Ushaambiwa na viwanja visivyopimwa( squatter)Mleta hii habari hauna habari za kutosha. Hiyo fomu lengo lake ni kukusanya taarifa za majengo ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa Jiji la Arusha. Nyumba ikiwa kwenye mfumo wa Jiji inakuwa ni rahisi kuhudumiwa lakini pia ni rahisi linapokuja suala la kodi za majengo/viwanja etc. Mleta hii habari ulipaswa kuuliza na siyo kuanza kuleta maneno ya uchonganishi, tusipende kila kitu kukifanga siasa. Sema na hiyo formu inapaswa iongezee ukubwa wa kiwanja.
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchino election no reform, octoba tuna tiki
Chawa ni wapi hayo maelezo yako yapo kwenye huyo fomu? Mkiambiwa ccm wote ni wehu msio na elimu zaidi ya kuropoka hovyo hamuelewi.Mleta hii habari hauna habari za kutosha. Hiyo fomu lengo lake ni kukusanya taarifa za majengo ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa Jiji la Arusha. Nyumba ikiwa kwenye mfumo wa Jiji inakuwa ni rahisi kuhudumiwa lakini pia ni rahisi linapokuja suala la kodi za majengo/viwanja etc. Mleta hii habari ulipaswa kuuliza na siyo kuanza kuleta maneno ya uchonganishi, tusipende kila kitu kukifanga siasa. Sema na hiyo formu inapaswa iongezee ukubwa wa kiwanja.
Bosi Njemba Soro. Nimejaribu kufafanua kidogo kulingana na uelewa wangu ndugu yangu. Nisamehe sana kama nimekukwaza mkuu. Kikubwa ni kujaribu kueleweshana. Nadhani wahusika wanaweza kutolea ufafanuzi zaidi.Chawa ni wapi hayo maelezo yako yapo kwenye huyo fomu? Mkiambiwa ccm wote ni wehu msio na elimu zaidi ya kuropoka hovyo hamuelewi.
Unaona. Tanesco si wanazo hizo data?jm wanataka data si waende tanesco
Wizi mtupu!Ni zoezi la NCHI NZIMA
Peleka uoneSasa mbona kichwa cha habari cha form kinaeleweka mkuu.
Hapo sema labda taarifa ama data wamepoteza, wanafanya kuzikusanya upya.
Kodi ya jengo kwasasa inakusanywa kwenye umeme hata ikiwa chumba ndani ya jengo moja inimradi tu kinatumia mita yake utalipaMleta hii habari hauna habari za kutosha. Hiyo fomu lengo lake ni kukusanya taarifa za majengo ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa Jiji la Arusha. Nyumba ikiwa kwenye mfumo wa Jiji inakuwa ni rahisi kuhudumiwa lakini pia ni rahisi linapokuja suala la kodi za majengo/viwanja etc. Mleta hii habari ulipaswa kuuliza na siyo kuanza kuleta maneno ya uchonganishi, tusipende kila kitu kukifanga siasa. Sema na hiyo formu inapaswa iongezee ukubwa wa kiwanja.
huko ni kumkumbusha anae kudai, aje akudai.Peleka uone
Pamoja na kuongeza mapyaZoezi hilo lipo nchi nzima ila kwa sasa kodi ya jengo itaenda kwenye halmashauri husika sio hazina kama ilivyokuwa enzi za Magufuli,
Wanachofanya ni kuhakiki upya majengo yote.
Note
Shid iko wapi hapo?Kama ni kweli, Serikali itakua imepuyanga, itapishana na pesa mingi sana
Halmashauri ujanja ujanja mwingi,Shid iko wapi hapo?