Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Mi mwenyewe nimeipenda story , niliwahi kwenda Rwanda mwaka juzi , kwa kweli Kuna mengi Napenda kujua kilitokea nn hasa hali wakauwana ville, mtoa mada ana mengi ya kusimulia ila tu , aina ya uandishi wa kuleta story nusu nusu ndo napingana naye , hata hizi kauli za kumkatisha tamaa na ku challenge his integrity, zinatokana na yeye kuweka hiyo nafasi , na kadiri anavojaribu kuzijibu comments ndio unaweza kupoteza ladha ya story na huenda akaharibu mtiririko mzima
Ninavyopenda story hapa nimeshawaka... leta vitu Mkuu.
Halafu hii tabia ya watu kuvamia story na kukashifu kuwa ni uongo, ya nini? Kama unaona story ni ya uongo si uachane nayo?
Ustaarabu ni jambo la msingi linalowashinda wengi, hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwann uwe na ghadhabu kwa watu usiowaona
Kuna mada humu inaeleza juu ya kuzitawala hasira.
Tafadhali achana na wale wachache waliopinda.Angalia wanaosema vibaya ni wengi,hapana ni wachache.kwahiyo achana nao!!
Mimi niseme tu, hata uwe mzuri vipi huwezi kuachwa na watu wenye vijiba vya roho. Ona hata pesa yenyewe inapondwa wakati ndo mtatuzi wa karbia matatizo yote.
Kuna kipindi nilikaribia kuacha kazi yangu ya kuonyesha MOVIE kisa baadhi ya watu walinisema vibaya.Ila badae nilituliza akili nakaona sivyo.
Kama asemavyo mchina 'usihaidi ukiwa na furaha kubwa na usifanye maamzi ukiwa na gadhabu'
Go go go gooo bosless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyofika hotelini mida si mrefu nikatoka kupata chakula, nikauliza mapokezi ntapata bia? Naam! Wakajibu zipo basi nikaa meza ya juu kabisa nikaanza kula bia.

Kesho nikaamka..mwingine aendeleze
Kesho nikaamka asubuhi na mapema nikiwa na ari ya kutafuta ulipo ubalozi wa Tanzania
Basi bhana nikamuita muhudumu wa hiyoo gesti nlofikiaa, daaah kucheki mtoto mmoja wa kitusi mkali ajabuuu
Nikachanganyikiwa kabisaaa, ikabidi nitoe uchovu wa safari, kumstua mtoto wa kitusi, akaitikaa, nikajipoza tartiiiiiiiibuuuu....
Haya mngine aendelee na storii kuanzia hapo sasaaa
 
Mbona story haiendelei,mwandishi umekwama wapi,au unaitunga vipandevipande
 
Bossless,]
Mkuu unakata tamaa kwa discouragement ya watu wawili watatu? Embu angalia viewers wanaoufuatilia huu uzi wako, are you ready to let them down?
Watu kila mara tunaingia humu kuona kama umeshusha nondo. Listen... We have watched the movies concerning Rwandan Genocide 1994 but this is quite different from them. Here We get something from the one that testified it by his own naked eyes that is you mkuu. Hope you're going to satisfy our curiosity buddy
Endelea mkuu usikatishwe tamaa na maneno ya wachache ambao wanakoment kabla hawajasoma nini ulichoandika.
 
Kesho nikaamka asubuhi na mapema nikiwa na ari ya kutafuta ulipo ubalozi wa Tanzania
Basi bhana nikamuita muhudumu wa hiyoo gesti nlofikiaa, daaah kucheki mtoto mmoja wa kitusi mkali ajabuuu
Nikachanganyikiwa kabisaaa, ikabidi nitoe uchovu wa safari, kumstua mtoto wa kitusi, akaitikaa, nikajipoza tartiiiiiiiibuuuu....
Haya mngine aendelee na storii kuanzia hapo sasaaa
ngoja niendelee mkuu
baada ya kula tunda la masikhara kwa yule mtoto wa kitusi, dakika mbili nikamuona jamaa flani mweusi tiii, akija mbele yangu akiwa na gadhabu nzito, macho yake yalikua mekundu ya kuogofya mithili ya mfyatua mafataki kule geita gold mine, umbo lake ni jitu la miraba minne,upande wa kulia kama upande wa kushoto , alikua na mkono mzito kama yale machuma ya kunyanyua mizigo pale bandarini. katika hali ya taharuki huku nikiendelea kumshangaa huyo njemba aliekuwa anakuja mbele yangu ghafla nikashtuka mtu ananishika bega langu la kushotoiiiiiiiii
ghafla katika hali ya taharuki nikahisi kama nimemwagiwa maji usoni.

lahaula kumbe hilikua ni ndoto maza alinimwagia maji kuniamsha niwai shule.


mwisho wa story ukurasa umefungwa twendeni sasa tukajenge nchi.
 
Njia rahisi ya kumfurahisha mtu anayekereka na wew ni KUMKERA zaidi

#Utamaduni
 
Mzee unatudanganya.

Ulikumbana na mawasiliano magumu wakati umesoma chuo kikuu kwa hiyo na kiingereza hawajui hujui?

Kule mwanzo unesema unesoma chuo Kule Kule rwanda halafu wakati unaoata ajira unaenda kuripoti unasema Ni Mara yako ya kwanza kwenda nje ya nchi??


CHAIII HII

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkuu unaishi mabondeni nini!
 
Hi movie Sterling kafa wakuu kwa taarifa yenu huyu jamaa hajajipanga usikosolewe wew nan af ana tabia za kuzira Trump mwenyew anakosolewa who are you usikosolewe
 
@ossless,


ngoja nikusaidie kuimalizia story..

basi ulipofika hotelini ukaagiza chakula,na kikaletwa na mhudumu mmoja mzee mzee hivi..

kwa shingo upande ukakila,japo kilikuwa cha baridi huku wateja wengine wakipewa huduma na mabinti waliokuwa wamevalia nadhifu...Ikabidi uende kaunta kulipa bill yako napo tena mhudumu akasema hana chenchi na kwa hasira ikabidi umuachie chenchi yako!

kutokana na huduma mbovu uliyopewa ndipo ukaamua kupitia bar na kwa hasira akaagizia bia (Guinness) na ukaanza kuzinywa kwa pupa

Pale bar ulikutana na waswahili wawili ukawapiga offer ya bia mbili tatu,japo baadae waliaga na kuondoka zao

na hukukawia sana baada ya rhythms ya kutosha ukaanza kurudi Guests lakini njiani ukakumbuka chenchi yako uliyoacha pale restaurant, lakini ulipofika pale ukakuta wameshafunga...

lakini ulimkuta yule bibi mhudumu naye ndio anaondoka na bahati mbaya kwako ukaongozana naye, na kutokana na pombe ulizobugia ukamtokea naye bila hiyana akakubali kwa sharti anaenda kwanza nyumbani na umpatie hela ya kuacha home kwa miadi atarudi ulipofikia baada ya nusu SAA..usiku huo huo

itaendeleaaa...!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom