Sintofahamu kuhusu hali ya Wanajeshi Wetu DRC: Ni muhimu ifanyike Cabinet Reshuffle haraka sana.

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).

Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao waliopo nchini humo.

Juzi Media za Kimataifa zilisema kuhusu Wanajeshi wa Tanzania, Malawi na Afrika Kusini waliojeruhiwa kurudishwa makwao ambapo walikwama kwa saa kadhaa nchini Rwanda.

Wakati Media za Afrika Kusini zikiwataarifu wananchi kuhusu wapiganaji wao majeruhi kurudi nyumbani hali imekuwa tofauti hapa nyumbani. Hadi sasa hatujui kama Wapiganaji wetu wamerudi nyumbani au la. Hadi sasa hatufahamu kama majeruhi wetu walifika salama au bado wamekwama Rwanda. Hadi sasa hatufahamu vikosi vyetu vilivyopo nchini DRC vipo kwenye hali gani?

Tofauti na inavyotokea siku zote ambapo wananchi huwa tunapewa taarifa kuhusu Wanajeshi wetu tunaowapenda sana, kwa sasa hatupewi taarifa hizo.

Kutokupata taarifa sahihi kumezidi kumpa kichwa Kagame na vyombo vyake vya propaganda vilivyojaa kwenye social media mbalimbali ambao wamekuwa wakisambaza taarifa za kutekwa kwa Wanajeshi wetu.

Kutokana na Nchi yetu kuwa kimya sana, hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwa sasa tumemezwa na Kagame na kuwa kama watumwa wake. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwenye nafasi za juu hatuna watu competent wanaoweza ku counter propaganda machinery ya Rwanda iliyofanikiwa kuwa chanzo pekee cha taarifa ya yanayotokea Mashariki mwa Congo.

Kwangu mimi hali hii naitafsiri kama incompetence kwa waliopo Serikalini sasa kudeal na Kagame na watu wake.

Ili kurekebisha haya. Napendekeza yafuatayo:

1. Yafanyike Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo Waziri wa Ulinzi abadilishwe. Achukuliwe Mwanasiasa Mzoefu ikiwemo aliyeserve na kustaafu Jeshini mwenye uzoefu na vita pamoja na propaganda ateuliwe kuwa Waziri wa Ulinzi.- Hapa tuna kina Kanali Kinana, Simbakalia na Wengineo.

2. Kutokana na udharula warudishwe retired competent TPDF Officers kuhandle hii crisis. Kwenye hili nasita kupendekeza Mabadiliko ya CDF ila ikiwezekana ateuliwe mzoefu na competent mmoja (Either retired Ganeral au Retired Leuternant General kuwa CDF). Kwenye hili hata Trump amefanya juzi kwa kumteua Retired Luteni Generali kuwa CDF. Kwa haraka sana hapa napendekeza Mella, Makakala na Mwakibolwa wafikiriwe ili kuhande this crisis.

3. Yafanyike mabadiliko ya DGIS. Ikiwezekana ateuliwe yule aliyemgomea Magufuli kumpa Taarifa za Kiusalama mbele ya Waandishi wa habari kipindi Magufuli alipofanyq ziara Airport ( Nadhani jina lake Madafa) kuwa DGIS.

Lord denning
Dubai.
 
Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).

Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao waliopo nchini humo.

Juzi Media za Kimataifa zilisema kuhusu Wanajeshi wa Tanzania, Malawi na Afrika Kusini waliojeruhiwa kurudishwa makwao ambapo walikwama kwa saa kadhaa nchini Rwanda.

Wakati Media za Afrika Kusini zikiwataarifu wananchi kuhusu wapiganaji wao majeruhi kurudi nyumbani hali imekuwa tofauti hapa nyumbani. Hadi sasa hatujui kama Wapiganaji wetu wamerudi nyumbani au la. Hadi sasa hatufahamu kama majeruhi wetu walifika salama au bado wamekwama Rwanda. Hadi sasa hatufahamu vikosi vyetu vilivyopo nchini DRC vipo kwenye hali gani?

Tofauti na inavyotokea siku zote ambapo wananchi huwa tunapewa taarifa kuhusu Wanajeshi wetu tunaowapenda sana, kwa sasa hatupewi taarifa hizo.

Kutokupata taarifa sahihi kumezidi kumpa kichwa Kagame na vyombo vyake vya propaganda vilivyojaa kwenye social media mbalimbali ambao wamekuwa wakisambaza taarifa za kutekwa kwa Wanajeshi wetu.

Kutokana na Nchi yetu kuwa kimya sana, hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwa sasa tumemezwa na Kagame na kuwa kama watumwa wake. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwenye nafasi za juu hatuna watu competent wanaoweza ku counter propaganda machinery ya Rwanda iliyofanikiwa kuwa chanzo pekee cha taarifa ya yanayotokea Mashariki mwa Congo.

Kwangu mimi hali hii naitafsiri kama incompetence kwa waliopo Serikalini sasa kudeal na Kagame na watu wake.

Ili kurekebisha haya. Napendekeza yafuatayo:

1. Yafanyike Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo Waziri wa Ulinzi abadilishwe. Achukuliwe Mwanasiasa Mzoefu ikiwemo aliyeserve na kustaafu Jeshini mwenye uzoefu na vita pamoja na propaganda ateuliwe kuwa Waziri wa Ulinzi.- Hapa tuna kina Kanali Kinana, Simbakalia na Wengineo.

2. Kutokana na udharula warudishwe retired TPDF Officers kuhandle hii crisis. Kwenye hili nasita kupendekeza Mabadiliko ya CDF ila ikiwezekana ateuliwe mzoefu na competent mmoja (Either retired Ganeral au Retired Leuternant General kuwa CDF). Kwenye hili hata Trump amefanya juzi kwa kumteua Retired Luteni Generali kuwa CDF. Kwa haraka sana hapa napendekeza Melo, Makakala na Mwakobolwa wafikiriwe ili kuhande this crisis.

Relax , everything is in control. Juzi kati nilikutana na homeboy mmoja aliyekua huko. So our fighters wako mjini
 
Unapoteza muda wako bure kabisa kujadili suala hili.

Endapo kama Watawala wa nchi wangekuwa wanasikia maoni ya Wananchi basi janga hili lingeweza kuepukika.
 
..tatizo ni uwezo mdogo wa Mama Abduli.

..hakuwahi kufikiria, na hakuna mtu alikuwa anamfikiria, kuwa atakuwa Raisi.

..ameshabadilisha wakurugenzi wa Tiss watatu, mnataka ambadilishe na aliyeko sasa hivi?
 
Wakati Media za Afrika Kusini zikiwataarifu wananchi kuhusu wapiganaji wao majeruhi

Na hapa Tanzania ni JamiiForums inajitahidi kuelezea kuhusu hali za majeruhi na pia askari wetu waliopoteza maisha.

Kuna usiri mkubwa kuhusu operesheni hata zile zilizo chini ya kikanda SAMIDRC / MONUSCO Umoja wa Mataifa, waTanzania tunaokoteza habari kutoka New York, Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, bunge la Afrika ya Kusini na serikali ya Afrika ya Kusini, Kigali Rwanda na Kampala Uganda.

Imekuwa siri kuu.
 
Sidhani kama Viongozi wa sasa wanaelewa kuwa hii ni hatari sana!
 
Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).

Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao waliopo nchini humo.

Juzi Media za Kimataifa zilisema kuhusu Wanajeshi wa Tanzania, Malawi na Afrika Kusini waliojeruhiwa kurudishwa makwao ambapo walikwama kwa saa kadhaa nchini Rwanda.

Wakati Media za Afrika Kusini zikiwataarifu wananchi kuhusu wapiganaji wao majeruhi kurudi nyumbani hali imekuwa tofauti hapa nyumbani. Hadi sasa hatujui kama Wapiganaji wetu wamerudi nyumbani au la. Hadi sasa hatufahamu kama majeruhi wetu walifika salama au bado wamekwama Rwanda. Hadi sasa hatufahamu vikosi vyetu vilivyopo nchini DRC vipo kwenye hali gani?

Tofauti na inavyotokea siku zote ambapo wananchi huwa tunapewa taarifa kuhusu Wanajeshi wetu tunaowapenda sana, kwa sasa hatupewi taarifa hizo.

Kutokupata taarifa sahihi kumezidi kumpa kichwa Kagame na vyombo vyake vya propaganda vilivyojaa kwenye social media mbalimbali ambao wamekuwa wakisambaza taarifa za kutekwa kwa Wanajeshi wetu.

Kutokana na Nchi yetu kuwa kimya sana, hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwa sasa tumemezwa na Kagame na kuwa kama watumwa wake. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwenye nafasi za juu hatuna watu competent wanaoweza ku counter propaganda machinery ya Rwanda iliyofanikiwa kuwa chanzo pekee cha taarifa ya yanayotokea Mashariki mwa Congo.

Kwangu mimi hali hii naitafsiri kama incompetence kwa waliopo Serikalini sasa kudeal na Kagame na watu wake.

Ili kurekebisha haya. Napendekeza yafuatayo:

1. Yafanyike Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo Waziri wa Ulinzi abadilishwe. Achukuliwe Mwanasiasa Mzoefu ikiwemo aliyeserve na kustaafu Jeshini mwenye uzoefu na vita pamoja na propaganda ateuliwe kuwa Waziri wa Ulinzi.- Hapa tuna kina Kanali Kinana, Simbakalia na Wengineo.

2. Kutokana na udharula warudishwe retired TPDF Officers kuhandle hii crisis. Kwenye hili nasita kupendekeza Mabadiliko ya CDF ila ikiwezekana ateuliwe mzoefu na competent mmoja (Either retired Ganeral au Retired Leuternant General kuwa CDF). Kwenye hili hata Trump amefanya juzi kwa kumteua Retired Luteni Generali kuwa CDF. Kwa haraka sana hapa napendekeza Mella, Makakala na Mwakibolwa wafikiriwe ili kuhande this crisis.

3. Yafanyike mabadiliko ya DGIS. Ikiwezekana ateuliwe yule aliyemgomea Magufuli kumpa Taarifa za Kiusalama mbele ya Waandishi wa habari kipindi Magufuli alipofanyq ziara Airport ( Nadhani jina lake Madafa) kuwa DGIS.

Lord denning
Dubai.
Jeshi la CCM lina mbinu za kizamani za kiutendaji. Wanajeshi ni ndugu zetu na watoto wetu, tunahaki ya kupata taarifa zao sahihi. Sio kudanganywa eti wamekufa wawili tu
 
Na mbaya zaidi inawezekana wanyarwanda wameweka mamluki wao Ili kujua hata aina za silaha tulizo nazo na zinazoingizwa bandarini. Hivyo pia hasara mojawapo ya kubinafsisha bandari inaweza kuonekana angle hii pia.
 
Back
Top Bottom