Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Ukitaka kujua story yako Inafatiliwa kwa makini angalia Views achana na comments za kukatisha tamaa.

Shida JF baadhi ya watu wanajifanya wajuaji sana kumbe vichwa vya panzi.
Mtu hajui hata maana ya stashahada, mtu anakurupuka bila kusoma kwa makini eti 1994 haikua hivo wakati OP kaanzia kuelezea 1989, Inasikitisha.

Nasubiri muendelezo Bossless
 
Mzee unatudanganya.

Ulikumbana na mawasiliano magumu wakati umesoma chuo kikuu kwa hiyo na kiingereza hawajui hujui?

Kule mwanzo unesema unesoma chuo Kule Kule rwanda halafu wakati unaoata ajira unaenda kuripoti unasema Ni Mara yako ya kwanza kwenda nje ya nchi??

CHAIII HII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu quote aya alipoandika kwamba alisoma chuo kikuu na pia inayoonyesha kwamba alisoma chuo huko huko Rwanda ili tukuamini mkuu. Tusipende kupotosha watu kwa vile tu hatukuelewa vizuri kile kilichoandikwa na wenzetu.
 
We Muongo, ulienda mwezi WA sita hahahaha.

Vita imeanza mwezi WA nne imeisha mwezi WA Saba but wewe ulipata KAZI mwezi WA sita wakati serikali ya Rwanda imevurumishwa na Rpf na kukimbilia Gisenyi Kwa kina Haruna Niyonzima huku mapigano makali yakiendelea.

Anyways wakati unapata hiyo KAZI Rais wa Rwanda alikuwa anaitwa Nani?

Jibu huna Mpira uishie hapa.

" falsus in uno falsus in omnibus" false in one thing false in every thing.

@moderators futeni uzushi huu unachafua hadhi ya jf
Unakurupuka kama kuku
 
haya mambo ya kusubiri part 2 yalinifanya nikatelekeza ule uzi wa aliyejuta kula kimasihara na yule binti wa geita. mleta story endeleza basi moja kwa moja bila vipande.
 
Mzee unatudanganya.

Ulikumbana na mawasiliano magumu wakati umesoma chuo kikuu kwa hiyo na kiingereza hawajui hujui?

Kule mwanzo unesema unesoma chuo Kule Kule rwanda halafu wakati unaoata ajira unaenda kuripoti unasema Ni Mara yako ya kwanza kwenda nje ya nchi??

CHAIII HII

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee jamaa ni POPOMA, yani sijui wazazi wako walilipia ada ya nini?? Halafu utakuta et na ww una mpenzi!!!!!

Wapi amesema kipindi hicho alikuwa amesoma chuo kikuu?? Wapi amesema alisoma Rwanda???

Kichwani mwako umebeba makamasi tu

Kizibo
 
bado tuuuuu.... ukianza part ii nijulishe
 
Hebu quote aya alipoandika kwamba alisoma chuo kikuu na pia inayoonyesha kwamba alisoma chuo huko huko Rwanda ili tukuamini mkuu. Tusipende kupotosha watu kwa vile tu hatukuelewa vizuri kile kilichoandikwa na wenzetu.
Ngoja nirudie kusoma. Pole mkuu na samahani kwa kukupindisha na Asante kwa kunirudisha kwenye mstari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninavyopenda story hapa nimeshawaka... leta vitu Mkuu.
Halafu hii tabia ya watu kuvamia story na kukashifu kuwa ni uongo, ya nini? Kama unaona story ni ya uongo si uachane nayo?
Ustaarabu ni jambo la msingi linalowashinda wengi, hakika.
 
Back
Top Bottom