Sintofahamu kuhusu hali ya Wanajeshi Wetu DRC: Ni muhimu ifanyike Cabinet Reshuffle haraka sana.

Na mbaya zaidi inawezekana wanyarwanda wameweka mamluki wao Ili kujua hata aina za silaha tulizo nazo na zinazoingizwa bandarini. Hivyo pia hasara mojawapo ya kubinafsisha bandari inaweza kuonekana angle hii pia.
Kwanza kabisa umewahi kujiuliza Rwanda wanapitisha wapi vifaa vyao vya kijeshi kutoka kwenye mataifa yanaouza silaha?
 
Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).

Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao waliopo nchini humo.

Juzi Media za Kimataifa zilisema kuhusu Wanajeshi wa Tanzania, Malawi na Afrika Kusini waliojeruhiwa kurudishwa makwao ambapo walikwama kwa saa kadhaa nchini Rwanda.

Wakati Media za Afrika Kusini zikiwataarifu wananchi kuhusu wapiganaji wao majeruhi kurudi nyumbani hali imekuwa tofauti hapa nyumbani. Hadi sasa hatujui kama Wapiganaji wetu wamerudi nyumbani au la. Hadi sasa hatufahamu kama majeruhi wetu walifika salama au bado wamekwama Rwanda. Hadi sasa hatufahamu vikosi vyetu vilivyopo nchini DRC vipo kwenye hali gani?

Tofauti na inavyotokea siku zote ambapo wananchi huwa tunapewa taarifa kuhusu Wanajeshi wetu tunaowapenda sana, kwa sasa hatupewi taarifa hizo.

Kutokupata taarifa sahihi kumezidi kumpa kichwa Kagame na vyombo vyake vya propaganda vilivyojaa kwenye social media mbalimbali ambao wamekuwa wakisambaza taarifa za kutekwa kwa Wanajeshi wetu.

Kutokana na Nchi yetu kuwa kimya sana, hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwa sasa tumemezwa na Kagame na kuwa kama watumwa wake. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwenye nafasi za juu hatuna watu competent wanaoweza ku counter propaganda machinery ya Rwanda iliyofanikiwa kuwa chanzo pekee cha taarifa ya yanayotokea Mashariki mwa Congo.

Kwangu mimi hali hii naitafsiri kama incompetence kwa waliopo Serikalini sasa kudeal na Kagame na watu wake.

Ili kurekebisha haya. Napendekeza yafuatayo:

1. Yafanyike Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo Waziri wa Ulinzi abadilishwe. Achukuliwe Mwanasiasa Mzoefu ikiwemo aliyeserve na kustaafu Jeshini mwenye uzoefu na vita pamoja na propaganda ateuliwe kuwa Waziri wa Ulinzi.- Hapa tuna kina Kanali Kinana, Simbakalia na Wengineo.

2. Kutokana na udharula warudishwe retired TPDF Officers kuhandle hii crisis. Kwenye hili nasita kupendekeza Mabadiliko ya CDF ila ikiwezekana ateuliwe mzoefu na competent mmoja (Either retired Ganeral au Retired Leuternant General kuwa CDF). Kwenye hili hata Trump amefanya juzi kwa kumteua Retired Luteni Generali kuwa CDF. Kwa haraka sana hapa napendekeza Mella, Makakala na Mwakibolwa wafikiriwe ili kuhande this crisis.

3. Yafanyike mabadiliko ya DGIS. Ikiwezekana ateuliwe yule aliyemgomea Magufuli kumpa Taarifa za Kiusalama mbele ya Waandishi wa habari kipindi Magufuli alipofanyq ziara Airport ( Nadhani jina lake Madafa) kuwa DGIS.

Lord denning
Dubai.
Shida sio Waziri wala CDF,shida ni Raisi,ile ziara ya Kagame na M7 kuja Zanznibar ikiambatana na ziara ya Kabarebe wiki nzima kusafisha njia,ilimaliza kila kitu,najua ukikaa na CDF atakueleza mambo mengi sana yaliyokwamisha hii operesheni,Raisi yuko compromised,kawauza makamanda wetu
 
K

Ccm out kwanza mambo mengine baadae.
 
kwanza tubadili rais kisha abadili mfumo wa uongozi,
 
Mkuu,

Suala la serikali kuwa na usiri kwa makusudi unataka kulimaliza kwa kubadili waziri?
 
Kuna jamaa yetu tumemzika juzi alifia huko kongo kwenye vita.
Serikali inajifanya ipo kimya kama hakuna maswaiba wanayopata askari wetu huko
 
Shida sio Waziri wala CDF,shida ni Raisi,ile ziara ya Kagame na M7 kuja Zanznibar ikiambatana na ziara ya Kabarebe wiki nzima kusafisha njia,ilimaliza kila kitu,najua ukikaa na CDF atakueleza mambo mengi sana yaliyokwamisha hii operesheni,Raisi yuko compromised,kawauza makamanda wetu
Basi tutakuwa tuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhani. We are compromised and fucked up!

But Why CDF asisimame kumwambia ukweli Rais?
 
Mkuu,

Suala la serikali kuwa na usiri kwa makusudi unataka kulimaliza kwa kubadili waziri?
Kuna muda wa kuwa na usiri na kuna muda wa kuongea ili ku tackle fake propaganda zinazoendeshwa na adui.
 
Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).

Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao waliopo nchini humo.

Juzi Media za Kimataifa zilisema kuhusu Wanajeshi wa Tanzania, Malawi na Afrika Kusini waliojeruhiwa kurudishwa makwao ambapo walikwama kwa saa kadhaa nchini Rwanda.

Wakati Media za Afrika Kusini zikiwataarifu wananchi kuhusu wapiganaji wao majeruhi kurudi nyumbani hali imekuwa tofauti hapa nyumbani. Hadi sasa hatujui kama Wapiganaji wetu wamerudi nyumbani au la. Hadi sasa hatufahamu kama majeruhi wetu walifika salama au bado wamekwama Rwanda. Hadi sasa hatufahamu vikosi vyetu vilivyopo nchini DRC vipo kwenye hali gani?

Tofauti na inavyotokea siku zote ambapo wananchi huwa tunapewa taarifa kuhusu Wanajeshi wetu tunaowapenda sana, kwa sasa hatupewi taarifa hizo.

Kutokupata taarifa sahihi kumezidi kumpa kichwa Kagame na vyombo vyake vya propaganda vilivyojaa kwenye social media mbalimbali ambao wamekuwa wakisambaza taarifa za kutekwa kwa Wanajeshi wetu.

Kutokana na Nchi yetu kuwa kimya sana, hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwa sasa tumemezwa na Kagame na kuwa kama watumwa wake. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwenye nafasi za juu hatuna watu competent wanaoweza ku counter propaganda machinery ya Rwanda iliyofanikiwa kuwa chanzo pekee cha taarifa ya yanayotokea Mashariki mwa Congo.

Kwangu mimi hali hii naitafsiri kama incompetence kwa waliopo Serikalini sasa kudeal na Kagame na watu wake.

Ili kurekebisha haya. Napendekeza yafuatayo:

1. Yafanyike Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo Waziri wa Ulinzi abadilishwe. Achukuliwe Mwanasiasa Mzoefu ikiwemo aliyeserve na kustaafu Jeshini mwenye uzoefu na vita pamoja na propaganda ateuliwe kuwa Waziri wa Ulinzi.- Hapa tuna kina Kanali Kinana, Simbakalia na Wengineo.

2. Kutokana na udharula warudishwe retired TPDF Officers kuhandle hii crisis. Kwenye hili nasita kupendekeza Mabadiliko ya CDF ila ikiwezekana ateuliwe mzoefu na competent mmoja (Either retired Ganeral au Retired Leuternant General kuwa CDF). Kwenye hili hata Trump amefanya juzi kwa kumteua Retired Luteni Generali kuwa CDF. Kwa haraka sana hapa napendekeza Mella, Makakala na Mwakibolwa wafikiriwe ili kuhande this crisis.

3. Yafanyike mabadiliko ya DGIS. Ikiwezekana ateuliwe yule aliyemgomea Magufuli kumpa Taarifa za Kiusalama mbele ya Waandishi wa habari kipindi Magufuli alipofanyq ziara Airport ( Nadhani jina lake Madafa) kuwa DGIS.

Lord denning
Dubai.
Katika reshuffle hiyo....
Waziri wa ulinzi abaki yule mama...naibu Waziri ulinzi Apewe Juliana Shonza, Mkuu wa Majeshi apewe yule ADC/Mpambe wa mama, IGP mwanamke , DGIS/Mkurugenzi usalama apewe yule mama Afisa kipenyo ambaye ni katibu wa bunge, yaani safu yote pale juu wawaweke wanawake ..halafu waanze vita ..wawachambeer m23 mpaka wafweeee.....
 
Katika reshuffle hiyo....
Waziri wa ulinzi abaki yule mama...naibu Waziri ulinzi Apewe Juliana Shonza, Mkuu wa Majeshi apewe yule ADC/Mpambe wa mama, IGP mwanamke , DGSS/Mkurugenzi usalama apewe yule mama Afisa kipenyo ambaye ni katibu wa bunge, yaani safu yote pale juu wawaweke wanawake ..halafu waanze vita ..wawachambeer m23 mpaka wafweeee.....
Jitahidi sana siku nyingine usiamke na hangover uliyoamka nayo leo.
 
Hapana pombe nimeiacha/nimepumzika muda sana .... Wanawake wanaweza wewe .... Si unaona mama anavyokubalika mpaka watu wanasombwa kupelekwa uwanjani....
 
Punguza masihara kwenye mambo ya msingi.
 
Sasa tufanyaje ikiwa wao wanatuona wapumbavu Mkuu.... Wewe unawaza hili wenzako wako bize kuongeza majimbo na viti maaalum vinakusaidia nini!?? Miaka 60 maji shida ,umeme shida ,elimu shida, Kilimo shida, Uvuvi ndio usisema, moundo mbinu hovyo .... Ndio wataweza huko kwenye Majeshi!?? Yaliyopo Kwa ajili ya kulinda nafasi zao!?? Nini tumefanikiwa miaka 60 hii !?? Na ukiwasikiliza ni kama wameingia madarakani jana!??....
 
Kuna muda wa kuwa na usiri na kuna muda wa kuongea ili ku tackle fake propaganda zinazoendeshwa na adui.
Sawa, sikukatalii. Mimi mwenyewe napenda sana uwazi.

Lakini bado hujaelewa point yangu.

Unategemea vipi mabadiliko ya kutoa habari zaidi yaje kwa kumbadilisha waziri wakati tatizo ni kuwa na serikali ambayo kwa makusudi kabisa inafanya usiri?

Huoni kwamba ikiwa ni kweli serikali inataka usiri, hili si tatizo la waziri wa sasa, na hata ukimbadilisha, huyo mwingine mpya itambidi afanye kazi kwa usiri huo huo, na hivyo zoezi lako la kutaka waziri abadilishwe litakuwa halina maana?

Huoni kwamba unajaribu kutibu dalili ya ugonjwa wa Kifua Kikuu ya kukohoa kwa kumpa mgonjwa dawa ya kupooza kikohozi ya Cofta, wakati hujatibu igonjwa wenyewe wa Kifua Kikuu, na kwa hivyo, dalili ya kikohozi itaendelea tu, kwa sababu ugonjwa wa msingi haujatibiwa?

Wewe unafikiri kweli hawa mawaziri ndio wanaamua watoe habari au wasitoe?
 
Sasa tufanyaje ikiwa wao wanatuona wapumbavu Mkuu.... Wewe unawaza hili wenzako wako bize kuongeza majimbo na viti maaalum vinakusaidia nini!?? Miaka 60 maji shida ,umeme shida ,elimu shida, Kilimo shida, Uvuvi ndio usisema .... Ndio wataweza huko kwenye Majeshi!?? Yaliyopo Kwa ajili ya kuilinda nafasi zao!?? Ninintumefanikiwa miaka 60 hii !?? Na ukiwasikiliza ni kama wameingia madarakani jana!??....
Hapa at least umeongea jambo. ila pale nyuma ulikengeuka.

Nakubaliana na wewe kuwa something must be done either na wananchi or vyombo vya usalama against CCM.

Kwa upande wa Wananchi ni ngumu ila kwa upande wa vyombo vya ulinzi na usalama uwezo huo wanao. Ni kufanya maamuzi magumu tu kwa maslahi ya Taifa.
 
Back
Top Bottom