Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

Hii si kawaida, kutakuwa na shida mahali.
 
Kumbuka mshahara ni haki ya mfanyakazi sio ofa hiyo , kuna mambo ya kuvumilia na kujitolea sio hivyo unavyofikiria wewe
Wew sio mzalendo Watanzania kama wewe MAGUFURI alikua anawafuta kazi Kwa FAULO 😊😊
 
Wakuu naomba kuuliza hivi engineer wa tarura analipwaje akianza? Je nisawa na wa ruwasa? Maana niliona tangazo la ruwasa limeandikwa RSS5 mecanical engineer hio ni kiasi gani?
 
Nyie itakua Watumishi feki
 
Wakuu naomba kuuliza hivi engineer wa tarura analipwaje akianza? Je nisawa na wa ruwasa? Maana niliona tangazo la ruwasa limeandikwa RSS5 mecanical engineer hio ni kiasi gani?
Sijui Tarura wanalipaje ila nina rafiki yangu civir engineer huko Tarura kasulu plus kila kitu huwa anatake home ya kama 2 million
 
Katiba ikiwa mpya halafu akili ni zile zile mbovu hakuna jambo litafanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…