Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Kwanza kabisa umewahi kujiuliza Rwanda wanapitisha wapi vifaa vyao vya kijeshi kutoka kwenye mataifa yanaouza silaha?Na mbaya zaidi inawezekana wanyarwanda wameweka mamluki wao Ili kujua hata aina za silaha tulizo nazo na zinazoingizwa bandarini. Hivyo pia hasara mojawapo ya kubinafsisha bandari inaweza kuonekana angle hii pia.
Shida sio Waziri wala CDF,shida ni Raisi,ile ziara ya Kagame na M7 kuja Zanznibar ikiambatana na ziara ya Kabarebe wiki nzima kusafisha njia,ilimaliza kila kitu,najua ukikaa na CDF atakueleza mambo mengi sana yaliyokwamisha hii operesheni,Raisi yuko compromised,kawauza makamanda wetuHadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).
Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao waliopo nchini humo.
Juzi Media za Kimataifa zilisema kuhusu Wanajeshi wa Tanzania, Malawi na Afrika Kusini waliojeruhiwa kurudishwa makwao ambapo walikwama kwa saa kadhaa nchini Rwanda.
Wakati Media za Afrika Kusini zikiwataarifu wananchi kuhusu wapiganaji wao majeruhi kurudi nyumbani hali imekuwa tofauti hapa nyumbani. Hadi sasa hatujui kama Wapiganaji wetu wamerudi nyumbani au la. Hadi sasa hatufahamu kama majeruhi wetu walifika salama au bado wamekwama Rwanda. Hadi sasa hatufahamu vikosi vyetu vilivyopo nchini DRC vipo kwenye hali gani?
Tofauti na inavyotokea siku zote ambapo wananchi huwa tunapewa taarifa kuhusu Wanajeshi wetu tunaowapenda sana, kwa sasa hatupewi taarifa hizo.
Kutokupata taarifa sahihi kumezidi kumpa kichwa Kagame na vyombo vyake vya propaganda vilivyojaa kwenye social media mbalimbali ambao wamekuwa wakisambaza taarifa za kutekwa kwa Wanajeshi wetu.
Kutokana na Nchi yetu kuwa kimya sana, hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwa sasa tumemezwa na Kagame na kuwa kama watumwa wake. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwenye nafasi za juu hatuna watu competent wanaoweza ku counter propaganda machinery ya Rwanda iliyofanikiwa kuwa chanzo pekee cha taarifa ya yanayotokea Mashariki mwa Congo.
Kwangu mimi hali hii naitafsiri kama incompetence kwa waliopo Serikalini sasa kudeal na Kagame na watu wake.
Ili kurekebisha haya. Napendekeza yafuatayo:
1. Yafanyike Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo Waziri wa Ulinzi abadilishwe. Achukuliwe Mwanasiasa Mzoefu ikiwemo aliyeserve na kustaafu Jeshini mwenye uzoefu na vita pamoja na propaganda ateuliwe kuwa Waziri wa Ulinzi.- Hapa tuna kina Kanali Kinana, Simbakalia na Wengineo.
2. Kutokana na udharula warudishwe retired TPDF Officers kuhandle hii crisis. Kwenye hili nasita kupendekeza Mabadiliko ya CDF ila ikiwezekana ateuliwe mzoefu na competent mmoja (Either retired Ganeral au Retired Leuternant General kuwa CDF). Kwenye hili hata Trump amefanya juzi kwa kumteua Retired Luteni Generali kuwa CDF. Kwa haraka sana hapa napendekeza Mella, Makakala na Mwakibolwa wafikiriwe ili kuhande this crisis.
3. Yafanyike mabadiliko ya DGIS. Ikiwezekana ateuliwe yule aliyemgomea Magufuli kumpa Taarifa za Kiusalama mbele ya Waandishi wa habari kipindi Magufuli alipofanyq ziara Airport ( Nadhani jina lake Madafa) kuwa DGIS.
Lord denning
Dubai.
Ccm out kwanza mambo mengine baadae.Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).

Jana Kajisahau Anasema CCM HoyeeTuko Tanga tunaendelea na kampeni za URais.
kwanza tubadili rais kisha abadili mfumo wa uongozi,Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).

Mkuu,Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).

Tatizo siyo waziri, tatizo ni rais. Rais hana anachojua zaidi kujipaka make up na kufunga kilembaYafanyike Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo Waziri wa Ulinzi abadilishwe.
So kwa nini yasitokee ya 1964?Tatizo siyo waziri, tatizo ni rais. Rais hana anachojua zaidi kujipaka make up na kufunga kilemba
Una hoja! Usikilizwekwanza tubadili rais kisha abadili mfumo wa uongozi,
Basi tutakuwa tuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhani. We are compromised and fucked up!Shida sio Waziri wala CDF,shida ni Raisi,ile ziara ya Kagame na M7 kuja Zanznibar ikiambatana na ziara ya Kabarebe wiki nzima kusafisha njia,ilimaliza kila kitu,najua ukikaa na CDF atakueleza mambo mengi sana yaliyokwamisha hii operesheni,Raisi yuko compromised,kawauza makamanda wetu
Kuna muda wa kuwa na usiri na kuna muda wa kuongea ili ku tackle fake propaganda zinazoendeshwa na adui.Mkuu,
Suala la serikali kuwa na usiri kwa makusudi unataka kulimaliza kwa kubadili waziri?
Katika reshuffle hiyo....Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).
Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao waliopo nchini humo.
Juzi Media za Kimataifa zilisema kuhusu Wanajeshi wa Tanzania, Malawi na Afrika Kusini waliojeruhiwa kurudishwa makwao ambapo walikwama kwa saa kadhaa nchini Rwanda.
Wakati Media za Afrika Kusini zikiwataarifu wananchi kuhusu wapiganaji wao majeruhi kurudi nyumbani hali imekuwa tofauti hapa nyumbani. Hadi sasa hatujui kama Wapiganaji wetu wamerudi nyumbani au la. Hadi sasa hatufahamu kama majeruhi wetu walifika salama au bado wamekwama Rwanda. Hadi sasa hatufahamu vikosi vyetu vilivyopo nchini DRC vipo kwenye hali gani?
Tofauti na inavyotokea siku zote ambapo wananchi huwa tunapewa taarifa kuhusu Wanajeshi wetu tunaowapenda sana, kwa sasa hatupewi taarifa hizo.
Kutokupata taarifa sahihi kumezidi kumpa kichwa Kagame na vyombo vyake vya propaganda vilivyojaa kwenye social media mbalimbali ambao wamekuwa wakisambaza taarifa za kutekwa kwa Wanajeshi wetu.
Kutokana na Nchi yetu kuwa kimya sana, hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwa sasa tumemezwa na Kagame na kuwa kama watumwa wake. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa kwenye nafasi za juu hatuna watu competent wanaoweza ku counter propaganda machinery ya Rwanda iliyofanikiwa kuwa chanzo pekee cha taarifa ya yanayotokea Mashariki mwa Congo.
Kwangu mimi hali hii naitafsiri kama incompetence kwa waliopo Serikalini sasa kudeal na Kagame na watu wake.
Ili kurekebisha haya. Napendekeza yafuatayo:
1. Yafanyike Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo Waziri wa Ulinzi abadilishwe. Achukuliwe Mwanasiasa Mzoefu ikiwemo aliyeserve na kustaafu Jeshini mwenye uzoefu na vita pamoja na propaganda ateuliwe kuwa Waziri wa Ulinzi.- Hapa tuna kina Kanali Kinana, Simbakalia na Wengineo.
2. Kutokana na udharula warudishwe retired TPDF Officers kuhandle hii crisis. Kwenye hili nasita kupendekeza Mabadiliko ya CDF ila ikiwezekana ateuliwe mzoefu na competent mmoja (Either retired Ganeral au Retired Leuternant General kuwa CDF). Kwenye hili hata Trump amefanya juzi kwa kumteua Retired Luteni Generali kuwa CDF. Kwa haraka sana hapa napendekeza Mella, Makakala na Mwakibolwa wafikiriwe ili kuhande this crisis.
3. Yafanyike mabadiliko ya DGIS. Ikiwezekana ateuliwe yule aliyemgomea Magufuli kumpa Taarifa za Kiusalama mbele ya Waandishi wa habari kipindi Magufuli alipofanyq ziara Airport ( Nadhani jina lake Madafa) kuwa DGIS.
Lord denning
Dubai.
Jitahidi sana siku nyingine usiamke na hangover uliyoamka nayo leo.Katika reshuffle hiyo....
Waziri wa ulinzi abaki yule mama...naibu Waziri ulinzi Apewe Juliana Shonza, Mkuu wa Majeshi apewe yule ADC/Mpambe wa mama, IGP mwanamke , DGSS/Mkurugenzi usalama apewe yule mama Afisa kipenyo ambaye ni katibu wa bunge, yaani safu yote pale juu wawaweke wanawake ..halafu waanze vita ..wawachambeer m23 mpaka wafweeee.....
Hapana pombe nimeiacha/nimepumzika muda sana .... Wanawake wanaweza wewe .... Si unaona mama anavyokubalika mpaka watu wanasombwa kupelekwa uwanjani....Jitahidi sana siku nyingine usiamke na hangover uliyoamka nayo leo.
mabeyo alizingua sana asingempa uraisi nchi imekuwa kama haina mwenyewe, jeshi linapaswa kuchukua hatua ili kuinusuru nchiUna hoja! Usikilizwe
Punguza masihara kwenye mambo ya msingi.Hapana pombe nimeiacha/nimepumzika muda sana .... Wanawake wanaweza wewe .... Si unaona mama anavyokubalika mpaka watu wanasombwa kupelekwa uwanjani....
Sasa tufanyaje ikiwa wao wanatuona wapumbavu Mkuu.... Wewe unawaza hili wenzako wako bize kuongeza majimbo na viti maaalum vinakusaidia nini!?? Miaka 60 maji shida ,umeme shida ,elimu shida, Kilimo shida, Uvuvi ndio usisema, moundo mbinu hovyo .... Ndio wataweza huko kwenye Majeshi!?? Yaliyopo Kwa ajili ya kulinda nafasi zao!?? Nini tumefanikiwa miaka 60 hii !?? Na ukiwasikiliza ni kama wameingia madarakani jana!??....Punguza masihara kwenye mambo ya msingi.
Sawa, sikukatalii. Mimi mwenyewe napenda sana uwazi.Kuna muda wa kuwa na usiri na kuna muda wa kuongea ili ku tackle fake propaganda zinazoendeshwa na adui.
Hapa at least umeongea jambo. ila pale nyuma ulikengeuka.Sasa tufanyaje ikiwa wao wanatuona wapumbavu Mkuu.... Wewe unawaza hili wenzako wako bize kuongeza majimbo na viti maaalum vinakusaidia nini!?? Miaka 60 maji shida ,umeme shida ,elimu shida, Kilimo shida, Uvuvi ndio usisema .... Ndio wataweza huko kwenye Majeshi!?? Yaliyopo Kwa ajili ya kuilinda nafasi zao!?? Ninintumefanikiwa miaka 60 hii !?? Na ukiwasikiliza ni kama wameingia madarakani jana!??....