Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Acha hizo wewe sio mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli inamaana yajayo kwenye nchi yangu ndiyo kama haya au

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wangu sisi bado sanaa.nchii hii hata aasi CDF hakuna mtanzania atakaethubuti kuingia barabarani kumtetea Mh. Rais. Uoga, unafki na kujipendekeza kila mtu atacheza kwenye nafasi ili awe mshirika atunishe tumbo lake si mnaona yanayoendelea nchini .tawala zilizopita zilitujengea mazingira ya kupuuza na kuacha yapite. Mf. Uchaguzi wa serikali za mitaa watu wamesahau sasa wanapiga kelele tume huru nalo litapita maisha yataendelea. NAKUPENDA NCHII YANGU TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo njemba alikuwa anajiamini nini kumtishia balozi wa nchi nyengine?. Au ni ignorance, ??.
Interahamwe ni rubbish mzee ,na kwa mara ya kwanza ndo nilikuwa nimeona interahamwe ananyanyua panga juu anashusha bila damu. Sikuona tena hilo tukio hadi naondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante, let's wait

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv wahutu na watutsi ni wap ni wengi Rwanda?

Burundi kuna watu gan huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 







acha michosho



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe mzito
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mi pamenivutia sana hapo, ila nikakumbuka Bossless kasema humo bolozini kuna siri sana! Pengine yule mama sio kwamba alikuwa jasiri bali alifahamiana kwa karibu na viongozi wa interahamwe na pengine ndio alikuwa akiwasiliana nao kwa kinyarwanda, mawasiliano hayo ndiyo yalopelekea panga kushushwa bila kumdhuru.
Ningependa kujua, hapo ubalozini hakuna aliyehisi au kujua kwenye ile redio call balozi alikua anaogea na nani? Ila nimempenda sana huyo Mzeemama Mheshimiwa Balozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafikirisha sana ndiyo! Kwa maana ya kuitazama siasa yetu lakini ukitembea nje tu nyumba uliopo utagundua lifestyle ya watanzania ni tofauti sana na huko Rwanda, hakuna mtanzania mwenye munkari wa kushikiana mapanga achilia mbali ak47! Hata mambo ya kuchoma moto vibaka yamepungua sana.

Pengine wanasiasa ndo wangechochea vuguvugu za vijana kupigania ukombozi dhidi ya mkoloni mweusi! Wanasiasa hao wako wapi!!? Hao walozeekea kwenye vyeo vyao na sasa wanakwenda kugongeshana miguu na mkulu!? Hakuna anaependa vita ila na sisi tumelala mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ipo wazi...

watakuwa hawana kazi mpaka wamtafute kwa hilo..

.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…