Ushaambiwa na viwanja visivyopimwa( squatter)Mleta hii habari hauna habari za kutosha. Hiyo fomu lengo lake ni kukusanya taarifa za majengo ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa Jiji la Arusha. Nyumba ikiwa kwenye mfumo wa Jiji inakuwa ni rahisi kuhudumiwa lakini pia ni rahisi linapokuja suala la kodi za majengo/viwanja etc. Mleta hii habari ulipaswa kuuliza na siyo kuanza kuleta maneno ya uchonganishi, tusipende kila kitu kukifanga siasa. Sema na hiyo formu inapaswa iongezee ukubwa wa kiwanja.