ndukulusudicho
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 501
- 768
Achana nae babu kishakunywa banana huyoWe umezaliwa mwaka gani? Unajua dola moja ilikuwa sawa na bei gani mwaka 1989.? .hii elimu bure imeleta shida sanaa kwa vijana halafu wapi niliandika nilipigasimu? Hizi akili bwanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Of all jf members wewe ndio nimekuspot direct Kama tiss employee directorate ya IT pale eagle wing maana huuu uzi Kuna infiltrators wawili wa kagame walioko umangani wanaufwatilia kila post na katika cloud chek ushawasiliana nao mwakajanadesembanakwenyejambolinalohusuuzihuunawewekwawikitatumweziuliopitaulikuwakigalibishanianike
Mwache amalize kwanza kutusimulia, humu.
Daaah! Kwelimkuu"....Wakati mambo yanaenda kombo kuna wajinga wa chama tawala ikiwemo watangazaji, viongozi wa dini na wazee wenye ushawishi walikuwa wanaitangazia dunia kupitia redio Rwanda ipo salama hakuna chochote kibaya kinachoendelea kwani amani imetawala kabisa....."
Sentensi hiyo inafikirisha kweli kweli.
Labda alikuwa akiongea na mbobezi wa nchi ya Rwanda wa wakati huo yaani waziri wa mambo ya nchi za nje kumlalamikia kile wanachokifanya watu wake kwenye ubalozi wa Tanzania.Ningependa kujua, hapo ubalozini hakuna aliyehisi au kujua kwenye ile redio call balozi alikua anaogea na nani? Ila nimempenda sana huyo Mzeemama Mheshimiwa Balozi
Mdugu yangu hata mie hii sentensi inanifanya niwaze mnooo"....Wakati mambo yanaenda kombo kuna wajinga wa chama tawala ikiwemo watangazaji, viongozi wa dini na wazee wenye ushawishi walikuwa wanaitangazia dunia kupitia redio Rwanda ipo salama hakuna chochote kibaya kinachoendelea kwani amani imetawala kabisa....."
Sentensi hiyo inafikirisha kweli kweli.
Inafikirisha sana ndiyo! Kwa maana ya kuitazama siasa yetu lakini ukitembea nje tu nyumba uliopo utagundua lifestyle ya watanzania ni tofauti sana na huko Rwanda, hakuna mtanzania mwenye munkari wa kushikiana mapanga achilia mbali ak47! Hata mambo ya kuchoma moto vibaka yamepungua sana.
Pengine wanasiasa ndo wangechochea vuguvugu za vijana kupigania ukombozi dhidi ya mkoloni mweusi! Wanasiasa hao wako wapi!!? Hao walozeekea kwenye vyeo vyao na sasa wanakwenda kugongeshana miguu na mkulu!? Hakuna anaependa vita ila na sisi tumelala mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijuwa unaweza kuleta comment ya aina hii.. Ndege wa aina moja.....Ninavyopenda story hapa nimeshawaka... leta vitu Mkuu.
Halafu hii tabia ya watu kuvamia story na kukashifu kuwa ni uongo, ya nini? Kama unaona story ni ya uongo si uachane nayo?
Ustaarabu ni jambo la msingi linalowashinda wengi, hakika.
Mzee baba kama hautajali taja jina la balozi wetu aliyekuwa Rwanda wakati huo serikali ya Rwanda ilipofanya majaribio ya mauaji ya watutsi mwaka 1992 na baadae mauaji rasmi mwaka 1994. Sidhani kama jina la balozi yeyote katika nchi yoyote na kwa mwaka wowote ni siri yoyote kwa mtu yeyote yule. Hivyo sioni sababu kwa nini usitaje jina la huyo mwanadiplomasia wetu kwa wakati huo.Kuongeza mkuu huyo i
Mwanamama ni balozi, demu wangu alikuwa kijana kama mimi tu around miaka 18 na 19 hivi mtoto safii kabisa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi pamenivutia sana hapo, ila nikakumbuka Bossless kasema humo bolozini kuna siri sana! Pengine yule mama sio kwamba alikuwa jasiri bali alifahamiana kwa karibu na viongozi wa interahamwe na pengine ndio alikuwa akiwasiliana nao kwa kinyarwanda, mawasiliano hayo ndiyo yalopelekea panga kushushwa bila kumdhuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi story huwa zinakuja nyakati za uchaguzi, kila mwaka wa uchaguzi ndio zina trend.
We si mwandishi,badala yakuendeleza umalizie story yako unakaa unatazama watu wanavyokujibu hapa,,hujui kama hum kuna vichaa wakubwa zaid hata ya wale wa barabaran?Kutokana na kashfa na matusi ya baadhi ya memebers humu napenda kusitisha ushuhuda huu, niwaombe radhi tena na samahani sintoweza kuendelea bora nihamishie ushuhuda wangu kwenye another social network lakini sio humu jf. Mtu hajamaliza kuandika unatukanwa, anakashifiwa,sijui huu utamaduni sijui wawapi? Cha ajabu modereta wanakausha tu bila kukemea mwisho jf inaonekana imekuwa kijiwe cha wahuni. Asante sanaa. Naomba nami nibaki kuwa msomaji wa mada za wengine humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka mpaka basiiii......Dah huyu mwnaume wa daslam anaringa sana....sitaki nataka
Mwanzoni alikuwa anasema chitakii!! Wahuni wamebembeleza hadi amelegea.
CCM iko wapi mkuu! Hii ambayo wamo kina Waitara, Mtatiro, Polepole, Kafurira, Mashinji, Dr. Slaa, Kabudi, Mgwira, Masha n.k? CCM ambayo imemtimulia mbali Membe na kumpa onyo Kinana! Tusikalili sana kuhusu neno CCM maana tayari wamechangamana na wapinzani waliopigania mabadiliko kwa kiasi kikubwa hapo awali. Kama hawawezi kuyaleta mabadiliko hayo wakiwa huko chamani, ni dhahiri unafiki wetu watanzania utakuwa ni wa kiwango cha kutisha.Leo haipo hiyo hali lkn kwa ccm kuendelea kunyanyasa wapinzani itafikia green guard watakuwa na silaha za moto. Ona Mbowe anavyo nyanyaswa polisi hawana hata uwezo wa kuwakamata vijana wa ccm wanaoleta fujo.
Ikitokea vijana wa chadema nao wawe wakivamia mikutano ya ccm, leo unaongea kirahisi tu kesho utabadilisha usemi na utaanza kusema hatukujua viongozi wenye kuleta mizaha ya ubaguzi tuwakatae. Ccm si chama tena ni genge la watu wenye maslahi yao. Itatokea sivema kuchukulia mambo kirahisi CCM NI KUONDOA KABISA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahutu ndo wengi watusi wachache, Ila watusi wamekua wakiwatawala wahutu kabla hata ya wakoloni kujaHiv wahutu na watutsi ni wap ni wengi Rwanda?
Burundi kuna watu gan huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamin mwandishi ameona comment yako na ameku ignoreWe si mwandishi,badala yakuendeleza umalizie story yako unakaa unatazama watu wanavyokujibu hapa,,hujui kama hum kuna vichaa wakubwa zaid hata ya wale wa barabaran?
Malizia story otherwise Moderator aifute maana umeisusa au uniruhusu niimalizie mimi