Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

Watu tulishakula mpaka tumesahau
 
Mwezi uliopita,serikali ililipa mishahara mapema sana kuliko kawaida,mbona hamkulalamika? Imechelewa siku tatu tu,mmeanza kelele. Watumishi tufanye shughuli za kipato nje ya mshahara.
 
Ajira mpya halafu unasema mlizoea kupata tarehe 22!πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Dalili ni mbaya huko tuendako, serikali imekosa wabunifu kabisa kwenye mambo ya msingi wao kukopa ndio wanaona sifa.

Nashangaa iweje mfungue nchi halafu mambo ndio yazidi kuwa magumu kuliko wakati ule "ilipofungwa"?

Hili taifa kwa sasa hakuna kiongozi wa kuliongoza, tumekwama.
 
mshahara wa nini, umefanya kazi gani kwa nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…