Sintofahamu kuhusu hali ya Wanajeshi Wetu DRC: Ni muhimu ifanyike Cabinet Reshuffle haraka sana.

Kitendo cha Rwanda na m23 kufikiri wamewashinda jwtz na kuwadhalilisha watz hatutakikubali. Rwanda na jamaa zao wa kitutsi m23 wamevamia Goma kwa kikosi kikubwa wakiwa na silaha nzito. Wamepigana kishenzi kwa kuua raia ovyo kwa maelfu na kutimua watu waliyokua kwenye kambi mjini Goma na kujiona washindi. Wenye kuelewa wanajua kwamba watutsi kuwaua wabantu huko congo kwa wingi ndio lengo lao.
 

..CCM wamekubali.

..Mama Abduli amekubali.

..Wewe ni nani ukatae?
 
Usiwe na wasiwasi JWTZ na wanadiplomasia wetu wana uzoefu tosha kukabiliana na Hali kama hii. Sio yote ya kutangazwa hadharani.
 
Usiwe na wasiwasi JWTZ na wanadiplomasia wetu wana uzoefu tosha kukabiliana na Hali kama hii. Sio yote ya kutangazwa hadharani.
Sijaona mwanadiplomasia wa ku counter propaganda machinery za Kagame kwa sasa. Alikuwepo marehemu Membe. Yule at least angeweza.

Hawa tuliokuwa nao saivi ni wachanga na wepesi sana kudeal na Kagame na watu wake hasa General Kabarebe.
 
Kuna tetesi kuwa wametelekezwa.
Hapana wapo katika process ya kurejeshwa wote nyumbani, mkataba umesitishwa.

Tunavyoongea yaweza kuwa tayari wamerudishwa ama wapo njiani, kwani suala hilo ni la masaa tu.
 
Na mbaya zaidi inawezekana wanyarwanda wameweka mamluki wao Ili kujua hata aina za silaha tulizo nazo na zinazoingizwa bandarini. Hivyo pia hasara mojawapo ya kubinafsisha bandari inaweza kuonekana angle hii pia.
DP WORLD wenyewe hamna chochote wanachotupa, yaani wamekuwa kujichotea na kujilimbikizia mali
 
😂😂😂😂 Propaganda vitani???

Kuna tofauti kati ya propaganda na transparency.

South Africa wamechagua transparency.

Upokee coffins, useme ni propaganda machinery za Kagame???
 
Kagame ni moto wa kuotea mbali.wanaopenda kujiingiza kwenye mgogoro ambao hauwahusu watateseka sana.pongezi kwako kagame Kwa kulinda amani Nchi yetu nzuri ya Rwanda na inayopendeza .
 
Yaani ulivyoandika mtu atadhani unajuuuuuua, kumbe hujui chochote kuhusu international peacekeeping missions!
 
CCM ndio chanzo cha hovyo hii.
 
Maneno haya yana ashiria jambo muhimu kuhusu nchi yetu.
Kwamba viongozi (watawala) hapa hawawajibiki kwa wananchi wao; kwamba wananchi ndio wanao wajibu kwa viongozi. Wannchi hawawezi kusema chochote wala kuchukua hatua yeyote dhidi ya watawala. Wananchi wanapokea tu na kuyakubali yanayofanywa na watawala bila ya kuhoji chochote. Wanchi hawatakiwi kuhoji kitu, na wanao jaribu kufanya hivyo wanawajibishwa.
WaTanzania ni MATEKA wa watawala.
 
Mkuu sijaelewa hoja yako hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…