Sintofahamu: Halmashauri ya Jiji la Arusha na Mchakato wa Kodi ya Majengo

Mfikirishi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,418
Reaction score
13,747

Hii fomu imetolewa na Halmashauri ya Jiji. Ukiwauliza walioleta fomu mbona huu mchakato wa Kodi ya Majengo tayari ulishaingizwa kwenye manunuzi ya umeme hawana majibu!

Kuna namba imewekwa hapo chini, ukipiga hawapokei!
Sijui wanataka nini zaidi... LAKINI hisia zangu zinaniambia zinatafutwa fedha za kampeni!
 
Kama ni kweli, Serikali itakua imepuyanga, itapishana na pesa mingi sana
 
Kama ni kweli, Serikali itakua imepuyanga, itapishana na pesa mingi sana
Mleta hii habari hauna habari za kutosha. Hiyo fomu lengo lake ni kukusanya taarifa za majengo ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa Jiji la Arusha. Nyumba ikiwa kwenye mfumo wa Jiji inakuwa ni rahisi kuhudumiwa lakini pia ni rahisi linapokuja suala la kodi za majengo/viwanja etc. Mleta hii habari ulipaswa kuuliza na siyo kuanza kuleta maneno ya uchonganishi, tusipende kila kitu kukifanga siasa. Sema na hiyo formu inapaswa iongezee ukubwa wa kiwanja.
 
Hii inatia mashaka. Process ilishakuwa streamlined kupitia LUKU, sasa hizi fomu za ghafla na ukimya wao,, very suspicious! Inaelekea kuna agenda ya chini inayoendelea.
 
Watakuwa wamejisahau.

Alafu kuna vitu vinafanyika bila kupitia Vikao, so mkuruhenzi ni fala... Habari maamuzi kwa kutumia Vikao. (anajiamulia mwenyewe)
 
Umezingatia kichwa cha fomu husika? Je, huoni kwamba taarifa kwenye namba 8 na 9 tayari zilishakusanywa na mchakato unaendelea?
Kama wewe mwenyewe umeona mapungufu kwenye fomu mimi nikiona nilivyoona kosa langu lipi? Au uoni wako ndo uoni sahihi wangu ni takataka?
 
Hii inatia mashaka. Process ilishakuwa streamlined kupitia LUKU, sasa hizi fomu za ghafla na ukimya wao,, very suspicious! Inaelekea kuna agenda ya chini inayoendelea.
Ni kweli ila kumbuka LUKU ilikuwa enzi zile kodi ikikusanywa enzi za TRA, sasa ilirejeshwa tena Kwenye halmashauri ya Jiji, siyo mbaya kukusanya taarifa tena.
 
Tatizo lako umetilia mashaka badala ya kuandika kuwa “Inakuwaje taarifa za majengo zinakusanywa mara mbili??”
 
Watakuwa wamejisahau.

Alafu kuna vitu vinafanyika bila kupitia Vikao, so mkuruhenzi ni fala... Habari maamuzi kwa kutumia Vikao. (anajiamulia mwenyewe)
Matusi ya nini???? Hakuna jambo Mkurugenzi anaweza jiamulia. Kila jambo lazima lipitie vikao, ndiyo maana ya kuwa na diwani kama muwakilishi toka mtaani kwako.
 
Mambo ya Luku sijui mita kuu sijui ndogo halmashauri waende Tanesco huko

Hiyo Fomu upumbavu mtupu

Huyo Naibu mkurugenzi mpumbavu
 
Mambo ya Luku sijui mita kuu sijui ndogo halmashauri waende Tanesco huko

Hiyo Fomu upumbavu mtupu

Huyo Naibu mkurugenzi mpumbavu
Ukitoa maoni bila matusi unapungukiwa na nini? Kuwa na hekima bosi, tujenge taifa la kukosoana kwa hoja siyo matusi
 
Huwezi kuwa chawa wa mama usitukwane, chill kaka, umeamua kutoa ubongo wako na kuuza utu wako uwe Chawa.
Mimi ni chawa wa kweli kwa Mama, sisi tunasema Oktoba tuna tick✅✅✅✅. Gharama za kuandaa uchaguzi kubwa sana tena sana huwezi kusema unaa cancel uchaguzi kirahisi namna hiyo.
 
Sasa mbona kichwa cha habari cha form kinaeleweka mkuu.

Hapo sema labda taarifa ama data wamepoteza, wanafanya kuzikusanya upya.
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
no election no reform, octoba tuna tiki
 
Jiji Arusha wezi tu hakuna kitu wanafanya zaidi ya kuiba wameona aibu miaka yote juzi ndio wameanza kukarabati stand ya Kilombero ila subiri kuona huo ukarabati baada ya kufunga kwa muda kidogo wakati walipiga kelele mchakato wa Stand kubwa ya mabasi sasa wapo kimya wanakuja kutafuta taarifa ambazo Tanesco wanazo..
 
Ni zoezi la NCHI NZIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…