t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mi mwenyewe nimeipenda story , niliwahi kwenda Rwanda mwaka juzi , kwa kweli Kuna mengi Napenda kujua kilitokea nn hasa hali wakauwana ville, mtoa mada ana mengi ya kusimulia ila tu , aina ya uandishi wa kuleta story nusu nusu ndo napingana naye , hata hizi kauli za kumkatisha tamaa na ku challenge his integrity, zinatokana na yeye kuweka hiyo nafasi , na kadiri anavojaribu kuzijibu comments ndio unaweza kupoteza ladha ya story na huenda akaharibu mtiririko mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninavyopenda story hapa nimeshawaka... leta vitu Mkuu.
Halafu hii tabia ya watu kuvamia story na kukashifu kuwa ni uongo, ya nini? Kama unaona story ni ya uongo si uachane nayo?
Ustaarabu ni jambo la msingi linalowashinda wengi, hakika.
Sent using Jamii Forums mobile app