Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Ushauri wa bure usiweke mambo yasiyo na msingi ili stori iwe fupi na ivutie wasomaji wengi.

Kwa mfano nikachukua basi kwenda Nyamirambo haina haja kuadisia basi ya rangi gani nauli sijui sh ngap huko ni kupoteza muda tu.

Weka vile vitu muhimu sana na ambavyo vilikupa changamoto na hutosahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani anaelezea kuanzia mwaka 1989 mkuu na sio 1994 ambao ndio vita hiyo ilianza mkuu.
Yaani watu wanadhani vita ya rwanda ilianza mwaka 1994?vita ya rwanda ilianza miaka ya 60 huko...inawaka ..inazima..mwaka 1990 vita ilikuwepo pia ndio iliyoanzisha ya 1994...sema tu ya mwaka 1994 ilikuwa funga kazi..kwahiyo msimuliaji akianzia kusimulia vita ya mwaka 1990 msishangae sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
+1
Anasema story itaendelea halafu muda huo huo yupo busy kujibu comments , nimebaki nikijiuliza badala ya kujibu comments si bora angeendeleza story? Au kwa nini asikae akaandika story yote , then ailete kwa maramoja ?,
Kama ni long stori halafu unaandika vipande namna hii, i bet itakuchukua miaka miwili kuimaliza. Halafu sijui ni nani aliwaambia ukiweka vipande ndio mambo yananoga. Unakuta mtu anaandika itaendelea na hata aya mbili hazijai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma kwanza uelewe, ndio uanze kuuliza maswali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakurupuka wakati hujui kitu, nani alikwambia kuwa vita ilianza 1989?, uwe unasoma uelewe sio kujifanya anajua kumbe hujui kitu. Nilianza safari yangu 12.06.mwaka 1989. Kipindi hicho nilikmkuta rais wa nchi ni juvenary habyarimana wenyewe rwanda walikuwa wanapenda kumuita muugano wingawo( yani mwanaume wa wanaume) chini ya chama chake cha MRND. Nadhani nimekukimbi sawia ila acha kuropoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema ukweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alijiandaa kukosoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…