Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

siku akiimaliza mni tag wajameni nije kuisoma mana huu utaratibu wa nusu nusu huwa unanishinda aisee, kichwa chenyewe cha panzi sikawii kusahau part 1 ilizungumzia nini ndo mana napenda stori zenye flow ya moja kwa moja
 
Wewe macho yako yana matege
Mzee unatudanganya.

Ulikumbana na mawasiliano magumu wakati umesoma chuo kikuu kwa hiyo na kiingereza hawajui hujui?

Kule mwanzo unesema unesoma chuo Kule Kule rwanda halafu wakati unaoata ajira unaenda kuripoti unasema Ni Mara yako ya kwanza kwenda nje ya nchi??

CHAIII HII

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bossless,

We Muongo, ulienda mwezi WA sita hahahaha.

Vita imeanza mwezi WA nne imeisha mwezi WA Saba but wewe ulipata KAZI mwezi WA sita wakati serikali ya Rwanda imevurumishwa na Rpf na kukimbilia Gisenyi Kwa kina Haruna Niyonzima huku mapigano makali yakiendelea.

Anyways wakati unapata hiyo KAZI Rais wa Rwanda alikuwa anaitwa Nani?

Jibu huna Mpira uishie hapa.

" falsus in uno falsus in omnibus" false in one thing false in every thing.

@moderators futeni uzushi huu unachafua hadhi ya jf
Acha roho mbaya wewe
 
Kasema ni 1989 ndo kaenda Rwanda sio kipibdi cha vita. Hebu mkuu kuwa na subira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIKUD,
Mbona inaonekana wewe ndiye una haraka? Wengi tunafahamu kwamba vita imeanza mwezi huo wa nne hadi wa saba tena mwaka 1994.

Yeye ameanza na mwaka aliomaliza masomo ya stashahada mwaka 1989 na kupata kazi kwenye ubalozi huko Rwanda. Bado anaendelea na background hajafikia kipindi vita imeanza.

Mkuu yani huyo jamaa ukiyemjibu amekurupuka ku comment na wala sio msomaji ila ana daka daka mistari ndo maana hakuweza kuona mwaka ambao jamaa ameutaja:
 
Back
Top Bottom