Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

TRA inakusanya trilion moja kwa mwezi , mishahara ya serikali 600 billion kwa mwezi. madeni na riba zaidi ya billion 500 kwa mwezi, bado pesa za uendeshaji wa serikali na maendeleo, mafisadi hawajala na upotevu kutokana na mifumo mibaya, kwa hizi number tukubali tuu nchi imefilisika tusubiri watu waje wachukue chao kwenye ile mikataba ya siri, hakuna short cut hapa lazima tuongeze uzalishaji, umachinga wa kuuza made in China utatumaliza
 
Back
Top Bottom