba nyie ni watakatifu. shame