Sintofahamu kuhusu hali ya Wanajeshi Wetu DRC: Ni muhimu ifanyike Cabinet Reshuffle haraka sana.

hahahaaaaa serikali ya wanawake, aisee kama nchi tuko pabaya kwa kweli na kikwete anafurahia kwa kutoa ushauri eth samia agombee tena sielewi ana nia gani aisee! Tunadhalilishwa na nchi kama rwanda? Watanzania roho inauma jk please fanya mabadiliko tunakuomba.
 
Kwa uelewa wangu. Mawaziri ndo washauri wakuu wa mamlaka.

Waziri anapaswa kuwa mtu mwenye uelewa mkubwa sana na maarifa makubwa sana na sekta anayoiongoza na changamoto zake hivyo kuweza kushauri ipasavyo a best way forward hasa kwenye crisis.

Kinachoendelea saivi inamaanisha kuwa something is wrong somewhere. It's either we are compromised or we don't have competent people huko juu!

SADC/ EAC/ AU have proved that they have failed to manage the Congo crisis. So we need people who can think and decide correctly. Ubaya wa haya yanayoendelea, Kagame anazidi kutengeneza kutengeneza kukubalika kwa hoja zake! Anazidi kutengeneza relevancy kwake na kuondoa relevancy ya hoja zetu. Matokeo ya hiki sio mazuri huko mbeleni.
 
Basi tutakuwa tuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhani. We are compromised and fucked up!

But Why CDF asisimame kumwambia ukweli Rais?
Si alishamwambia mchana kweupeeee.... Kuwa Kuna viongozi wengi sana sio raia katika Serikali....aseme mara ngapi Mkuu...
 
Hakuna chombo cha ulinzi na usalama kinachoweza kufanya hicho unachokishauri kifanye hakipo... Wao wakae tu wasubiri Chadema wakiamdaa maandamano waingie barabarani kufanya usafi na mazoezi ya utayari .Hilo wanaweza vizuri sana ...lakini unalotaka walifanye kamwe hawawezi
 
Wakati mwenzako JK ndio anazidi kumwaga maganda ya ndizi Ili aendelee kuteleza bila mkwamo .....
 
Kizazi hiki uzembe umetuzidi. Ya mwaka 1964 makubwa sana kwa huyu. Huyu alikuwa wa kuambiwa tu akiwa nyumbani kwake kuwa kuanzia sasa wewe siyo rais (kama alivyofanyiwa Mugabe).
Kafulila aliwahi sema inawezekana tukawa na kizazi bora makabulini kuliko tulichonaso sasa.
 
Kafulila aliwahi sema inawezekana tukawa na kizazi bora makabulini kuliko tulichonaso sasa.
Kafulila alikuwa sahihi sana. Nyerere alipokuwa akifundisha pale Pugu akiwa ofisi moja na wazungu huku akiwa anamiliki baiskeli, ingelikuwa ndiyo kizazi hiki angeanza kuwalingishia wenzake na kuwa chawa wa wazungu. Lkn Nyerere alipambana na mfumo kandamizi wa wazungu kwa maslahi mapana ya taifa lake.

Kumbuka miaka ya 1960, mzungu alifananishwa na Mungu. Na kumiliki baiskeli ni sawa na kumiliki BMW miaka hii.
 
Waziri hawezi kushauri lolote kwenye suala la serikali kuacha kuwa na utamaduni wa usiri.

Mpaka mtu kuwa Waziri maana yake ashausoma mchezo na kujua sheria zake, moja ya sheria ni kutoshauri kitu ambacho hakikubaliki na kinaweza kukuondoa kwenye uwaziri.

Hujasikia Waziri wa Elimu analalamika anabaniwa hata kupata muda wa kuongea na rais tu?

Haya mambo mengine hata rais Samia hawezi kubadilisha kirahisi ni utamaduni uliojengwa kwa miaka na miaka.

Inaonekana unavyofikiri serikali inafanya kazi na jinsi serikali inavyofanya kazi ni vitu viwili tofauti.

Unategemea vipi Waziri abadilishe suala lililojengeka kiutamaduni kwa miaka na miaka?

Kuna watu wameanzisha online archive za Dr. Salim Ahmed Salim. Walikuwa wanataka kuziweka nyaraka za kawaida kabisa za Dr. Salim alivyokuwa anafanya kazi. Walipata tabu sana kwa sababu serikali ya Tanzania ina over classify kila kitu, halafu haina utamaduni wa ku declassify hata baada ya miaka mingi sana.

Hili ni suala la utamaduni wa serikali, si suala la kubadilishwa na waziri.

 
..tatizo ni uwezo mdogo wa Mama Abduli.

..hakuwahi kufikiria, na hakuna mtu alikuwa anamfikiria, kuwa atakuwa Raisi.

..ameshabadilisha wakurugenzi wa Tiss watatu, mnataka ambadilishe na aliyeko sasa hivi?
Sasa anataka kukuthibitishia, baada ya hiyo October 2025 kwamba haya yote uyaandikayo wewe hapa hayana ukweli wowote (bila kujali jinsi gani itakayo muwezesha kubaki madarakani).

"... kubadilisha wakurugenzi", na wengi wengine alio wapanga wamsafishie yeye njia badala ya kusaidia nchi, ndio mkakati muhimu ulio mhakikishia maslahi yake na ndiyo njia itakayo hakikisha anaendelea kuwepo kutawala.
 
Wanajeshi wetu warudi
 
Basi tutakuwa tuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhani. We are compromised and fucked up!

But Why CDF asisimame kumwambia ukweli Rais?
Unasahau Raisi ana nguvu ya kuteuwa,na baada ya kukupiga chini anatuma chawa wake wakutukane na kukuaribia CV kwa jamii mpaka uonekane si chochote kabisa
 
Nimeona leo kwenye taarifa ya Habari ya Azam TV , CDF ametembelea familia ya mwanajeshi aliyeuwawa Congo na kusema alishaagwa tangu tarehe 13 Februari 2025.

Hongera CDF kwa kuanza kuchukua hatua. Hii ndo namna Jeshi letu shupavu linapaswa kufanya kazi na sio kuwa kimya kwenye mambo haya hadi propagandist wa Rwanda wanawachafua kwenye mitandao na tunashindwa kuelewa kipi ni kipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…