Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Inauma sana, hapa shetani alifanya kazi yake haswa, hivi jinamizi gani liliwakumba hawa binadamu? Inasisimua mwili kabisa...
Kuanzia leo nikikutana na mnyarwanda nakula mbio, haijalishi ni mhutu or mtusi dadeki

Nahisi sio binadamu wale!

Mjomba ana mke mtusi sasa wale watoto wake nishaelewa ule ugomvi wao wa kushikiana visu chanzo nini!

Sitaki hata urafiki nao japo sijawahi kuzinguana nao!

Mmh nimewaogopa[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kwa mujibu wako wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, sidhani uliamua kutaka facts! Kibeho ni eneo ambalo hija inafanyika na Wakatoliki wengi wanaenda! Waliotokewa wapo hai! Kama unataka kujua kweli panga uende hija. Chini ni sehemu ya video kibao youtube ya ushuhuda huu ...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi kaniacha hoi kwa kweli, kwanza angeweza kujiokoa na kusepa mapema tangu wakiwa Kigali, ila akaamua kuondoka na msululu wa watanzania wenzake, lori 24 si mchezo watanzania walikuwa wengi sana.

Kuwapigania wale watoto aliudhihirisha umama haswaa! Acha hawa wa kisasa wanaokimbia familia na kuacha watoto na baba zao! Upendo wa mama kwa mtoto una thamani kubwa mno.

Nimewaza mengi mno kwa yule muhutu aliyeamriwa kumchinja ndugu yake, badala yake akamkabidhi panga nduguye na kumwekea shingo ili afe yeye! This was a kind of great love! Atakuwa aliingia mbinguni moja kwa moja.

Nawaza zaidi wale watu walobakia ubalozini kwa kukosa papers, nini kiliwapata!

Vita!!....acha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Intarehamwe sio watu ni wachawi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni watu Kama wewe, wala hawana shida na mtu shida yao kubwa walishajua Sasa wanaelekea utumwani ndo maana wakaamua liwalo na liwe .kwa mfano mfumo wetu wa utawala unaanzania kwa mtendaji wa Kijiji Hadi kwa mh.rais Sasa jiulize hapo katika Kuna watu wangapi wanaishi kwa hisani ya hao watu (system) uiangushe system hivi hivi tu wake wengine wawafukuze SAHAU. Wahutu Sasa hivi Rwanda wanaishi utumwani.mbele ya mtutu wa bunduki24.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalau alikuwa mzima! Ni kumbukumbu mbaya mno. Mkuu endelea kutupa uhondo, nakuhakikishia ukimaliza story yako utaimarisha afya yako maradufu, maana akili yako imebeba mambo mazito mno.
HizMAJESTY, Kuna moja alikuwa na asili ya Zaire nilikutana nae magomeni miaka ya 98' Ila Cha ajabu hakutaka nizungumzie lolote kuhusu Mimi kiliwatokea pale ubalozini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu maza aliekuwa balozi bado yupo kweli? Natamani hata nimpelekee zawadi ndogo tu. Je serikali inamjua mpaka sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…