Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Akimaliza tu!.Na wewe tuletee ya kwako.Anza kuiandaa kabisa,usije na mikasa nusunusu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu. Wewe unaakili.
Mtu anaingiza maneno kwenye stori za watu utafikiri amekunuwa mnazi ndaza...hii sio klabu ya mnazi watu wanadakiadakia maneno utadhani yuko kwenye ngoma ya kinamama ya kumfunda binti aliyekwisha toa mimba.
 
Aiseee vita ni noma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Muendelezo jamani "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whaaooo ndo maana nikasema ni kitambo sanaa nimesahau majina nimetaja kichukiro badala ya kacyiru ulipokuwa ubalozi wa Tz asante kwa kunikumbusha .nikapata watu kama nyinyi huku ntainyoosha stori yangu vizuri kabisa itakaa vizuri kabisa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu, itaendelea Leo au kesho ili tusilale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNAMIR ni rubbish ipo Siku ntaleta stori ya mambo yao waliyokuwa wanayafanya Rwanda nyuma ya pazia ndo maana baadhi ya mabalozi wakawa hata hawawaiti kuomba msaada. Nilitaka nimwage kila kitu hapa watu wakaanza oohh story ndefu sanaa sijui unatuchosha nimeamua kuacha baadhi ya mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndio..story inaonyesha kabisa kuna mengine unafukia..ila usiogope mkuu tupe uhondo tujifunze.
 
Hhahhaa kwa kukufungua akili tu ,iko hivi kuna watu wazito walikuwa Dar es salam,Kampala,Kinshasa,na Nairobi wanaendesha hii vita.ndo maana baada ya vita kuisha wengi walikimbilia maeneo hayo wazito wa Kampala wakawa wameshinda game.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

lete stori mkuu tunsifuatilia
 
Mwaga kila kitu hapa usihofu tuko na stamina ya kutosha
 
Very good, lengo langu halikua kuharibu uzi wako ila tu kukumbushana maana ni miaka mingi Ndugu. Heshima kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa askari wa UNAMIR walikuwa wametoka nchi za Ulaya au hata waafrika walikuepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…