Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Kwanini ulimtelekeza mpenzi wako jamani, inaniskitishaa... ungejitahidi kuangalia namna ya kumuokoa.
Maskini sijui kama alipona.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee we jamaa unafanya kila sekunde tuchungulie huu uzi, matukio ya aina yake! Stori hii unaweza kuwauzia Hollywood wakatoa bonge la movie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeap ndo ivyo ..na ukifanya kosa ndani ya ubalozi uta hukumiwa kwa sheria za nchi ya uo ubalozi
hapo uliposema wadada wa kitutsi walivokimbilia ubalozi wetu nimekumbuka nilihadithiwa ubalozi pale ulipo tayari inatambulika kama vile ni sehemu ya ile nchi iko pale, hata inapotokea tatizo ukikimbilia pale basi umeingia nchi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka hao watakuwa commandos.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini ulimtelekeza mpenzi wako jamani, inaniskitishaa... ungejitahidi kuangalia namna ya kumuokoa.
Maskini sijui kama alipona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimejiuliza hilo. Kama wengine waliweza kuja na wenza na watoto wao pale ubalozini wakiamini kwamba kwa kuwa pale watasalimika iweje yeye mfanyakazi wa pale pale ubalozini asimsaidie huyo mpenzi wake japo kwa muda tu? Au mapenzi baina yao yalishaanza kupungua?
 
soma vzr hiyo stori
 
Mkuu!
Hiyo Gari ambayo walikuja nayo hao jamaa 7 Ilikua na Plate number za Nchi gani?
 
Hao walikuja na watoto na wake zao mimi alikuwa demu tu. Ila subiri tulifika mbele utaona kilichofanyika ........ogopa sana stage ya mwisho kila mtu anajua anakufa ila anaomba mwenzie atangulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…