Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Hii fomu imetolewa na Halmashauri ya Jiji. Ukiwauliza walioleta fomu mbona huu mchakato wa Kodi ya Majengo tayari ulishaingizwa kwenye manunuzi ya umeme hawana majibu!
Kuna namba imewekwa hapo chini, ukipiga hawapokei!
Sijui wanataka nini zaidi... LAKINI hisia zangu zinaniambia zinatafutwa fedha za kampeni!