Single women, tell us how it feels Without a man in your life

Single women, tell us how it feels Without a man in your life

Tatizo dada zangu mnalalamika sana ila wanaume waoaji wapo sometimes mnawakatisha tamaa wenyewe na hayo mahitaji yenu yasio ya Msingi yanazidi kuwakimbiza wanaume waoaji. Kwani dada zangu ukifanikiwa kutofautisha mahitaji yako ya Msingi na luxury needs sizani kama utahangaika kutapata mwenza. Tatizo mnataka mwanaume akutimizie your luxury needs na mahitaji ya msingi, dada wanaume kama hao duniani wapo wachache na kila mwanamke anamtaka huyo mwanaume. Ukimpata mwanaume anayekutimizia mahitaji yako msingi anatosha, huko kwengine mtafika.

Kwa dada zangu ambao vichwa ngumu sababu ya hela zao na elimu zao wao wanataka 50/50 mpaka kwenye mahusiano hao tumemwachia Mungu, lkn hamna watu wanaoteswa na upweke kama hawa ila wakiwa mbele ya kamera wanajifanya wana ngozi za chuma ila ukizigusa za bonyea.

Ila sometimes hata sisi wanaume tuna lawama zetu na ndio maana dada zangu kwa dunia mliyopo siku hizi wavulana wengi, ila WANAUME ni wachache.Mbaya zaidi mnavutiwa na wavulana mnawaacha wanaume.

Vilevile matarajio yenu msiyaweke sana kwenye mifuko na mapochi ya wanaume, lazima mchango wako (sio wa kifedha) hata wa kimawazo uonekano kwa mwanaume,uwepo naye bega kwa bega katika hali zote.

Wanaume waoaji wapo ila wanayokutana nayo ni vimbwanga, ni jamaa yangu kugundua demu anamsaliti. Akaona zoezi la kutafuta mke kampa mmama moja wakanisa amtafutie mke kwani mwaka huu anataka kuoa, huyo demu aliye msaliti alipanga amuoe mwaka huu manake naye kachoka kukaa peke yake.
 
Kwa dada zangu ambao vichwa ngumu sababu ya hela zao na elimu zao wao wanataka 50/50 mpaka kwenye mahusiano hao tumemwachia Mungu, lkn hamna watu wanaoteswa na upweke kama hawa ila wakiwa mbele ya kamera wanajifanya wana ngozi za chuma ila ukizigusa za bonyea.
Huu ni ukweli
 
fanya kula sana, na sio hivo tuu, kula sana vya maprotini CHURA ikue, utarudi hapa kunishukuru, wanaume na hata wanawake wenzako watakugombania kama kundi la nyuki ligombaniavyo asali.
Mnadanganyana.
 
Niliona siku moja kiongozi wa single mamas Tanzania kule Twitter nimesahau jina lake ila ana rasta kichwani akiwahisi wasichana wasikae bila mwanaume kwani ni ngumu sana kulea mtoto bila baba yake kuwepo karibu.

Nilishangaa maana nikajua yeye kama kiongozi wa single mamas Tanzania na mtetezi wa haki za wanawake hana shida na mwanaume kumbe deep down anateseka kuzaa, kulea na kuishi nyumba haina mwanaume.
Hata marehemu Mama Rwakatale alikuwa anasisitiza sana wadada swala la ndoa
 
Back
Top Bottom