nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Mishahara mbona imelipwa ? Iii bagoshaTutaongea tu Lugha moja ya KATIBA mpya.
Juzi walianza wafanyabiashara, Leo watumishi wa Serikali, kesho litaibuka kundi jingine,
Tutasikilizana tu, maana Leo Hadi Polisi aliyekuwa akitumiwa kupiga raia waodai HAKI, hajui hatma yake sababu ya kundi dogo la Viongozi,
Tutaelewana tu.