Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

Pesa imeshakwapuliwa,unaanza mtindo wa wafanyabiashara kuikopesha serikali fedha ilipe mishahara,hili lilitokea awamu ya nne,linajirudia tena ya sita,

Serikali inawekwa mifukoni na baadhi wenye ukwasi
 
Haha na bado kutwa kumsifia mama kuwa anafanya kazi nzuri .waendelee kuuongeza magari ya kifahar tuone mwisho wwke
 
Jamani wengine ni ajira mpya tulikuwa bado hatujaanza kuweka savings hasa ukizingatia ndugu wanatutegemea.

Tumezoea mshahara tarehe 22 ya kila mwezi lakini ni tofauti na mwez huu.

Kuna nini jamani hali ngumu mfanyakazi wa serkali unalala njaa hii ni hatari jamani tutafanyeje hizo kazi?

Ni kwanini mshahara hautoki?
 
Kwani mwezi umeshapinduka na kuwa Juni? Fanya kazi. Acha kufitinisha serikali na wafanyakazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…