Single women, tell us how it feels Without a man in your life

Single women, tell us how it feels Without a man in your life

[emoji23][emoji23] iache nataka irudi kama mpyaa
Naona imechakazwa kweli kweli
Bora ipumzike kidogo
Hawa vijana sio watu wazuri kabsaaa wanasimamia kucha hatariiii

Bora sisi wazee tunapiga cha afya
Ukiwapa wahuni matokeo ndiyo hayo

Daaah hatariiii Sana ni huzuni kwa kweli
 
Naona imechakazwa kweli kweli
Bora ipumzike kidogo
Hawa vijana sio watu wazuri kabsaaa wanasimamia kucha hatariiii

Bora sisi wazee tunapiga cha afya
Ukiwapa wahuni matokeo ndiyo hayo

Daaah hatariiii Sana ni huzuni kwa kweli
Kweli kabisa umenena vema mkuu, hongera sana kwa kupiga vya afya.
 
mh!!! dunia hii ya sasa, kuna mwanamke yuko single kweli? mbona bikra zingejaa kila kona ya mtaa, kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa na nchi.
Ukimuuliza anakwambiya ana mahusiano lakini sio serious.
Means ni single.

Ajabu kwa kweli.
 
Sometimes I do enjoy being single, but sometimes i don't , how good it feels to love and to be loved by someone😘, kudekezwa like a baby dah. Yani hadi nahisi kutu kwenye mbususu aisee, kuwa single siyo raha🤪
Dont feel lonely. Plenty of men out here
 
Back
Top Bottom